caf champions league

  1. Mangi shangali

    Kinyumenyume FC

    Habari zenu, Mpira ni kitu cha wazi, kinachezeka uwanjani, Simba wanalitia taifa aibu sana. Waliwasha moto South, jana wamerudisha gari kinyumenyume, mganga wao sijui kasomea driving school! Yanga leo wameifundisha Simba kuwa mpira unachezeka hadharani. Asanteni.
  2. Kilimbatzz

    Mohammed Dewji: Jana tumefungwa Magoli, leo tumefungwa Midomo

    Siyo maneno yangu, ni ya big boss MO. Kesho kutwa Mo na Azam kama TFF haitawaonea huruma na kuhairisha mechi kwa kichaka kuwa mnashiriki kimataifa.
  3. JanguKamaJangu

    Robertinho asema “Tangu nimefika sipajata nafasi nzuri ya kuiandaa Simba, kila wakati ni mechi mechi tu, nipeni muda

    Baada ya Simba kupoteza kwa magolo 3-0 dhidi ya Raja Casablanca, hivi ndivyo Kocha wa Simba, Roberto Oliveira Robertinho alivyosema: “Nafikiri timu yangu imecheza vizuri lakini ilitakiw akucheza kwa umakini zaidi ya ilivyokuwa, ndivyo mchezo wa soka ulivyo, Raja wamekuwa wazuri kuliko sisi...
  4. Greatest Of All Time

    Vipers SC Vs Horoya AC | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 18.02.2023

    Its Super Saturday!! Ni banduka bandua katika ligi ya mabingwa Africa leo. Vibonde wa kundi C, Vipers SC ya Uganda leo watashuka dimbani pale St. Mary's Stadium, Kitende kuwakaribisha Horoya AC. Ikumbukwe katika mchezo wa kwanza, Vipers walibugia goli 5-0 dhidi ya Raja Casablanca. Huku...
  5. Greatest Of All Time

    FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  6. J

    Tuachane na matokeo, Camera za CAF Champions League mbona ni mbovu kiasi hiki?

    Kwa mlioangalia mechi za Simba na Yanga kwenye Champions league mliona jinsi picha za mchezo ule zilivyokuwa za hovyo, mara nyingi mpira ulikuwa hauonekani. Yaani hata Camera za Azam kwenye mechi za kwa Mkapa zinakuwa na quality kuliko za CAF. Utafikiri wanatumia camera za simu za Tecno
  7. Greatest Of All Time

    FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

    Ni msimu mwingine wa Ligi ya Mabingwa Africa. Leo hapa nyumbani Tanzania ni sikukuu kwa wapenda kandanda hasa soka la kuvutia, Samba Loketo. Wawakilishi wa Tanzania, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC leo majira ya saa 1:00 usiku atashuka dimbani huko nchini Guinea, kuchuana...
  8. T

    USHAURI: Mwakani Simba Sc na Simba Queens tu ndio zikashiriki CAF champions league ili kuepusha aibu kwa taifa

    Ni muda sasa kwa taifa la Tanzania kuamua kuondoa aibu katika mashindano ya kimataifa ya klabu bingwa barani Africa kwa kuruhusu timu mbili tu ziende likaliwakilishe Taifa. Timu hizi si nyingine bali ni Simba sc na Simba Queens. Washiriki wengine wamezidi kulitia aibu taifa.Ni wito wangu kwa...
  9. Utopologist

    2022/2023 CAF Champions League - Group Stage Draw

    Pot 1 Al-Ahly Wydad Espérance Raja Pot 2 Mamelodi Zamalek Horoya Petro Luanda Pot 3 Simba SC Belouizdad JS Kabyle Al Hilal Pot 4 Al Merrikh Cotton Sport Vipers AS Vita/ RC Kadiogo
Back
Top Bottom