cag

  1. Ojuolegbha

    Rais Hussein Mwinyi na CAG Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Viongozi na watendaji wa Wizara na Idara za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutekeleza wajibu wao katika kusimamia mifumo ya ukusanyaji na matumizi ya fedha za Serikali, huku akibainisha kuwa Serikali...
  2. Jidu La Mabambasi

    Nape na ombi la CAG kukagua mikopo; kuna watu wamepanic!

    CAG kimsingi amekubali kukagua fedha za mikopo iliyoingiwa na serikali ya Awamu ya 5. CAG Kichere amesha sema anasubiri maelekezo tu. Kutokana na mijadala, hata humu JF, kuna watu wamepanic. Kisirisiri wengi wanajua fedha zilivyoliwa, mitambo nyeti imenunuliwa at inflated prices, na hakuna...
  3. beth

    Ripoti ya CAG: Mapungufu katika ukusanyaji wa mapato

    Ripoti ya CAG inaonesha makusanyo ya Mapato ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa kuongezeka kwa 11%, kutoka Tsh. Bilioni 639.4 mwaka 2018/19 hadi Tsh. Bilioni 703.9 mwaka 2019/20 Licha ya kuongezeka kwa ukusanyaji wa Mapato, kumekuwepo changamoto mbalimbali. Mapato ya Tsh. Bilioni 23.88...
  4. beth

    CAG 2019/20: Hati za Ukaguzi katika miradi ya maendeleo

    Hati za Ukaguzi Zilizotolewa Katika Miradi ya Maendeleo Kwa mwaka 2019/20, CAG alikagua jumla ya miradi ya maendeleo 290 na kutoa aina mbill za Hati za Ukaguzi ambapo; alitoa Hati Zinazoridhisha kwa miradi 275 sawa na asilimia 95 na Hati Zenye Shaka kwa miradi 15 sawa na asilimia 5. Hati...
  5. beth

    Kuongezeka kwa Hati zenye shaka na hati mbaya za ukaguzi kwa mwaka 2019/20

    Ripoti za Ukaguzi za mwaka 2019/20 zinaonesha kuongezeka kwa Hati Zenye Shaka na Hati Mbaya zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa na Miradi ya Maendeleo. Mwenendo wa Hati zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa a Miradi ya Maendeleo ni kama ifuatavyo; Hati za Ukaguzi...
  6. beth

    Aina nne za Hati za Ukaguzi zinazotolewa na CAG

    Baada ya kukamilisha ukaguzi, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali hutoa Hati ya Ukaguzi kwa kila taasisi ya umma aliyoikagua. Hati ya Ukaguzi ni maoni ya Mkaguzi yatokanayo na ukaguzi alioufanya kwenye hesabu za taasisi au mamlaka yoyote ya umma. Hati ya Ukaguzi hutolewa na Mdhibiti...
  7. P

    CAG Mstaafu Ludovick Utoh: Kuna ukakasi kusema Rais ametoa hela inapaswa kuwa Serikali imetoa hela kutekeleza miradi

    Mzee Ludovick Utoh, Sasa akiongoza taasisi iitwayo wajibu, alikuwa CAG kwa miaka 8. CAG mmoja hivi amenyooka Kama rula, akipiga kila palipostahiki pasi na kusita mradi tu maslahi ya imma yasipindishwe. Akihojiwa na Chief Odemba wa Star TV, Jana usiku alupoulizwa Kama, ni sawa kwa Viongozi...
  8. Shujaa Mwendazake

    CAG alishaliona hili kuhusu janga la moto na miundombinu ya kupambana nalo tukampuuza

    Aliposema haya na mengine mengi yenye maslahi ya umma, viongozi wetu dhaifu, wafupi wa kimo na upeo walimbeza, wakamdhalilisha na kumtweza Prof Assad... leo Zimamoto wanakwambia "tulizima moto maji yakaisha, tukaenda kuchota maji.. moto ukazidi" Nachofahamu mimi kwa upeo wangu mdogo, ni kuwa...
  9. Q

    Rais Samia apokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum BoT, CAG abaini uwepo wa malipo kufanywa nje ya bajeti

    Rais Samia Suluhu Hassan leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa CAG inayohusu matumizi ya fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia Januari hadi Machi 2021. Ripoti imebaini uwepo kwa miradi ambayo haikupangwa na hivyo kufanya malipo nje ya bajeti.
  10. J

    Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

    Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi. Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia. Chanzo: ITV
  11. B

