Wakuu, kuna orodha ya timu 19 zilizoshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika Msimu wa 2024/25 Orodha hii haijapangwa kwa kuzingatia ubora wa timu husika.
Simba SC
Zamalek SC
Wydad AC
ASEC Mimosas
RS Berkane
AS Vita Club
CS Sfaxien
ZESCO United
Etoile du Sahel
Coton Sport de...
Salaam Wakuu,
Ikiwa Ligi Kuu ya NBC imeisha leo 28/05/2024 huku Yanga akiwa Bingwa Azam nafasi ya pili na Simba nafasi ya tatu. Kuna tetesi kuwa Simba Sports Club na Yanga SC zitacheza African Football League, Azam FC watacheza CAF Champions League pamoja na Coastal Union. Taarifa hiyo inadai...
Mchezo wa kwanza wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika unapigwa leo katika dimba la Olympique Hammadi Agrebi baina ya wenyeji Esperance dhidi ya mabingwa watetezi Al Ahly.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Saa 4:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki.
Updates ==================
30’ Esperance...
Shirika la Kupambana na Dawa za Kulevya Duniani limethibitisha kuwa Tunisia haizingatii Kanuni za Dunia za Kupambana na Dawa za Kulevya na kuiwekea nchi hiyo vikwazo. Sundowns inasubiri tangazo rasmi la CAF tu kucheza na Al Ahly katika CAFCL huku ES Tunis ikishindwa kuwakaribisha Al Ahly katika...
Nimeamka zangu Asubuhi hapa,baada ya kupiga Ishara ya Msalaba kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama,
Nashika simu nakuta Reminder ya kua Leo ni Derby ya Kariakoo Moja ya Derby kubwa sana Afrika Mashariki na moja ya Derby mi saiv naita hata Derby inayoongoza even kusini Mwa Jangwa la Sahara...
Perezida Samia Suluhu Hassan wa Tanzania yashimagije amakipe ya Simba Sports Club na Young Africans yo mu gihugu cye, nyuma yo gusezererwa muri ¼ cy’irangiza cya CAF Champions league.
Young Africans yasezerewe na Mamelodi Sundowns yo muri Afurika y’Epfo kuri penaliti 3-2, nyuma yo kurangiza...
2nd Leg Match
CAF CHAMPION LEAGUE
QUARTER FINAL.
Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc
Time: 9:00Pm
Stadium: Loftus Versfeld Stadium
More Updates following...
Kikosi Cha Yanga Kinachoanza
Kazini kwetu kuna Kazi.
Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza.
Mpira unaendelea kwa kasi .
Timu...
africa
bao
cafcafchampionsleague
dakika
final
goal
goli
halali
kunyimwa
mamelodi sundows
mechi
nbc
nbc premier league
premier
premier league
sare
ushindi
utabiri
yanga
yanga sc
direct to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need
1: experience
2. quality players
3. luck
4. money
5. leadership
6. fans
7.great manager
8. good facilities
tunahitaji atleast 10 years ya kucheza quarter finals to reach the finals. 5...
1. Ayub Lakred
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Che Malone Fondo
5. Henock Inonga
6. Babacar Mtu Chuma
7. Kibu Denis Kiboko ya Djigui Diarra
8. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma
9. Saido Ntibanzokinza
10. Clatous Chama
11. Luis Jose Miquissone
Haya nawe Shuka na Chako hapa kwani...
Mwamba pacome zouzou amechaguliwa kuwa mchezaji Bora na caf hatua ya makundi iliyotamatika hivi karibuni!
Pacome kawamwaga wenzake baada ya kuwa na rating kubwa ya (7.99) kuliko wenzake kwenye Kila mechi ambapo ameonekana kuwa hatari kwenye match zote alizocheza!
Amafuatiwa na mostapha shobeir...
Huu ndio utabiri wangu simba na yanga wote watasare michezo yao, kulingana na wapinzani wanaocheza nao nimetizama kwa jicho la kiufundi sion hata mmoja wao akichukua alama zote tatu.
Asec vs simba 0 - 0ft
Yanga vs belouzdad 1 - 1 ft
Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo.
Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka...
Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?🤔 Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi 2 tu.
Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023
Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni katika uwanja wa Baba Yara nchini Ghana.
Je, wawakilishi hawa wa Tanzania...
Leo mida ya saa 1:00 jioni inatarajiwa kuchezwa mechi ya pili ya kundi D ikiwakutanisha mabingwa wa kihistoria wa Tanzania (Yanga) dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Afrika kutokea Misri (Al Ahly). Mechi inachezwa katika Uwanja wa Mkapa uliopo Dar es Salaam Tanzania.
Unafikiri nani ataibuka...
Leo 25/11/2023 katika dimba la Bnjamini Mkapa Dar es Salaam unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kwanza wa Kundi B kati ya Simba SC ya Tanzania dhidi ya Asec Mimosa ya Ivory Coast.
Mechi hii itaanza majira ya saa 10 kamili jioni.
Upi mtazamo wako kuhusu mechi hii?
Dakika ya 44 gooooal Saidoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.