Kwa Uwezo mkubwa aliouonyesha Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nina uhakika kama tu akisajiliwa Wachezaji wa maana (Majembe) Msimu ujao Simba SC haitoishia tu kufika hatua ya Nusu Fainali bali itafika hadi Fainali kabisa.
Pongezi nyingi Kwake Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera...
Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la Afrika.
Pili kama kuna mwana Simba SC Mwenzangu hapa JamiiForums anabeza Mafanikio haya ya Yanga SC na...
1) Yanga imekuwa timu ya Kwanza (CAF) kuwafunga Rivers United nyumbani kwao.
2) Imekuwa timu ya kwanza kuwazuia Rivers Utd kufunga bao (CAF) wakiwa kwao
Haya ni matokeo ya Rivers United wakiwa nyumbani kwao kwa msimu huu kwenye mashindano ya interclub.
Rivers 2 - 1 Wydad Casablanca
Rivers...
Kwa hali ilivyo sasa Yanga wanaweza kuivuka Historia ya SIMBA. I am a SImba Fan lakini SIMBA mwaka Jana kulikuwa na timu kama BERKANE ORLANDO.
This Time CAFCC kuna timu nyingi lakini za kawaida sana mfano future pyramid FAR RABAT na Rivers zote za kawaida sana.
Goli alilofunga Mayele dhidi ya US Monastir katika moja ya mechi za CAFCC Limetinga na kuwa moja ya goli bora kuwahi kutokea CAFCC.
Tazama Link
Hongera Mayele.Hongera Young Africans SC.
Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'.
Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni..
Mwambieni ache kupoteza watu maboya...
Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii
Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC.
Saa moja jioni mbivu na mbichi kujulikana. Tupo hapa kuisubiri saa 1 jioni ili tumalizane.
Mimi na wenzangu tupo hapa...
Yanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8...
Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha point 6, mchezo wa mwisho ni Lubumbashi trust me Yanga anakufa Mazembe anakuwa na point 9, Yanga 8...
Mechi za ushindi Kwa timu ya Simba zimemalizika rasmi Leo Kwa ushindi mnono dhidi ya vipers. Mechi hivyo imeifanya Simba kuwa nafasi ya pili Kwa alama sita nyuma ya vinara Raja club athletic. Timu ya Simba inachuana vikali na Horoya katika nafasi ya pili hivyo yeyote kati Yao atafuzu.
Kwa...
Tayari Yanga SC ina Alama 3 hivyo akitoka tu sare/suluhu huko nchini Mali dhidi ya Real Bamako FC atakuwa na alama 4 au 6 kama akishinda.
Mechi yao ya marudiano Dar es Salaam nchini Tanzania Yanga SC akishinda atakuwa na alama 9 na hata kwa bahati mbaya akitoka suluhu bado atakuwa na alama 5...
Hiyo ambayo naiona itafuzu Robo Fainali (CAFCL) kama ilivyozoea sasa ijipange zaidi kwenda hadi Nusu Fainali na ikibahatisha ifuzu Fainali japo kwa Kikosi chake cha sasa na Migogoro iliyopo hilo silioni labda kwa Michuano ya Msimu ujao pale tu ikitulia Kiutawala na Kiudhamini (Kiuwekezaji)
Hiyo...
Matokeo ya mechi (In Aggregate) za playoff za kuwania hatua ya makundi za CAFCC katika msimu wa 2022/23 ni kama ifuatavyo:
Marumo Gallants 3-1 Al Ahli
Tripoli
CS Sfaxien 1-2 ASKO
St Eloi Lupopo 1-0 RC Kadiogo
Diables Noirs 6-2 La Passe
Al Akhdar 4-4 Plateau United
Club Africain 0-1 Yanga
Future...
Mwaka jana vijana wangu wawili walikuwa wanafanya mitihani yao ya Taifa. Mkubwa alikuwa akifanya mitihani ya kidato cha 4 na huyu wa mwisho alikuwa akifanya mitihani ya darasa la 4.
Matokeo yao yalipotoka mwaka huu yalikuwa hivi:-
1. Huyu wa darasa la 4 alifaulu kwa kupata A zote. Nyumbani...
"Simba SC (Makolo) waache kujitutumua kushiriki hilo, Kombe la Shirikisho kwani ni Kombe la watu walioshindwa (Losers) na wanamume pekee wamebaki kule Kombe la Klabu Bingwa na ndiyo wa kuwaheshimu", Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara.
Nitashukuru sana mno wana Yanga SC wote (hasa hasa...
Asante Mwenyezi Mungu kwa kunipa Talanta Kubwa ya Kujitengenezea Mjadala na niwe Mjadiliwa Mkuu wa Matukio Kinzani hapa Jamiiforums.
Watu tokea Saa 4 Kamili Usiku huu baada ya Mechi ya Yanga SC na Club Africaine kumalizika Akili zao zote zilikuwa ziko Jamiiforums na hasa hasa Kwangu Mimi...
Mmecheza mpira mwingi na mkubwa mno huku wachezaji wote wakiwa na ari, nia na uthubutu wa kufanya vyema, na hakika mmekifanya na mmestahili pia.
Hata hivyo mwenyewe tu kimoyo moyo nilikuwa bado natafuta kiini cha ajali ya ndege ya watu majuzi na waliosababisha, kwani kwa ndege kama ile, tena...
FULL TIME: Yanga inafanikiwa kufuzu Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika
90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza
89' Bakari Mwamnyeto anaingia anatoka Morrison
88' Wenyeji wanaonekana kama wamkata tamaa, wanapata kona
80' Yanga wameanza kucheza vizuri zaidi, wanamiliki mpira
Azizi Ki...
Natamani kiongozi mmoja amshike bega mtoto pendwa mwana Kalala amwambie kuwa katika mechi hii inahitajika nafasi moja ili kulipata goli moja, natamani amwambie kuwa pindi azam tv na king’amuzi chao bora watakapotoa takwimu za mwisho na tukaona upande wa njano na kijani una on target 3 basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.