cafcc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

    Leo ndiyo nngwe ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiikutanisha timu ya USM Alger ya nchini Algeria na Yanga SC ya Tanzania ambapo Yanga itakuwa ugenini. Katika mchezo wa kwanza Yanga ilipoteza 2-1 katika uwanja wa Benjamini Mkapa. Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa...
  2. Expensive life

    Utabiri: USM Alger 3-0 Yanga, Fainali ya CAFCC Juni 3, 2023

    Kila nikitizama darubini yangu inanionyesha jezi yenye rangi nyeusi yenye ufito mwekundu itashamiri sana hapo kesho. Kuna goli tatu kwa mwenyeji.
  3. GENTAMYCINE

    Hadi Jumamosi Saa 8 Mchana sijasikia TANZIA yoyote au Tukio la Kimajonzi USM Alger FC watakuwa Mabingwa CAFCC 2022 / 2023

    Nilizozipata hadi muda huu ni kwamba Mambo ni Magumu na sikuwahi kujua kuwa kumbe hata Waarabu ( hasa wa Algeria ) na Wao mambo ya Unyangindo ( Ulozi ) wanayajua. Kuna Mtu Mmoja wa Insider 259 Hopeless and Useless Passenger Team kanitonya kuwa Usiku wa Kuamkia Mechi yao ya Temeke Mvua Stadium...
  4. GENTAMYCINE

    Tunaoicheka Yanga SC sasa kwa kufungwa Juzi ukiona marejeo ya tarehe 3 wanafanya hiki jueni kwa 100% wanabeba Kombe la CAFCC

    Mkiona Nahodha wa Yanga SC Bakari Nondo Mwamnyeto Siku hiyo akiomba Waanze Wao Kuanzisha Mpira na waanzie Goli la Kusini na Mchezaji wao Aziz K au Fiston Mayele au Kenmeth Musonda Refa akipuliza tu Filimbi Mechi kuanza wakiupiga mpira upande wa Kulia wa Uwanja kutokea Goli la Kusini...
  5. GENTAMYCINE

    Je, ni kweli kuwa CAF katika Kombe la CAFCC huwa hawatoi Medali kwa Mshindi wa Pili?

    Kama Jibu ni ndiyo basi kuna Watu Medali pekee watakazorudi nazo nchini Tanzania ni Tiketi zao tu za Ndege ya Msaada waliyopewa na Kuipanda. Kudadadeki....!!
  6. GENTAMYCINE

    Mashabiki Mazuzu Yanga SC: Hata kama hatutakuwa Mabingwa wa CAFCC, ila bado Medali tutavaa

    Kwahiyo kumbe muda Wote mlioshiriki Mechi zenu za CAFCC Lengo lenu Kuu ( Mama ) lilikuwa siyo kuwa Mabingwa bali kuwa Washindi wa Pili na mvae Medali za Fedha badala ya zile za Dhahabu za Mabingwa? GENTAMYCINE muda Wote nilikuwa simwelewi aliyekuwa Msemaji wa Simba SC ( sasa ni Mhamasishaji...
  7. NALIA NGWENA

    Asante sana Fistoni Kalala Mayele kwa goli lako bora la siku. Wanayanga hatuna cha kukudai

    Goli alilofunga Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika limeteuliwa kuwa goli bora la siku katika mchezo huo. Mayele mpaka sasa ndiye kinara katika mbio za mfungaji bora wa michuano hiyo akiwa tayari...
  8. NALIA NGWENA

    Viongozi wa Yanga SC imegeni milioni ishirini ya 'Goli la Mama' ipelekwe kwenye mazishi ya shabiki yenu

    Nitangulie kutoa pole kwa wafiwa wote na walioguswa na msiba uliotokea jana wa shabiki wa Yanga mwenye mapenzi ya dhati na timu yake. Natumia jukwaa hili pendwa la michezo NALIA NGWENA kutuma ujumbe wangu huu kwa Viongozi wa Yanga baada ya kupokea kibunda cha Mama hilo fungu limegwe lipelekwe...
  9. GENTAMYCINE

    Baada ya kuona hawana chao tena CAFCC sasa wanatambia Ufungaji Bora wa Mayele kama sehemu ya Kujifariji

    Tafadhali tubakie tu katika uchezaji wa Yanga SC na fainali iliyoko na tusizuge sasa kwa kuhamisha goli kujifanya kufungwa kwenu na USM Alger FC jana siyo Muhimu kwenu na kwamba ufungaji bora anaokwenda kuupata Fiston Mayele ndiyo gumzo kuu na Mafanikio yenu huko CAFCC. Kudadadeki...!! Kila la...
  10. Smt016