    CAG fanya ukaguzi maalum kwa waliotumbuliwa ili kuona hasara Taifa iliyopata na ushauri mbinu kukabiliana na utumbuaji usio na tija

    Hakuna Jambo linalodhorotesha Utumishi wa umma nchini Kama hii style yakutumbuana kila siku. Viongozi wa nchi wameacha kutafuta suluhu ya matatizo ya wananchi badala yake wamejikita kutumbua kila siku na bila hoja ya msingi. Clip ikirushwa mtandaoni tayari mtu amefukuzwa kazi bila kujali uhusika...
  12. Roving Journalist

    Ileje, Songwe: Hoja 38 za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) tangu 2009 bado hazijajibiwa

    ILEJE: Hoja 38 za tangu 2009 bado hazijajibiwa RC Mgumba ageuka mbogo kwa Baraza la Madiwani. SONGWE: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba amegeuka mbogo kwenye Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ileje baada ya taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali CAG kuonyesha...
  13. Shujaa Mwendazake

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ungepitia Ripoti ya CAG, wapo wengi mule wa kusimamishwa na wengi kupisha Uchunguzi

    Kassim Majaliwa , Fedha zilizochotwa hazina kwa ajili ya posho ikihisiwa hazikufuata taratibu ni ndogo sana. Ukitaka kusimamisha watumishi wengi Tafadhali rejea ripoti ya CAG , hapo tutakupigia makofi ya kutosha. Hizo ni pesa za mboga tu mkuu.
  14. J

    Sijaelewa: Ziara ya waziri mkuu Majaliwa pale Hazina inahusiana na ile report CAG aliyoagizwa na Rais Samia?

    Naomba ufafanuzi kwa wataalamu wa chunguzi. Hii ndio ile report ya January hadi March aliyoagiza Rais Samia au PM Majaliwa ameenda kivyake? Nasubiri ufafanuzi.
  15. J

    Spika Ndugai ataka PAC kuwahoji watendaji wa Tanesco, TRC, Muhimbili na Posta kwanini hawakupeleka mahesabu kwa CAG!

    Spika wa bunge ameyashangaa mashirika makubwa nchini kama Tanesco, TRC, Muhimbili, MOI na Posta kushindwa kuwasilisha mahesabu yao kwa CAG. Ndugai ameitaka kamati ya bunge ya mashirika ya umma PAC kuwaita watendaji wa mashirika hayo na ikiwezekana wataishauri serikali ivunje bodo za mashirika...
  16. Stuxnet

    Thamani ya Dawa na Vifaa Tiba Vilivyo Expaya MSD ni Zaidi ya Tsh 20 Billion; CAG Hajaripoti

    Wakati wananchi wanalalamika ukosefu wa dawa kwenye hospitali na zahanati, yasemekana kwenye Bohari Kuu ya Madawa (MSD) kuna dawa zilizo expaya za thamani ya zaidi Tsh Bilion 20. Nimepitia ripoti ya CAG ya mwaka 2019/20 kwa haraka haraka sijaona hoja ya ukaguzi kuhusu dawa zilizo expaya. Je...
  17. Chief Kabikula

    Iko wapi Ripoti Maalum ya CAG iliyoagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan siku akiapisha mawaziri?

    Wadau siku Rais wa nchi Mama Samia Suluhu Hassan Akiapisha mawaziri aliagiza ukaguzi wa BOT kuanzia mwezi January hadi Machi , ambapo ripoti hiyo ilikuwa isomwe tarehe 20/04/2021 lakini haikusomwa, nini kinafichwa?
  18. S

    Ripoti ya CAG ya 2019/2020 imepita na madudu yake na tumeshasahau, tunasubiri ya 2020/2021 tupige tena kelele kama mazuzu

    Huu ndio ukweli mchungu kuhusu wadanganyika watu wa maneno mengi mitandaoni pasipo uthubutu wa kutaka kuona wahusika wa madudu katika ripoti hizi wanachukuliwa hatua. Tusubiri na ripoti sijui ya kuchunguza madudu huko BOT tupige kelele kama tumewehuka then tujikalie kimya kama mandondocha...
  19. J

    CAG mstaafu Uttoh alikuwa sahihi kwamba kinacholipwa na baadhi ya mashirika siyo dividend bali ni kitu kingine

    Rais Samia amesema menejimenti na bodi za baadhi ya mashirika wamekuwa wakitafuta fedha huku na kule waweze kulipa gawio serikalini ili kulinda ajira zao. CPA Uttoh alisema dividend hulipwa kutoka kwenye faida na siyo vinginevyo. Ramadhan Kareem!
Back
Top Bottom