Klabu Ya Yanga SC imeendelea kuzungumza kwa namna tofauti katika ushiriki wake wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Hii inatokea kwa sababu ya ushindani wake ambao wameuonyesha katika misimu miwili iliyopita.
Kesho ndiyo siku ya makundi kufahamu Yanga atapangwa na nani katika hatua ya makundi...
Draw ya group stage CAF Champions league na Confederation cup ni tar 7 October.
Kila la kheri Simba na Yanga
https://www.instagram.com/p/DAO9o1wM3K5/?utm_source=ig_embed&ig_rid=efe7b6f8-a056-4a0f-b130-f9cf100859e6&ig_mid=FB4546D4-2091-437A-A6A7-7AFA15166059...
Mimi Jemedari wa mchongo naumia sana kuona GSM ananunua game. Jambo hili linaharibu ladha ya ligi.
GSM aliinunua Simba akaikanda 5, Azam 4, Vital'O 10, CBE 7. Tafadhali huyu adhibitiwe. Leo nasikia kanunua game ili Simba ipelekewe moto na Al Ahly Tripoli.
Kibaya zaidi kila nikimpigia simu...
ANAANDIKA MCHAMBUZI,GEORGE AMBANGILE.
.
.
✍🏻Yanga wamecheza hii mechi utasema vile mechi ya mkondo wa kwanza alifungwa
1: Sharp wakiwa na mpira na bila mpira
2: Aggressive ( matumizi ya nguvu katika sehemu sahihi )
3: Kushinda mipambano yao ( win duels )
4: Recovery runs + Counter...
Leo naona hakutokuwa na mabadiliko makubwa sana katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wanyeji Yanga SC dhidi ya wageni wao CBE SA ya Ethopia.
Mchezo huu utachezwa katika dimba la New Amaan Complex pale visiwani Zanzibar. Sasa kikosi changu ninachokiona kitakacho anza leo ni kama...
Match Day
CAF Champion League
Young Africans SC VS CBE SA
2nd Preliminary round
2nd Leg
Stadium: New Amani Stadium Zanzibar
Date: 21-09-204
Time 8:30pm EAT
Soma Pia: FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024...
Baada ya Timu ya Yanga kukimbilia Uwanja Wa Amani Stadium Zanzibar, wasiwasi mkubwa umetanda kuwa hata Baada ya kufanya uamuzi huo Upo uwezekano mkubwa Uwanja huo Usijae..!
Yanga itajitupa uwanjani hapo siku ya tarehe 21/9/2024 kupapatuana na timu ngeni kabisa kutoka Ethiopia, timu ambayo...
Hapo vip!!
Za ndanii yanga kwa kumtumia Engineer na nafasi yake aliyokuwa nayo huko CAF nasikia anaenda kuhonga na kuomba wapangiwe timu mbovu na dhaifu.
1. Vital O wale ni wakimbizi hata uwanja hawana maskini,image wamecheza na Pamba wakafungwa,ni timu ambayo kwa ubora haitatofauti na Mbeya...
Tokea mechi ya kwanza Mutale anacheza akiwa na jezi ya Simba dhidi ya APR ni wazi alionekana ni mbadala halisi wa SAIDO,,, yaani wanafanana kila kitu wanachokifanya uwanjani..
Akiwa na mpira analazimisha kukaa nao bila sababu za msingi wakati kuna nafasi za kuwapa wenzake.
Utakuta kuna...
Kikosi cha Yanga SC kitashuka uwanjani kupambana na CBE SA FC katika mechi ya mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2024/2025) leo, Jumamosi, Septemba 14, 2024. Mchezo huu utaanza kuanzia Saa 9:00 alasiri.
Macho ya Watanzania yataelekezwa jijini...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Cbe SA 🆚 Yanga SC
📆 14.09.2024
🏟 Abebe Bikila Stadium
🕖 15:00 Alasiri
Kikosi kinachoanza dhidi ya CBE SA FC
mpira umeanza
dakika ya 2
dube anakosa nafasi ya wazi
dakika ya 15
pacome anafanya mashambulizi
dakika ya 25
0-0
dakika ya 29
cbe wanakosa nafasi ya wazi...
Habari wapenzi wa soccer.
Young Africans yupo kwenye mashindano makubwa ya CAF Champions League 2024/2025 na Simba Sc yupo kwenye mashindano ya CAF Confederation Cup 2024/2025.
Natamani kila mmoja ashinde kwenye mashindano ambayo yupo yaani Young Africans awe bingwa wa CAF Champions League...
Huku Simba Queens wakiendeleza mpira wao wa papatu papatu hadi kufikia dakika ya 80 ya mchezo bado kawempe Muslim wameendelea kushika uongozi wa kuwania nafasi ya tatu.
Simba Queens ambayo inaendeleza ubaya ubwela ugenini wameamua kulivua taifa nguo na kukimbia nazo kwa kufungwa kiholela kama...
Heri nusu shari kuliko shari kamili. Ni hesabu tu za MAGAZIJUTO (BDMAS) na mlinganyo (algebra); Kama kwa APR ni hivi kwa Pyramids na Mayele itakuwaje?. Ukishalipata jibu lake unafuata ujivunjaji ili kukiepuka kikombe na kuganga yajayo.
CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga SC wa klabu bingwa barani Afrika.
"Moja kati ya vigezo vya uwanja sio tu sehemu ya kuchezea au ubora ila ni pamoja na umbali wa viti kutoka kimoja hadi kingine, kwa uwanja wa Amaan umekosa ivyo vigezo uwanja kama wa Azam Complex...
Klabu ya Simba Queens yashindwa kufuza Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika mara baada ya kuondolewa hatua ya Nusu fainali kwenye michuano ya CECAFA hatua ya Nusu Fainali baada ya kufungwa na Kenya Police Bullets.
FT' | Simba Queens 2 - 3 Kenya Police Bullets.
Siku zote mpira unachezwa hadharani na sio propaganda uchwara, ukipanda mahindi utavuna mahindi na sio bangi, ukiwekeza kwenye mpira utalipwa sawasawa na ulivyowekeza.
Tumeona timu 4 zinashiriki mashindano ya kimataifa msimu huu na tayari timu 2 zimeshayaaga mashindano rasmi, zimebaki timu 2...
Sio kwania mbaya ama nawatisha vizuri mkawa sawa kisaikolojia. Baada ya Azam FC kutupwa nje na APR ya Rwanda katika mashindao ya CAF Champions ligi . Wanaofwata ni Simba SC katika kombe la Shirikisho la Afrika
Mashabiki mjiandae kisaikolojia.
Soma Pia: FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC |...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.