Droo ya robofainali ya #TotalEnergiesCAFCL & #TotalEnergiesCAFCC
itafanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha, kwa ushirikiano na mshirika wa haki za vyombo vya habari wa CAF, @beINSPORTS_EN siku ya Alhamisi, Februari 20, 2025.
Hatua iko tayari tunapopanga ratiba ya kusisimua ya robo fainali...
Wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho barani Africa, Simba SC leo wataingia uwanjani kupambana na CS Constantine kutokea Algeria kwenye mechi ya mwisho ya makundi
Mechi hiyo ni muhimu kwa timu zote mbili kwani ndio itakayoamua nani ataongoza kundi lao. CS Constantine wapo nafasi ya...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA✍️
Najua utastaajabu kwanini nakwambia ameshafuzu. Hesabu hiko ivi:-
Kwanza kabisa unapaswa kutambua kuwa simba ana point 9 huku adui yake namba moja ni blavos mwenye point 6.
Simba mpaka sasa anahitaji hata sare pekee nyumbani kwa Bravos awe amefuzu moja kwa moja...
Kikosi cha Simba kitasafiri Alfajiri ya December 5, 2024 kwenda Algeria ambapo itacheza mchezo wa pili hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine.
Kikosi kitaondoka na nyota 22 kuzisaka pointi tatu nyingine kwenye Uwanja wa Mohamed Halaoui Desemba 8 kuanzia saa 1:00...
Tangu msimu uliopita, Simba wamekuwa wakilaumu waamuzi kuwa wanaibeba Yanga na huku Mfadhili wa Yanga, Bwana GSM akibebeswa lawama zaidi. Mbali na waamuzi, pia wamekuiwa wakiilaumu TFF kuwa inashiriki kuihujumu Simba.
Tukiacha haya ya humu nchini, wakati Yanga anafika mpaka fainali ya CAFCC...
Droo imepangwa, lakini ni Kama mashabiki wa utopolo imewaumiza kuona Simba anaenda fainali kabla hata ya kucheza.
Kinachonishangaza wameanza kuikisoa CAFCC ( Ambao wao pia walicheza ), na kusema ni kombe la "WAMAMA" kwa maelezo Yao kuanzia hapa JF, mitandaoni na hata mitaani
Ila kinachoniacha...
The draw will commence with the TotalEnergies CAF Confederation Cup Group Stage Draw at 15h00 East African Time (EAT), followed by the TotalEnergies CAF Champions League Draw at 16h00 EAT.
Live Updates...
https://www.youtube.com/live/5dTi02vfih8?si=WML4Hb5ZtrEVzEHk
CAF CONFEDERATION CUP...
Match Day.
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO
#nguvumoja#
2'
Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi.
16'
Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza.
0-1
Pamoja na kwamba rank za CAF zinaibeba Simba inapokuja mijadala kuhusu hadhi ya Simba, bado kuna watu wamekuwa wanabisha kuhusu hilo.
Leo namaliza mjadala huu kwa kusema kuwa katika historia ya mpira wa Tanzania hatua ya mtoano, hakujawahi kutokea timu ya Tanzania kuanzia ugenini dhidi ya timu...
Mnyama Simba SC, yupo Tripoli, Libya tayari kwa kukipiga na Al Ahly Tripoli, kombe shirikisho Afrika.
Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 2:00 usiku.
Kaa karibu na uzi huu ili ujue kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo
Naweza kusema kwa sasa klabu ya Simba SC hususani mashabiki wa klabu hiyo hawapaswi kuwa na matarajio makubwa kwa timu yao kupata matokeo chana mbele ya Al Ahly Tripoli
ya Libya katika Kombe la Shirikisho Afrika.
Ukitazama kikosi cha Simba kwa sasa kina wachezaji wapya wengi na kocha pia ni...
*Simba na AL Ahly tripoli zote ziliingia makundi shirikisho mwaka 2022 Simba ikaishia robo fainali (ile wanachoma moto uwanjani na Orlando) na Al ahly Tripoli wakaenda mpaka nusu fainali
* Timu zote mbili ziitolewa na Orlando Pirates Simba ilitolewa robo fainali na Al Ahly tripoli ilitolewa Nusu...
Siku zote mpira unachezwa hadharani na sio propaganda uchwara, ukipanda mahindi utavuna mahindi na sio bangi, ukiwekeza kwenye mpira utalipwa sawasawa na ulivyowekeza.
Tumeona timu 4 zinashiriki mashindano ya kimataifa msimu huu na tayari timu 2 zimeshayaaga mashindano rasmi, zimebaki timu 2...
Sio kwania mbaya ama nawatisha vizuri mkawa sawa kisaikolojia. Baada ya Azam FC kutupwa nje na APR ya Rwanda katika mashindao ya CAF Champions ligi . Wanaofwata ni Simba SC katika kombe la Shirikisho la Afrika
Mashabiki mjiandae kisaikolojia.
Soma Pia: FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC |...
Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja Casablanca wala CR Belouizdad wakifika makundi msimu wa huu 2024/25 kwenye CAF Champions League.
Na mechi za makundi msimu huu zitafanyika kuanzia October mpaka December tofauti na miaka iliyopita ambapo ilikuwa...
Kocha Mkuu wa Uhamiaji Ali Bakari amefunguka yote timu yake kwenda kucheza michezo yote miwili dhidi ya Al Ahli Tripoli huku nchini Libya kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika.
Katika mchezo wao wa mkondo wa kwanza Uhamiaji walikubali kichapo cha magoli mawili kwa sifuri kutoka kwa...