Kwahiyo wala msipoteze muda wenu kusubiria Matokeo yao ya Kesho au Keshokutwa hapo Mwenge Kwao kwani si tu kuwa Watafungwa bali Watafungwa nyingi sana.
Droo ya robofainali ya #TotalEnergiesCAFCL & #TotalEnergiesCAFCC
itafanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha, kwa ushirikiano na mshirika wa haki za vyombo vya habari wa CAF, @beINSPORTS_EN siku ya Alhamisi, Februari 20, 2025.
Hatua iko tayari tunapopanga ratiba ya kusisimua ya robo fainali...
Mpaka sasa Al Ahly keshabanwa vigololi vya mipira kwa bao 1-0. Stade Abidjan ambao ndio wanyonge wa kundi hilo wamemkamata koo Al-Ahly hapumui.
Sasa hivi ni halfa time.
Sijazoea Unafiki na najua kwa huu Ukweli wangu nitachukiwa mno na wasiopenda Ukweli na Wadau wa Unafiki.
Yanga SC wametuzidi Simba SC kwa Jezi nzuri katika Michuano ya Kimataifa inayoenda kuanza hivi karibuni.
I will short
Yanga previously anticipated a tough group to disappoint one of the favorites to win the CAFCL.
They wanted sundowns, to enhance it's presence and superiority in the cup. But as draw came out.
Yanga was nicked out with teams with almost the same level of financial power.
The...
Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
The draw will commence with the TotalEnergies CAF Confederation Cup Group Stage Draw at 15h00 East African Time (EAT), followed by the TotalEnergies CAF Champions League Draw at 16h00 EAT.
Live Updates...
https://www.youtube.com/live/5dTi02vfih8?si=WML4Hb5ZtrEVzEHk
CAF CONFEDERATION CUP...
Habar za uzima wana JF
Tarehe 7/10/ 2024 mwaka huu katika mji wa CAIRO ambapo ndipo yalipo makao makuu ya CAF tunatarajia kushuhudia droo ya kupangwa kwa makundi ya mashindano ya cafcl & cafcc kwa msimu huu.
Kwa upande wa cafcl kutakua na pot's 4 , :- pot 1 ;-Al ahly{Egypt}...
Ligi Ya mabingwa Barani Africa kuendelea Leo Tena ambapo Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano hiyo YANGA SC watashuka dimbani majira Ya saa 2 usiku dhidi ya CBE ya Ethiopia.
Mkondo wa kwanza ulimalizika kwa Yanga sc kushinda Goli 1 ambalo lilifungwa na Prince Dube⚽️
Match Day
CAF Champion League
Young Africans SC VS CBE SA
2nd Preliminary round
2nd Leg
Stadium: New Amani Stadium Zanzibar
Date: 21-09-204
Time 8:30pm EAT
Soma Pia: FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024...
Kikosi cha Yanga SC kitashuka uwanjani kupambana na CBE SA FC katika mechi ya mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2024/2025) leo, Jumamosi, Septemba 14, 2024. Mchezo huu utaanza kuanzia Saa 9:00 alasiri.
Macho ya Watanzania yataelekezwa jijini...
Nimepitia highlight ya game ya Gor Mahia vs El merreik ya South Sudan.
Wakenya walishinda 5-1, wakafuzu kwa hatua ya pili ya mtoano ili waweze kuingia makundi.
Wanakutana na bingwa mtetezi na Bingwa mara nyingi zaidi katika CAFCL Al Ahly.
Ukiwatazama namna hawa wakenya wanavyocheza unaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.