    Kuelekea mechi ya kwanza ya fainali ya CAFCC siku ya jumapili

    Jumapili ndani ya dimba la Mkapa inaenda kuwekwa historia ya fainali ya kwanza ya mchezo wa CAF kwa ngazi ya vilabu. Ni fainali ya CAF confederation cup, tukumbuke tu kuwa mara ya mwisho Yanga kupoteza mechi katika michuano hii ilikuwa ni rarehe 12 mwezi wa 2 mwaka 2023 dhidi ya Monastir...
  11. The best 007

    Rasmi, Yanga ndio timu bora zaidi Afrika Mashariki na Kati

    Haijawahi kutokea hapa Tanzania kukawa na timu ya mpira wa miguu iliyo bora kama au kuliko Young Africans, Yanga pia ndiyo timu pekee kutoka Tanzania kushinda mechi nyingi za nje za kimataifa kwa msimu mmoja. Mpira wa miguu utapata heshima kubwa na kuleta maana ikiwa Yanga itachukua ubingwa wa...
  12. Mzawa_G

    Ile timu tuliyoaminishwa kuwa ni bendi kwakuwa imekusanya wakongo wengi hatimae imetinga fainali ya CAFCC

    [emoji94] Ile timu tuliyoaminishwa kuwa ni bendi kwakuwa imekusanya wakongo wengi hatimae imetinga fainali ya CAFCC duuh, na ndo hao hapo wanakata mayenu baada ya kumaliza kazi ya msingi iliyowaleta Tanzania, wametujibu kwa vitendo nje na ndani ya uwanja, wametufunga midomo tuliowabeza, kumbe...
  13. Gordian Anduru

    Yanga ilivyompiga USM Algiers 2-1 mwaka 2018 CAFCC, goli la Makambo na Kaseke

    Hawa tumeingia nao fainali lakini tushawahi kucheza nao kitambo na tukawaua, mechi hiyo ilihuhduriwa na Mkuu wa majeshi na Manji, tena kipindi hicho Yanga ya kuunga unga mwana
  14. Scars

    FT: CAFCC: USM ALGER 2 VS 0 ASEC MIMOSA | 17/05/2023

    Baada ya Yanga kutinga fainali sasa ni mechi ya kuangalia nani anaenda kukutana na Yanga kwenye fainali Mchezo ni saa 4 usiku (EAT) Vikosi kwa timu zote mbili
  15. M

    Yanga SC ikishinda leo na Kufuzu Fainali CAFCC nawakabidhi Mke wangu Mrembo mserebuke nae kwa Siku 3

    Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
  16. GENTAMYCINE

    Naanza sasa Kumuamini aliyeniambia kuwa Kipa Msheri wa Yanga SC atapona Ugonjwa Usiojulikana Yanga SC ikiwa Bingwa wa CAFCC 2023

    Pole sana Kipa Msheri vumilia hadi Yanga SC itinge Fainali ya CAFCC leo ichukue na Ubingwa utapona kabisa tatizo lako lisilotibika Hospitali huku Ugonjwa wako ukifichwa na Suala lako likifichwa kwa kila namna ili lisijadiliwe kwani Kuugua Kwako huko ni Mkakati Maalum wa Babu ili mwaka huu Timu...
  17. GENTAMYCINE

    Sincerely kwanini nataka Yanga SC ifike Fainali ya CAFCC na Ibebe kabisa na Ubingwa?

    1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke. 2. Ili Uongozi mbovu na wa Upigaji mwingi ubadilike au uachie ngazi. 3. Itufanye Mashabiki wa Simba SC kuachana na...
  18. Scars

    FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

    Mechi imeanza hapa muhamed 05 huku Wydad wakizidisha zaidi mashambulizi
  19. GENTAMYCINE

    Kuna Uwezekano Mganga wa Kienyeji aliyemfanyia Kazi Tukuka Musiba akawa ndiyo huyu huyu wa Yanga SC inayoenda kuwa Bingwa wa CAFCC 2023

    Tafadhali Poti wangu Musiba kuna Demu Mmoja wa Kihaya na Kinyiramba si tu ananisumbua bali ananikondesha pia kwa Kunikatalia kunipa 'Tamu Baioloji' yake. GENTAMYCINE nipo chini ya Fito zako naomba unipe Namba yake / zake za Simu ili nimpigie anifanyie Kazi yangu ifanikiwe ning'oe Mzigo kama...
  20. GENTAMYCINE

    Kuna Wapuuzi wataiamini hii Kauli ya Kiunafiki ya Kocha Mkuu wa Marumo Gallants FC kuelekea Mechi yao ya CAFCC

    " Kama kuna Timu naiogopa na Mchezaji Hatari kwa sasa Africa basi ni ya Yanga SC na Fiston Mayele. Hakika wako vizuri sana na Mayele atawafikisha mbali kwa Umahiri wake wa Ufungaji na ana uwezo wa hata Kucheza Timu Kubwa Uingereza na Kwingineko Ulaya" Dylan Keir Kocha Mkuu wa Timu ya Marumo...
Back
Top Bottom