cag

  1. ChoiceVariable

    Halima Mdee: Serikali Imepuuza na Kukiuka Maagizo ya Bunge ya Kuwafukuza kazi Wezi wa Fedha za Umma Waliotajwa na CAG

    Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa LAAC bi Halima Mdee ameishutumu Serikali Kwa Kukiuka na kupuuza Maagizo ya Bunge yaliyotolewa kwenye maasimio kuhusu washukiwa wa Ufisadi Waliotajwa na CAG. ============ Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali...
  2. Mystery

    Kama waziri Mwigulu anakataa kuwa pesa hazijaibiwa serikalini, ina maana kuwa anapingana na ripoti ya CAG?

    Wakati akifunga mjadala wa bajeti ya wizara ya Fedha ya mwaka 2023/2024 waziri Mwigulu alinukuliwa akiwaambia wabunge kuwa, kama ripoti ya CAG inadai kuwa pesa nyingi zimeibiwa serikalini, je pesa yote anayoitoa Rais Samia kwenye miradi mbalimbali nchini, angezitoa wapi, iwapo pesa nyingi...
  3. Suley2019

    CAG aagiza ukaguzi wa uchunguzi mji wa Babati

    Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere ameagiza kuanzisha ukaguzi wa uchunguzi kwenye Halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara, ambayo kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022 imepata hati yenye mashaka. Kichere ametoa agizo hilo kwenye kikao cha baraza la madiwani wa...
  4. benzemah

    CAG Zanzibar aomba radhi kwa kulidharau Baraza la Wawakilishi

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Zanzibar, Dkt. Othman Ali ameliomba radhi Baraza la Wawakilishi Zanzibar na kusamehewa kufuatia kauli yake aliyoitoa ambayo ilionekana kuwabeza wajumbe wa baraza hilo. Hivi karibuni wakati akiwakilisha ripoti ya CAG mwaka 2022/23, Dkt. Othman...
  5. R

    Thomas Nkola (Mkulima) awafunguli kesi 5 Mwigulu, January, Mbarawa, Tutuba na Mkurugenzi PCCB

    Thomas Nkola maarufu kama Mkulima afungua kesi 5 ambazo zimesikilizwa jana tar 29/5/2023 katika mahakam ya hakimu Mkazi Kisutu, dhidi ya viongozi mbalimbali ikiwemo Mwigulu, Mkurugenzi PCCB, Mkurugenzi wa Mashtaka wa Serikali, Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya Jinai, January Makamba, Makame...
  6. T

    Ni kwa sheria ipi serikali inalazimika kusubiri utaratibu wa bunge kuwachukulia hatua wezi na mafisadi waliotajwa na CAG?

    Kwa mjibu wa tamko la kiongozi wa shughuri za bunge letu Sipika Dr Aksoni Tulia kwamba, bunge la kushughurikia wezi waliotajwa kutoka katika wizara mbalimbalu na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG kwamba, kwa mjibu wa kanuni na sheria za Bunge, Bunge linaloendelea ni bunge la bajeti peke yake, na...
  7. R

    Kwa mwendo huu serikali kutowachukulia hatua za kisheria "wezi" waliotajwa na CAG, ripoti za CAG zitakuwa SIRI

    Kitendo cha rais kutowachukulia hatua wezi waliotajwa na CAG, Bunge kupiga dana dana kuzijadili, huko tuendako ripoti za CAG zitakuwa na muhuri wa SIRI na hivyo kutakuwa for public consumption. Hata Bunge halitakuwa na mamlaka ya kuzijadili
  8. S

    Mwigulu, Makamba, Mbarawa kusomewa Albadir Tanga kwa ufisadi ripoti ya CAG

    Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara mkoa wa Tanga,Ismail Masoud amesema kama wananchi wanaumizwa na ubadhirifu wa fedha za umma unaofanyika Serikalini na kuwa watafanya dua ya Albadiri kwa wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG. Huyu anakuwa mtanzania wa pili kutangaza kufanya maamuzi magumu...
  9. T

    SoC03 Usomaji wa Wajibisho la Ripoti ya CAG

    Miaka mingi inapita na kila ripoti ya CAG inaposomwa inabainisha kiasi kikubwa cha fedha kinachopotea au kutumika kwa ubadhirifu. Mfano, sehemu ya ripoti ya mwaka 2021/2022 imebaini mianya ya uvujaji wa mapato ambapo bilioni 17 hazikuweka benki. (Niliyoyashudia eneo langu) katika...
  10. Kabinti ka ludilo

