cafcc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Nina wasiwasi Simba SC anaweza asifuzu hatua ya Makundi kwenye Kombe la Shirikisho mwaka huu

    here are my reasons after Al hilal Tripoli review. Al Hilal Tripoli might be considered better than the new Simba SC team: 1. Team Cohesion: Al Hilal Tripoli has had more time to build strong relationships and understanding among players. This cohesion often translates to better on-field...
  2. Maajabu ya timu za Zanzibar zinazoshiriki mashindano ya kimataifa

    Zanzibar ina timu za mpira wa miguu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ya Shirikisho la Mpira Afrika(CAF),yaani Shirikisho na Klabu Bingwa. Pamoja na kuwa na uwanja wa Amani ambao umetumia gharama kubwa kuukarabati,timu za JKU na Uhamiaji zinacheza mechi zao za nyumbani ugenini. Soma Pia...
  3. M

    Utaratibu wa timu kuanzia round ya awali halafu zingine zinasubiri round ya pili ni wa hovyoo sana

    Nadhani CAF inatakiwa kufanya review katika baadhi ya mambo yake . Hii ni taswira ya kibaguzi. Pia na suala la timu kubwa kuanzia ugenini nao huu ni utaratibu wa hovyoo sana.
  4. Je wanaume tunaruhusiwa kutazama mechi za shirikisho?

    Salaam alaikum wakuu Baada ya kushuhudia soka safi la Caf Champions Ligi mechi Bora sana za kiume ambazo mpinzani anapigwa goli nne. Lakini bado anapambana kuliko makolo nimejikuta najiuliza maswali haya. Je: ni sahihi Kwa sisi wanaume kukaa kwenye tv/ kwenda uwanjani kutazama mechi za...
  5. Zakazakazi: Wanasimba njooni Chamazi Jumapili tulipe kisasi kwa APR

    Hakuna kitu kilichowahi kuniumiza moyo kama nilipomuona mnyamwezi mwanzangu Ismal Aden Rage akilia kama mtoto baada ya KUTENDWA na APR. Kwa kweli huu ni mkasa ambao wana simba wanabidi waujue na waje kwa wingi Chamazi kuungana na sisi kumlipia kisasi gwiji wao huyo. Ilikuwa mwaka 2012 baada ya...
  6. Uwanja wa Azam Complex kutumiwa na vilabu 6 michuano ya kimataifa msimu 2024/2025

    Idadi ya timu sita zinazoshiriki mashindano ya klabu Afrika yatakayoanza mwishoni mwa wiki hii zitatumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zao za nyumbani. Sababu tofauti zimechangia kuzifanya timu hizo kuchagua uwanja huo unaomilikiwa na Azam FC ambazo ni usalama duni katika baadhi ya nchi...
  7. Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni? Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
  8. Matokeo bora zaidi Hatua ya Makundi ya CAF Champions League

    Kumbe hapo zamani Uto alishawahi pigwa 6-0 kwenye hatua ya makundi ?
  9. J

    Kombe la Shirikisho (CAFCC) au Loser Cup limefutwa?

    Kombe la Shirikisho ambalo ni shindano pendwa la Yanga limefutwa? Maana sisikii tena likizungumziwa hata wachambuzi wala mashabiki Vip hili kombe limefutwa au ndio kuwa halina mvuto kabisa hadi limesahaulika na kila mtu?
  10. Kinachoniuma ni kwamba Timu zote nilizopangiwa 'hazirogeki' na wala 'hazihongeki' kama zile za kule CAFCC

    1. National Al Ahly SC (Egypt) 2. CR Belzoud FC (Algeria) 3. Club Medeama (Ghana) 4. Ihefu FC (Mbarali Tanzania) Kudadadeki.....!!
  11. Hongereni kwa Kuitafuta Furaha ya Makundi CAFCL kwa Miaka 25, ila msidanganyane kuwa huku ni Kwepesi kama mlikokubahatisha CAFCC Final

    Huku kunahitaji Uzoefu mkubwa mno na hapa wala msione Aibu kujifunza kutoka kwa Simba SC hata kama huishia Robo CAFCL mara kwa mara. Na kuna Uwezekano hata katika Pot yenu ya Makundi mkapangwa na Mamelodi Sundown FC, Esperance Du Tunis na Pyramids FC hivyo hapa sijui mtatokea wapi japo mnatoa...
  12. Kwanni nafurahi Azam FC kutolewa mapema hatua za Awali za CAFCC leo?

