Binafsi ni mwana Simba lakini kuna kila dalili droo ya Yanga vs Mamelodi ilipangwa kimkakati , ikihusisha mawazo tofauti tofauti hususani YANGA na Mamelodi ziko kwenye kiwango bora kwa sasa .
Kuna nini Nyuma ya Hii droo ?
Probability of winning the 2023/24 CAF Champions League according to Africa Soccer Zone.👀🏆
Mamelodi.,........24%
Al ahly........20%
esperence ....14%
Petro atletico 12%
Young Africans .....10 %
Tp mazembe.......6%
Simba ........6%
Source...... African soccer zone
😂😂
#TotalEnergiesCAFCL #CAFCL
Baada ya kuona Matokeo ya droo ya Timu zitakazocheza Robo Fainali hapa ni Utabiri wangu wa mechi za robo fainali..
kwa timu za Tanzania Yanga atajitutumua atatoa Droo Nyumbani ila Atafungwa Ugenini hivyo kuyaaga mashindano hayo..
Wakati huo Simba atafunga goal nyingi Nyumbani,Ila atafungwa...
Ama kwà hakika Mpirà ni mchezo wa wazi,hauna longolongo kwà watu wanaoamini Mpirà ni sayansi.
Ni wiki sasa tangu ule upande wa MAJINI FC ushinde goli zao nne na kupelekea benchi zima la ufundi likiongozwa na msemaji wao Ally Komwe kuzimia na kulazwa Hospitali ya Mwananyamala 8kutokana na...
Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita /...
GENTAMYCINE nawaambieni hili mapema na Asubuhi hii kwakuwa tayari nimearifiwa na Chanzo Muhimu kuwa Ombi lenu la kwenda Zanzibar kuutumia Uwanja wa New Amani Complex kwa Mechi zenu za Ligi Kuu (NBC) na FA (ASFC) halitokubaliwa ila kwa Kuutumia kwa Mechi zenu za CAFCL mtaruhusiwa nyie na Yanga SC...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC Vs Medeama SC
📆 20.12.2023
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 4:00pm
Mungu Ibariki Tanzania!!
Mungu ibariki Yanga!!
#DaimaMbeleNyumamwiko#
Kikosi cha Yanga kinachoanza.
Kikosi cha Medeama Kinachoanza.
Dakika ya 33'
Yanga wanapata goli, kupitia kwa Pacome.
Yanga 1 -...
Leo tarehe 09/12/2023 saa 4:00 usiku timu ya Simba kutokea Tanzania itakuwa na kibarua ugenini kucheza dhidi ya Wydad AC ya Morocco Jijini Marrakech.
Hii itakuwa mechi ya tatu hatua ya makundi CAFCL. Katika kundi B Wydad AC ndiyo timu pekee ambayo haina pointi hadi sasa baada ya kufungwa mechi...
Asalaam Aleykum(Amani iwe nanyi) Tanzania na Dunia kwa ujumla.
Leo naomba niwazungumzie wananchi, Dar Young Africans Wana jangwani
Nipende ku'declare interest' kwa mambo yafuatayo.
🙌 Mimi n mshabiki na mpenzi wa soka wa muda mrefu na siko mbali na maswala ya ukufunzi wa mpira wa mguu
🙌Yanga...
Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023
Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni katika uwanja wa Baba Yara nchini Ghana.
Je, wawakilishi hawa wa Tanzania...
Match Day
🏆CAF Champion League
⚽ Jwaneng Galaxy vs Simba
🏟️ Francistown Stadium
🗓️ 02.12.2023
⏰ 1600hours (EAT)
Kikosi cha Jwaneng' Galaxy kinachoanza.
Kikosi cha Simba Kinachoanza
All the Best Mnyama.
Updates...
Sasa ni Saa Tisa na Dakika 25 Alasiri.
Hali ya hewa ya Dar es Salaam ni ya...
Hiki ndio kinakwenda kutokea michezo hiyo ikikamilika kuchezwa nyumbani na ugenini.
Simba atatolewa, kisha Yanga atakuja kumtoa AL Ahly.
Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na katika matokeo ya jumla, atakuwa na magoli mengi kuliko Waarabu.
Subirini.
Mara ya mwisho Simba kukutana na timu alizopangwa nazwo kwenye kundi lake;
Asec 3 -0 Simba
Waydad 1 - 0 Simba
Simba 1 - 3 Galax
Mara ya mwisho Yanga kukutana na timu alizopangwa nazo;
Ahly 1 -0 Yanga
Medeama 3 - 1 Yanga
Belouizdad vs Yanga hawajawahi kukutana
Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF
Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila...
Habari wana jf,,,, natumai mko pw kwa waliobahatika kuona ule utabiri wangu wa group stage ambayo imetoka leo,,
Niliitabiri wiki moja before jinsi makundi yatakavyokuwa na ndivyo hivyo yametokaeo hiiiii..
Natabiri from group stage up to final yaani nani atapita makundi na nan ataingia robo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.