    Siku chache baada ya Ripoti ya CAG wananchi nchini India wampiga Risasi Mbunge na kaka yake mtaani

    Ndauli. Basi baada ya ile ripoti ya kuonyeshwa mapesa yamechotwa ovyo. Basi yule montress akasema mada hiyo itajadiliwa mwezi wa saba huko. Wananchi huko india wamempiga risasi mbele ya TV mbunge mmoja kwa madai ya kupora mali na tabia za ubabe ubabe. Tukio hilo lilirushwa mubashara kwenye...
  11. R

    La CAG limeisha, maisha yanaendelea. Wapigaji wanawekeza kwenye miradi yao, Bahari imetulia. Nchi hii ngumu sana

    1. Tule tunywe tufurahi, la CAG limeisha bahari imetulia. Walioiba wanapanga miradi gani wawkeze, zizae maisha yaendelee wao na wanao wahusu. 2. Mama Amemaliza kila kitu kwa neno moja tu la stupid.
  12. F

    Msisitizo unaowekwa Mara kwa Mara na waziri mkuu na Makamu wa Rais kuwa waliotajwa kuhusika na ufisadi kwenye Ripoti ya CAG, una maana gani?

    Si chini ya Mara mbili kumsikia Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti wakiweka msisitizo na mkazo juu ya waliohusika na ufisadi na waliotajwa na Ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu, kiuwajibikaji na kisheria. Je, msisitizo huo wa Mara kwa Mara una maana ipi hasa? Nina...
  13. S

    Mkulima aweka wazi hawahofii mafisadi wa CAG aliowaburuza kortini

    MKULIMA aliyewaburuza kortini baadhi ya mawaziri, wakuu wa mashirika na Kampuni binafsi waliotajwa na ahofia mashahidi wa CAG wanaweza kupoteza maisha ikawa nguvu kushungulikia suala hilo Novemba kama Bunge lilivyoamua.
  14. T

    Nimepita jengo la bunge nimeliangaliaaa, kisha nikajiuliza, waliomo humo wanatusaidia nini?

    Daah! Kweli imekuwa kimya kwa upotevu wa matrilion tarifa za CAG? Kisa wahusika wakuu ni viongozi wa mawizara na Idara mbalimbali?? Kweli kabisa? Siamini nachokiona na kukisikia kwa masikio yangu! Daah! Ikitokea mtumishi wa chini kabisa huko kahusishwa tu na udanyifu fulani, achana na...
  15. peno hasegawa

    Ndugu Watanzania, Ripoti ya CAG kujadiliwa imeisha wapi?au tumesahau!!!

    Nimeuliza baada ya kuona hii picha.
  16. S

    CAG Mstaafu amsifu Mkulima aliyewaburuza kortini wabadhirifu waliotajwa na CAG

    MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh, amesifu uamuzi aliouchukua mkulima Thomas Nkola, kuamua kufungua kesi mahakamani kushinikiza waliotajwa kuhusika na ubadhirifu wa mabilioni katika ripoti ya mwaka 2021/22 ya CAG kuchukuliwa hatua. Nkola, mkulima na...
  17. econonist

    Ofisi ya CAG ifutwe kama hatutaki kupambana na ufisadi

    Kwa maoni yangu yanayotokana na mashambulizi dhidi ya ofisis ya CAG, ni bora tuifute ofisi hiyo maana ni Kama inadharaulika. Naomba nijadili matukio mawili ambayo yamesabaisha nifikie hitimisho hilo. Nikiondoa tukio la CAG Assad kuitwa mbele ya kamati ya bunge kujieleza kipindi Cha ndugai...
  18. Erythrocyte

    TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia

    Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi. Marehemu...
  19. J

    Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

    Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG. Chanzo: Jambo TV
  20. peno hasegawa

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yu wapi baada ya kusomwa ripoti ya CAG?

    Katibu Mkuu wa CCM amepotea hewani Mara baada ya kusomwa ripoti ya CAG. Imefika mahali sasa Katibu Mkuu wa CCM amekosa la kusema wala la kuwaambia wananchi. Anayejua aliko tafadhali!
Back
Top Bottom