cag

  1. T

    Kwanini Zitto Kabwe achambue ripoti ya CAG siku ambayo Freeman Mbowe amepanga kulihutubia Taifa?

    Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa. Je, hii haina maana ya kuwavuruga watu waliojipanga kumsikiliza Mbowe? Kwanini Zitto asingepanga siku nyingine? Upinzani...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    CAG Kicheree: Nimegundua ufisadi wa kutisha Manispaa ya Kinondoni

    Kinondoni ilikusanya ushuru Bilioni 5.9 hawakupeleka benki zikaliwa na wajanja wachache. Wizi wa fedha za Malipo ya Vibarua yasiyostahili Sh. 284,850,00 Halmashauri ya Manispaa ilifanya malipo ya Sh. 284,850,000 kwa ajili ya kuwalipa vibarua wa usafi wa barabara na kuzoa taka. Hata hivyo...
  3. S

    ACT–Wazalendo waichambua Ripoti ya CAG - Aprili 11, 2021

    Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya ACT-Wazalendo UDSM ambapo wamearifu uchambuzi huo utaanza saa sita kamili mchana wa leo. =============== ZITTO AMSHAURI RAIS SAMIA KUUNDA TUME YA MAJAJI KUCHUNGUZA KESI ZILIZOLIPWA KWA DPP Kuanzia mwaka 2017 kumekuwa na kawaida ya watu wanaokamatwa na...
  4. Mystery

    Ina maana ripoti zilizopita za CAG zilizokuwa zinawasilishwa ndani ya utawala Wa awamu ya 5 zilikuwa zinafanyiwa "editing"?

    Inasikitisha sana tena inahuzunisha kuona ripoti ya CAG ya safari hii baada ya mwendazake kuzikwa, ikiibua madudu mengi mno, tofauti na ripoti zilizokuwa zikiwakilishwa hapo nyuma wakati wa utawala huu wa awamu ya 5 ambazo zilikuwa zinampamba sana mwendazake na kueleza Taifa letu linapaa sana...
  5. Chagu wa Malunde

    Ripoti ya CAG juu ya kutohuisha upembuzi yakinifu mradi wa JNHPP ni upotoshaji mkubwa, kuna uwezekano CAG anatumika kisiasa

    Ukiisoma kwa umakini ripoti ya CAG miradi ya maendeleo ukurasa wa 98 utagundua kuwa kuna upotoshaji mkubwa kuwa upembuzi yakinifu haukuhuishwa kabisa na hivyo data zinazotumika kutekeleza huu mradi ni za mwaka 1970 na mwaka 1980. Jambo ambalo sio kweli. Huu mradi unaosimamiwa na TANESCO kupitia...
  6. Kasomi

    CAG Acha kitete sema ukweli

    Wakuu habari zenu mimi ni mtoto wenu Emmanuel Kasomi leo hii nataka kuongea na CAG aache kitete, asiogope na Afunge. Ukifuatilia report za CAG anazo toa kuna sehemu anazilinda. Kwa wanao fuatia report za CAG amelaani sehemu nyingi kua zilijiendesha kwa Hasara. Swali kwa CAG Je, katika report...
  7. Erythrocyte

    Kutokana na Ripoti ya CAG, bado kuna anayeamini Tanzania imeingia uchumi wa kati?

    Hili ndio swali langu la leo kwa wananchi wote wa Tanzania, kwamba pamoja na njaa waliyonayo watanzania ukichanganya na huu wizi uliovunja rekodi ya Jumuiya ya SADC uliofichuliwa na CAG, hivi bado kuna Mtanzania yeyote anayeamini nchi yake imeingia kwenye Uchumi wa Kati, kwa lipi hasa?
  8. lee Vladimir cleef

    Uchambuzi wangu kuhusu kupendwa kwa Magufuli mitandaoni na mitaani baada ya kufa na Ripoti ya CAG

    Magufuli pamoja na mazuri yote yanayosemwa kama yapo, lakini ndio kiongozi pekee Tanzania aliedhibiti sana vyombo vya habari kuliko Raisi yoyote yule. Kama Kuna watu hawalioni hili kuna tatizo. Baada ya kuanzisha Bunge Live, ni Utawala wa Magufuli pekee ndio ulioondoa Bunge kuoneshwa Live. Ni...
  9. J

    Kama CAG amewaonea Clouds Media atashindwaje kuzionea taasisi nyingine kama ATCL n.k?