    1. Wana Uyanga mwingi 2. Wana Unafiki 3. Wana Dharau 4. Tajiri yao hashauriki 5. Laana ya Usaliti inawagharimu 6. Wachezaji wao wanaikamia zaidi Simba na siyo Yanga 7. Wana Ushamba unaowaponza Naipongeza mno kama siyo sana hiyo Klabu iliyowatoa Azam FC kwa Aibu hasa katika hatua hizi za Awali...
  13. FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

    Match hii itachezwa leo saa 1 jioni kwa saa za africa mashiriki au 1600 hrs GMT kati ya Azam Fc Vs Bahir Dar Kenema, katika kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Africa maarafu CAFCC, Watanzania wote wanaiombea Azam ishinde na kuzidi kuipeperusha vyema bendera...
  14. Azam FC hatoingia Makundi CAFCC, Club Africain Kizingiti

    Hatua ya makundi CAFCC ni ngumu zaidi kuliko CAFCL. Sababu mojawapo unacheza na timu ambazo hazifahamiki sana ana zenye wachezaji wanao weza kuku saplaiz kiwanjani. Ukicheza na timu kubwa ni rahisi mno kupata matokea, kwasababu unafahamu quality ya kila mchezaji hivyo ni rahisi kuandaa mpango...
  15. Kuna Klabu Tanzania ilijipanga Kuharibu CAFCL ili iangukie CAFCC ibahatishe kama ilivyobahatisha 2022/2023

    Asanteni sana CAF kwa Uamuzi huu kwani kwa Tanzania kuna Timu moja tu yenye DNA ya Kufanya vyema CAFCL kwa kufika hatua za Juu ila kuna Klabu nyingine ya Tanzania GENTAMIYCINE naionea mno Huruma kwani itacheza Mechi zake Mbili tu za Awali na Timu za maana za CAFCL na siyo zile Nyepesi ( Mchekea...
  16. CAF watalifuta goli la ugenini endapo Al Ahly ataonja uchungu kwa kutolewa na Wydad Casablanca kwa goli la ugenini

    Jambo wanamichezo na wadau wa football kwa ujumla, NALIA NGWENA the great thinker, mkombozi wa fikra mpya kama mnavyoniita Wanajamiiforums wenye upendo wa dhati, leo naleta hoja kidogo kuhusu goli la ugenini katika michuano ya CAF. Kwa kweli goli la ugenini linaumiza sana, tena sana, lakini...
  17. Tujikumbushe ya wakilishi wa taifa kimataifa msimu uliopita CAFCC

    “Orlando Pirates through to the Semi-Final @SimbaSCTanzania you can burn juju all you want but not in our HOUSE,” Merafe said.
  18. M

    Yanga kucheza tena Fainali sio baada ya miaka 10 bali ni miaka 88 ijayo

    Wadau nichukue nafasi hii kuipongeza Klabu ya Yanga kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho mwaka huu 2023 ikiwa ni miaka 88 toka Klabu ianzishwe. Miaka 88 sio muda mfupi ni muda mrefu sana. Kuna Shabiki mmoja ametabiri kuwa labda itacheza baada ya miaka 10 lakini mimi ninampinga sana...
  19. Hatimaye Mabingwa wa medali CAFCC Yanga SC wamerejea nchini

    Baada ya kumchapa mwarabu nyumbani kwake hapo jana Yanga SC na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa medali hatimaye wamerejea nchi na ubingwa wao.
  20. C

    Mtazamo wangu: Yanga ndiye bingwa wa CAFCC 2023

    Naanza kwa kuipongeza timu ya Yanga kwa hatua kubwa waliyoifikia kimpira! Japo hawakushinda kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa na CAF binafsi naamini Yanga ndiye bingwa wa michuano ya CAFCC 2023. Wamecheza soka safi na la kisomi, hongera kwako Nabi na timu yako ya benchi la ufundi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…