Thamani ya kikosi, ubora na ukubwa wa Wydad ilitegemewa Wydad wangepata ushindi mnono wa zaidi ya goli tatu lakini haikuwa hivyo.
Well done kwa Simba hakika wameonesha uwezo mbele ya Wydad AC bingwa mtetezi wa cafcl.
CAF kuichagua Simba kutoka ukanda wa SADC kuwemo kwenye michuano ya Super...
Nawapongeza Simba kwa kwenda mapema huko Casablanca kuzoea hali ya hewa hasa ya majira ya jioni ila faida hiyo ya kwenda mapema ina hasara zake. Ningeweza kupendekeza mazoezi yangefanyikia hata Tunisia ambako hali ya hewa haitofautiani sana na ya Morocco halafu Simba waingie Casablanca siku moja...
Hapa Leo sitaongelea ushabiki kabisa bali tutazungumza kuhusu mpira na mstakabali wa nchi yetu. Basi nieende kwenye point moja kwa moja nchi yetu ya Tanzania inawatu takribani milioni 60, na vijana wakiwa wengi kuliko wazee ambao vijana tunaonekana ndo watu ambao tunaweza kuikomboa nchi yetu...
Nami GENTAMYCINE nauliza je, wakiongezea na High Pressure yaani tucheze Mifumo yote Mitatu ya Low Block, High Pressure and Counter Attack kwa mfumo wa 4-1-4-1 Mwarabu hatochapika Kwao Mohammed V Stadium Siku ya Ijumaa na Mnyama ( Simba SC ) kutinga kwa mara ya Kwanza CAFCL Semi Finals?
Karibuni...
Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'.
Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni..
Mwambieni ache kupoteza watu maboya...
Wachezaji wetu wawili Chama na Kanoute wanawania tuzo ya mchezaji bora wa wiki wa CAF kutoka kwenye mashindano makubwa ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Haya sasa Wana Simba twende tukapige kura tumchague mchezaji bora wa wiki kati ya Chama au Kanoute
My Take
1. Tunakuomba ingia twiter kumpigia kura...
Wakuu huwa tunaongea kimasihara hapa na kuiponda Simba, kumponda mwekezaji Mo Dewji na kimuita majina ya ajabu.
Wacha-mbuzi uchwara nao utawasikia wakiiponda Simba na kuiita timu ya hovyo.
Lakini kiukweli Simba japo haipo kwenye kiwango chake cha ubora, bado ni timu kubwa sana Afrika...
Tayari Yanga SC ina Alama 3 hivyo akitoka tu sare/suluhu huko nchini Mali dhidi ya Real Bamako FC atakuwa na alama 4 au 6 kama akishinda.
Mechi yao ya marudiano Dar es Salaam nchini Tanzania Yanga SC akishinda atakuwa na alama 9 na hata kwa bahati mbaya akitoka suluhu bado atakuwa na alama 5...
Sitaki kuiamini sababu kuwa Kusafiri kwa Basi kwenda Kagera ndiyo kumesababisha Uchovu ule Uliioonekana kwa Wachezaji walipocheza na Kagera Sugar FC.
Ila nikiambiwa moja wapo ya Sababu hizi za Kiuchunguzi nilizozifanyia Kazi nitaaziamini tena kwa 100%.
1. Posho za Wachezaji Kulimbikizwa huku...
Mwaka jana vijana wangu wawili walikuwa wanafanya mitihani yao ya Taifa. Mkubwa alikuwa akifanya mitihani ya kidato cha 4 na huyu wa mwisho alikuwa akifanya mitihani ya darasa la 4.
Matokeo yao yalipotoka mwaka huu yalikuwa hivi:-
1. Huyu wa darasa la 4 alifaulu kwa kupata A zote. Nyumbani...
Kikubwa kinachotakiwa katika Mechi za Kufuzu kutinga Makundi ya CAFCL siyo idadi ya Magoli au Umechezaji bali ni Mikakati na Mipango ya Kukupeleka huko hivyo hata kama Umefuzu kwa Goli Moja tu au Umecheza vibaya wala haijalishi ila muhimu ni Kutinga Makundi huku ukiwaacha Wengine waje...
FULL TIME
90+1' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza
90' Wenyeji wanaweka mpira wavuni lakini mwamuzi anasema mfungaji aliotea
81' Farid Mussa anaingia, anatoka Fei Toto kwa Yanga
76' Yanga wanamtoa Morrison anaingia Makambo
70' Mchezo umesimama kwa muda, mchezaji wa Al Hilal ameumia
60' Fei Toto...
Thamani ya ligi yetu itaongezeka sana. Watanzania wataanza kuangaliwa ili wasajiliwe timu nyingine za Afrika. Na pengine makocha wetu wanaweza kutazamwa.
Yanga siwapendi na mpira wao uko sana mdomoni lakini ningefurahi mwaka huu na sisi tuwe na timu mbili kwenye makundi CAFCL. Azam nao...
Kama mechi yenu tena ya hapa hapa nyumbani Dar es Salaam nchini Tanzania Uwanja wa Mkapa ilionyeshwa mubashara (live) na mkademadema na kupata alama (point) moja mnadhani kwa kuonyeshwa kwao ndiyo mtawafunga?
Wenzenu Wasudan (Waarabu) nje ya mpira pia wana jicho kali la kibiashara hivyo waliona...
YANGA ikiwa ugenini inapiga mpira mkubwa mnooo, hapa Al ahly mashabiki walikuwa FULL HOUSE
achana na hawa jamaa zetu waliokuwa wakicheza na Al ahly kukiwa na mashrti sharti ya Covid
ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kwa bingwa mara 8 wa afrika wakati huo Al ahly alipokutana na timu ya wananchi Dar Yanga Afrika akapasuka bao moja bila
KAMA KUNA TIMU YOYOTE IMEWAHI KUIFUNGA AL AHLY basi wajue ni marudio tu WANANCHI wamefanya hayo kitambo sana (Been there done that)
Mashabiki...
-Klabu ya Simba SC ya Tanzania sasa rasmi imekuwa miongoni mwa vilabu 10 ambavyo vitaanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF Champion League msimu 2022/23 kama msimu uliopita baada ya CAF kupitisha utaratibu wa vilabu 10 bora kuanzia raundi ya kwanza ya michuano ya CAF Champion League...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.