Habari za mda huu Wana michezo Kila ukiangalia squad ya yanga akiwa anacheza Champions league kuanzia mechi ya kwanza na Al HILAL naona jina la zawadi MAUYA
Nikajua maybe ni kosa la AZAM TV mechi ya juzi na MC ALGER pia jina Hilo limejitokeza
Je yanga mambo yao yanaendeshwa kihuni tu bila...
Umofia wana Jukwaa.
Binafsi nasikitika na trend ya timu zetu kimataifa hadi sasa hamna unafuu kwa Timu zetu Kati ya Simba na Yanga.
Kuna shida hasa kwenye management Simba iliwaza nini kumsajili Kocha ambae haja- prove kokote alikuwa Kocha namba 2 Raja na hakuna cha maana alionyesha kwa...
Tyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune.
Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya:
Mpira umeanza dakika 20 zilzopita. Ingawa MC Alger walianza kwa kasi sana
wakituhsmbulia kwa nguvu sana, tuliwadhibiti na hadi sasa bado tuko level ground ya NUNGE-NUNGE.
Pacome kapata...
Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.
Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo...
Yanga inaweza kushinda mechi ya ugenini dhidi ya MC Alger kwa kutumia mbinu na mfumo unaojikita kwenye nidhamu ya kiufundi, mbinu za kushambulia kwa tahadhari, na kutumia faida ya nguvu ya wachezaji wao muhimu. Hapa kuna uchambuzi wa mbinu na mfumo wanaoweza kutumia:
1. Mfumo wa Uchezaji...
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limetupilia mbali ombi la klabu ya MC Alger la kuhamisha mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Yanga SC kutoka uwanja wa 5 July 1962 na kuihamishia Douéra.
Mechi hiyo sasa itachezwa kama ilivyopangwa kwenye uwanja wa 5 July 1962.
Soma, Pia: Aucho, Mzize na Boka...
Hatimaye timu inayocheza soka safi la kushambulia , TP Englabaa Mazembe hatimaye FIFA yaifungulia rasmi na kuiruhusu kutumia wachezaji wote wapya na hatari iliowasajili.
Hii itakua habari mbaya kwa wapinzani wao ambao wakati wa droo walivyoona jina la TP Mazembe walishangilia sana kurukaruka...
Katika vitu vimenishangaza mpaka nikabaki nalia ni hili suala la wanasimba wenzangu kufurahia ushindi goli Moja dhidi ya timu dhaifu kwenye ligi dhaifu ya shirikisho ( kombe la wa wamama)[emoji32][emoji32]
Binafsi nilitegemea mnyama kumkandamiza bravos goli hata 10.
Kama Yanga ambavyo angefanya...
Huwa siangalii sana michezo ya timu za shirikisho, Ila baada ya kuwa nimeketi sehemu nikipata kinywaji nikaona watu wakitazama mpira wa Simba hivyo kwakuwa nilikuwa nimeketi na TV ikiwa mbele yangu, Hivyo nikajikuta nalazimika kutazama.
Baada ya kutazama mchezo huo nimegundua mambo machache...
Umefika muda Yanga sc hawajui hata waanze kumlaumu nani.
Kipigo cha leo cha Yanga dhidi ya Al Hilal kimekuwa na sitofahamu tatizo la Yanga ni nini kwa sasa maana kila mtu anasema lake
Kocha anasema wachezaji hawana fitness lakini mpira ulivyochezwa Yanga wamepata nafasi nyingi na ndio...
Sipo hapa kulalamika na wala sio kawaida yangu kuandika uzi wa kulalamika, binafsi matokeo ya leo hayawezi nifanya kukata tamaa kwani naijua football vizuri, bado timu ina nafasi ya kufanya vizuri katika mashindano yote inayoshiriki.
Wala sitaki kupeleka lawama zangu kwa kocha huyu mpya kwani...
Acheni hayo maneno. Si sawa hawa wageni wapo wanaojua kiswahili. so wanaelewa haya maneno wanapoyasikia inakuwa inatupa nafasi ngumu sana kwetu kuwa bila
1. Kujidunga
2. Uchawi
Haya si maneno mazuri. ni maneno ambayo wakiyasikia watu wanaweza kutuwekea wakati mgumu sana. watataka kutudhibiti...
Kwanza watu dhaifu ndiyo hudhani udhaifu ni uanauke. Inachukiza mtu anaposema mashindano ya shirikisho Afrika hushiriki timu za "wamama" akiashiria ni mashindano ya ngazi ya chini kuliko mengine.
Inakera zaidi mtu anaposema mashindano ya shirikisho ni ya "losers" wakati Yanga iliwahi kushiriki...
CAFCL Group A Preview!
Get ready for a thrilling Group A, where all four teams have a genuine shot at advancing to the next round.
Upsets are a real possibility, and even the favourites could find themselves on the brink of elimination.
#TotalEnergiesCAFCL #CAFCL
Yanga..........28
Tp...
Afisa habari wa klabu ya Yanga Ally Kamwe amesema:
"Nataka niwaambie tu Yanga hii bado, Januari kutakuwa na ongezeko la mchezaji mwingine wa kigeni. Kwa hiyo haijakamilika, tunahitaji kuchukuwa ubingwa wa Afrika"
"Huyo mchezaji aliyemsema Rais Hersi tumemleta alikuwepo uwanjani katika mchezo...
Inashangaza sana baadhi ya mashabiki wa Simba kutupa lawama kwa mwamuzi wa mchezo wengine wakitoa lawama kwa serikali, Swali la msingi ambalo wanajisahaulisha, Hivi kweli walikuwa serious wakitarajia kuifunga Young africans?
Wanapaswa kushukuru mbinu aliyoingia nayo kocha wa Yanga (kuamua...
Leo tumeshuhudia Shirikisho la Mpira wa miguu Afrika ( CAF) wa upangaji wa hatua ya makundi kombe la Klabu Bingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika ( CAFCCL) ambapo Yanga kwenye Klabu Bingwa Afrika wamepangwa na TP Mazembe DR Congo, Al Hilal ya Sudan na MC Alger ya Algeria.
Kwa...
Hili jambo nimeliwaza muda mrefu sana ila sijawahi kupata nafasi ya kulisema.
Hii timu ya Al Hilal ya Sudan sijawahi kuielewa style yake ya uchezaji. NI timu ambayo ki-rank unaweza kusema ni moja ya timu bora Afrika na pia huko Sudan na katika ukanda huu wa Afrika Mashariki unaweza kusema ni...
Sababu
1.mechi mnayoanza away dhidi ya MC Alger lazima ugongwe
2.Ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed Abdelrahman )
3..MC Alger Sina haja ya kuwaongelea, mnawajua walichowafanya
4...TP Mazembe ndio kabisaaa hamsogelei
Chonde Chonde AL Hilal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.