    Jana alisikika meneja wa fedha wa Clouds media akidai kuwa taasisi yake iliwasilisha kwa CAG risiti zote za kielectronic kama alivyoagiza na siyo kweli kwamba kuna utata katika malipo waliyolipwa na wizara ya maliasili na utalii. Ndiposa natafakari kama meneja huyo wa fedha bwana Masoud anasema...
  10. goroko77

    Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

    Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii. Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang. ===== MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA! 1. Mwambieni CAG...
  11. Roving Journalist

    Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni Muhtasari wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha 2019/2020 === Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC; Mhe. Grace Tendega (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya LAAC; Mhe. Daniel Sillo (Mb), Mwenyekiti...
  12. Elisha Sarikiel

    Maoni: Je, ni wakati sahihi wa kuanzishwa ofisi ya mamlaka ya mkaguzi mkuu wa hesabu ya serikali (Controller and Audit General Authority)?

    Ndugu Abbas Mwalimu , anafikiri sasa kuna haja ya kuipandisha hadhi Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuwa Mamlaka kamili yaani Controller and Audit General Authority (CAGA). Kwa nini anasema hivi? Kwa sababu kwa mtazamo wake, anaamini ikiwa mamlaka kamili...
  13. Elius W Ndabila

    Ukipitia kwenye social media baada ya cag, utaona haya

    Kwanza utaona ujinga wa baadhi yetu juu ya kupambanua mambo makubwa ya Taifa. Nimetumia ujinga kwa kuwa "UJINGA" siyo tusi bali ni ukosefu wa maarifa ya kitu fulani ambacho hukijui. Ukishafundishwa ujinga unapotea. Pili nimeona upande wa pili ambao ninaweza kusema hoja zao ukizipima zinajengwa...
  14. Q

    Kufuatia ripoti ya CAG, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi asimamishwa kazi

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za serikali. =============== DEVOTHA MDACHI =============== "Mimi naweza kuwekwa Pembeni...
  15. T

    Kwa ripoti hii ya CAG, ingekuwa nchi kama China kuna watu wangenyongwa

    Na Thadei Ole Mushi. Someni Ripoti ya CAG, Kuna madudu mengi mno mengine yanatia kinyaa kabisa. Ukurasa wa 70 wa Ripoti hiyo unazungumzia issue ya Kucheleweshwa ujenzi wa kiwanda Cha Pamba kule Simiyu. Naomba kuinukuu hiyo Ripoti neno kwa neno: "Mnamo tarehe 11 Novemba 2016 Ofisi ya Mkuu wa...
  16. YEHODAYA

    CAG ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali. Kazi ya UDHIBITI hajaifanya ndio maana kuna madudu kibao kwenye ripoti yake, atimuliwe

    CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali. Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni...
  17. U

    Napinga: Hivi CAG Ana watu wenye utaalamu na hydropower stations, hakupaswa kutoa msimamo katika Mambo ya kitaalamu

    CAG ametoa riport nzuri na kuibua matumizi mabovu na yasiyo na tija katika taasis za Serikali , ambapo wa kulaumiwa ni watu wa chini Sana wa hayati Rais Magufuli, hata leo unaweza kukuta watu wamefanya matumizi mabovu ya serikali na sitegemei Rais Samia kuwa na macho 10000 kumulika kila level...
  18. BAK

    Askofu Bagonza: Jaji Mwangesi Pokea Mzigo toka kwa CAG

    Jaji Mwangesi Pokea Mzigo toka kwa CAG Kila mfumo una uwezo wa kujiharibu. Demokrasia ina uwezo wa kujiua. Udikteta una uwezo wa kujiua ndani yake. Uliberali unayo sumu yake. Si sumu ya kuua mifumo mingine bali kujiua. Tumeona jinsi awamu ya tano ilivyotengeneza sumu ya kujiua. Ilipobana Uhuru...
  19. Elius W Ndabila

    Hii ripoti ya CAG tutaanza kukanyagana, "Sijui tuanze kumlaumu nani?"

    HII RIPOTI YA CAG TUTAANZA KUKANYAGANA, "SIJUI TUANZE KUMLAUMU NANI"? Na Elius Ndabila 0768239284 Riporti ya mwaka huu ya CAG inaonyesha kunaubadhilifu mkubwa wa fedha za umma. Rushwa sasa inaonekana imeota mizizi mikuu. Waliokuwa wakikemea rushwa kwa mkono wa kulia, walikuwa wametega mkono wa...
  20. F

    CAG asikague mahesabu tu, bali adhibiti mapato na matumizi ya fedha za serikali pia

    CAG ni mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serilali lakini mara nyingi inaonekane GAC anakagua mahesabu ya serikali, lakini hafanyi udhibiti wa matumizi ya fedha za serikali. Kazi ya CAG inapaswa pia kudhibiti jinsi fedha za serikali zinavyotumika, la sivyo naona hatutaondokana na haya...
Back
Top Bottom