Kama ilivyo kawaida unapopewa sticker ya gari ni sharti gari likaguliwe na baada ya kuridhika basi unapewa sticker baada ya kulipia lakini utaratibu huu haufuatwi isipokuwa unapokutana na askari kitu cha kwanza kuulizwa je una sticker?.
Kama huna unaambiwa lipia na ondoka zako bila ukaguzi wa...
Mimi maswali yangu ni haya;~
Utawala wa Magufuli unaonekana ulikuwa wa kipigaji sana, je aliwezaje
1. Kununua ndege 11 mpya tena bila mkopo?
2. Kujenga madaraja yote haya?
3. Kujenga Fly over hizi?
4. Kujenga meli kubwa mpya zile na kukarabati meli za zamani?
5. Kuhamishia serikali Dodoma...
Hii ilikuwa ni kama last bullet yao wakitegemea kwamba wangemaliza kabisa lkn imebumu, Mwamba ni maarufu kuliko hata alivyokuwa hai, sasa nini kinakuja? Watafanya nini tena kama wamekwenda mpaka White House USA kujaribu kupambana na Mwamba lkn bado wameshindwa, nauliza what comes next ...
Kwa namna siasa zetu zilivyo tutarajie kwamba .
Kama Samia atapita 2025 basi mambo yatabakia hivi hivi nikimaanisha kwamba ripoti ya fedha kwa mwaka 2025/2026 ya CAG itakua safi sana.
Ila kama mambo yakiwa tofauti basi isikilizie kwani lazima itaukandia mno awamu ya sita.
Lakini kwa uhakika...
Askofu wa Jimbo katoliki la Rulenge-Ngara, mhashamu Severine Niwemugizi amesema ripiti ya hivi karibuni ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala.
Katika salaam zake za Pasaka, Askofu Niwemugizi amesema waumini wajifunze kuwa wakweli na kuepuka uongo kama Yesu alivyokubali kufa msalabani kwa...
Upuuzi ni ile hali ya kutotumia busara muda wote na kujadili ujinga ili hali unatakiwa kujadili masuala ya msingi.
Utaratibu wa kufanya auditting unajulikana dunia nzima. Mkaguzi huibua hoja anapokuwa anafanya kaguzi. Hoja hizi mara nyingi huwa ni mashaka juu ya muamala uliofanyika na mara...
Baada ya Gazeti la Raia Mwema ambalo moja ya wamiliki na waandishi wake ni Said Kubenea kuandika
Wizi Mkubwa Awamu ya 5,
Wapo watu hawakufurahishwa na habari hiyo na kumchafua kiongozi huyo na ku edit vichwa vya habari, ambapo amesema atawatafuatilia na kuwafungulia mashtaka
Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu tofauti na awamu ya Tano? Lakini wapo wanaohoji kama madudu hayayamefanyika wakati wa JPM je mbona...
Namnukuu CAG Kichere
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari iliingia mkataba na “Mkandarasi Mkuu” wa shilingi bilioni 172.36 tarehe 3 Agosti 2019 wa muda wa mwaka mmoja hadi kufikia mwezi Agosti 2020 kwa ajili ya kuongeza kina cha lango na sehemu ya kugeuzia meli katika bandari ya Tanga, kufanya...
Kwa wasiojua, mmisiri pale ni nyapara, hajengi, hawa Chato dynasty ndio wameji subconstruct .
Magenge ya awamu ya tano yaligawana tenda ya ujenzi wa mradi wa Stiglers, hawa wanaopiga kelele na kumshutumu Waziri Makamba, ni kwamba wameanza kuuona moto, kampuni zao zimeanza kuitwa moja baada ya...
Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe.
Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
akili
asilimia
awamu
bado
cag
darasa
enzi
hii
hoja
humphrey polepole
jiwe
jpm
kitu
kubwa
kuhojiwa
kuhusu
madarakani
magufuli
mahakamani
mmoja
muda
mwaka
ndogo
ripoti
sababu
uchumi
ufisadi
uhalali
uhujumu
uhujumu uchumi
uongozi
upigaji
utawala
wakuu
Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.
Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma.
Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya...
Hakuna wa kumlaumu kama kwa %kubwa wasiojiweza wamekosa mikopo ili hali wanavigezo.
Kwani Mama Mwenye nyumba alishasema " hata watoto wenye uwezo nao wanufaike mikopo" yote hayo ni kupindua mambo aliyofanya Past President kwajuhudi alizokuw akifanya. Na kwasababu alitamki ulitegemea board...
Naendelea kuipitia ripoti ya CAG ambayo imesema deni la Taifa limeongezeka kwa 13.7% kwa mwaka wa fedha 2020/21 ambapo mwaka uliotanguliailiongezeka kwa 7% ongezeko limetajwa ni kwa sababu ya kushuka kwa thamani ya shilingi.
Deni la nje ndio limekuwa kwa kasi kuliko deni la ndani ambapo deni la...
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali kila mwaka wa fedha baada ya kutoa ripoti ya ukaguzi hutoa mapendekezo ili kuongeza ufanisi wa taasisi na kudhibiti upotevu wa fedha na mapato ya serikali. Hata hivyo mapendekezo machache hutekelezwa hali inayotia mashaka kwa nini CAG anaendelea kuwepo ikiwa...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi ulihakiki majengo ya makazi ya magereza na kubaini kuwa mengi ni chakavu na yanahitaji ukarabati mkubwa.
“Hali mbaya zaidi ilibainika katika magereza ya kilimo ambapo wafungwa walikuwa wakilala katika vyumba...
Charles Kichere (CAG)
Hii ndiyo ripoti kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwa Mwaka wa Fedha 2020/21, imewekwa hadharani Jumanne Aprili 12, 2022.
Baadhi ya mambo yaliyoguswa:
Mashirika ya Umma kutopeleka michango Sh bilioni 129.33
Mashirika ya umma...
Shirika la Masoko ya Kariakoo (Kariakoo Markets Corporation) lipo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI. CAG katika taarifa ya ukaguzi 2020/2021 anasema eneo hilo ameshindwa kutoa maoni. Maana yake hakukagua. Je, ni kweli Rais hajui lolote kuhusu Ofisi yake kutofanyiwa ukaguzi na CAG?
Shirika la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.