Club ya Simba ya wanawake huku ikicheza hovyo na kinyonge imebugizwa goli 3 kwa 2 na polisi ya Kenya
Simba iliyocheza kama watoto wa umisseta imeshindwa kabisa kutamba
"Watoto wa Mgunda a.k.a awali ya yote wameonekana kucheza bila muunganiko
Azam FCleo anacheza na APR FCya Rwanda kukata ticket ya 2nd stage ya preliminary round . mechi ya kwanza aggregate azam fc 1 -0 APR FC. penalty ya Blanco.
Mechi saa 1 kamili. #TUMEIPATA CODE
Mashindano ya CAF yote ni mashindano ya kikanuni,
Timu nyingi zilizofanikiwa hucheza kikanuni.
Miguel Gamond mechi yake ya kwanza alicheza kimazoea kule Algeria Yanga ikapokea kichapo cha mbwa koko,
Nakumbuka hiyo siku akina yao yao na wenzake walikuwa wanapanda kushambulia bila tahadhari yaani...
Matajiri wa Chamanzi wamepata code za mechi za KIMATAIFA, watakiwasha na mabingwa APR ya Rwanda kwenye CAFCL Preliminary Round.
Azam FC wanakikosi EXPENSIVE Africa Mashabiki na Kati.
#TUMEIPATA CODE
Azam wana team nzuri, wamemsajili vizuri sana, nilidhani watafuzu hizi hatua ila kila nikiangalia naona anaangukia pua
Azam hatua ya awali wamepangwa na mbambe APR ya Rwanda, hii ni team ngumu haswa, wana uchumi mzuri, wana wachezaji wakubwa hasa.
Kuna yule Mghana na dogo Fulani beki ni...
Match Day
Vital'O FC vs Yanga SC
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
#Daimambelenyumamwiko#
Updates...
Mpira umeanza Timu bado zinasomana.
Dk 05
Dubeeeeeeeee anaipàtia Yanga goal lakuongoza hapa .
Goal la kwanza kwa Yanga.
0-1
Dk 08'
Vital'O wanajaribu kufika kwenye lango la Yanga, beki...
Hongera sana Young African kwa kiwango bora na chakushangaza. Hakika hakuna timu ya kuifunga Yanga hapa Tanzania. Hatua hii ni kutokana na uongozi imara usio na tamaa. Simba S.C sio kwa ubaya ila yafaa mjiulize na kujifunza kwao kwani kujiuliza kwa aliyefanikiwa sio vibaya.
NB: Young African...
kipre Jr ame improve sana game yake this season. yeye ndo alikuwa anafanya kazi yake na nusu ya Feisal salum pale Azam fc.
which made Feisal shine.
Game yake ingekuwa kitu muhimu sana kwa Azam fc kuwa tofauti in group stage qualifications round amefit vizuri na team. Boss wa Azam tajiri...
Wakuu, kuna orodha ya timu 19 zilizoshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika Msimu wa 2024/25 Orodha hii haijapangwa kwa kuzingatia ubora wa timu husika.
Simba SC
Zamalek SC
Wydad AC
ASEC Mimosas
RS Berkane
AS Vita Club
CS Sfaxien
ZESCO United
Etoile du Sahel
Coton Sport de...
Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi.
Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
Mnyama Simba SC Ijumaa ya leo atakuwa dimba la Cairo International akicheza mechi ya marudiano ya robo fainali ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. Katika mchezo wa kwanza Simba ilifungwa goli 1-0.
Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 5:00 usiku.
Je, Simba watapindua meza?
---
Kikosi cha...
Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
Mpaka ninapoandika makala hii timu zote zilizoingia robo FAINALI zimetoka sare ya 0-0 kasoro Al AHLY TU ndo amekutana na kibonde akamfunga. Kwa hiyo kolozdad mbovu
Ijumaa hii ya 29/03, Simba anacheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya robo fainali ya CAFCL. Ijumaa hiyo hiyo ni mwanzo wa maadhimisho ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kuna mfanano mkubwa kati ya sikukuu ya Wayahudi inayoitwa Passover na sikukuu ya Wakristo ya Pasaka. Sitaenda...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema hakuna shabiki atakayedaiwa pasipoti wakati anaingia uwanjani katika mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Mamelodi Sundowns.
TFF imesisitiza kuwa michezo haisimamiwi na idara ya uhamiaji, hivyo imewatoa hofu wachezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.