cag

  1. benzemah

    Baada ya kukabidhiwa kwa Rais Samia, Ripoti ya CAG kufikishwa leo Bungeni

    Baada ya Kukabidhiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye leo Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali zitawasilishwa Rasmi Bungeni ambapo kwa mujibu wa taratibu ripoti nzima sasa itakuwa wazi kwa umma Orodha ya shughuli rasmi za Bunge inaonesha kupokelewa kwa ripoti hiyo na...
  2. D

    Kwa Ripoti hii ya CAG, ni dhahiri Sukuma Gang imeshinda mapema mno!

    Katika mchezo wa siasa unahitaji kuwa na akili nyingi sana kushinda "game". Lakini akili ya kwanza ni kumsoma, kumfahamu, kumwelewa aliyeketi kwenye kiti cha "executive" anawaza nini, nini hulka yake, ana uwezo gani wa kuona masafa marefu na tabia yake ikoje na ana uwezo gani wa kuadhibu au...
  3. R

    Tundu Lissu arejea Nchini asema ripoti ya CAG ufisadi ni uleule, mambo ni yaleyale

    Mwandishi: Ripoti ya CAG imetoka na majibu ya Rais ni kwamba waliofanya madudu wampishe. Unadhani hiyo ni kauli ya kitendaji au ya kimamlaka? Lissu: Kwanza wizi na ufisadi ni ule ule wa miaka yote, kama haujaongezeka, ninachosoma ni kwamba umeongezeka. Wizi ni ule ule, wa watu wale wale, wa...
  4. F

    Spika wa Bunge Tulia Akson asema Ripoti ya CAG haijafika Bungeni Bado

    Asema Ripoti ya CAG haikufika Bungeni na watu wawe watulivu. Amedai baada ya Ripoti kusomwa taarifa huwa inaletwa Bungeni na kujadiliwa na maazimio ya Ripoti kutolewa na Bunge. Ameendelea kusema mambo ya serikali hayaendi kinyemela ila ni kwa sheria na kanuni. Hivyo Ripoti ya CAG ipo jikoni na...
  5. F

    Mbunge Ole Sendeka awasha Moto bungeni kuhusu ripoti ya CAG

    Ktk Azimio Maalum la Kumpongeza Rais Samia kwa uongozi mzuri, kupitia Bunge la 12 mkutano wa 11 kikao cha Kwanza, Ole Sendeka awasha Moto. Alianza kwa kumsifia Sana Rais Samia lakini mwishoni akaanza kwa kulaumu waliotajwa Ubadharifu Ripoti ya CAG kuenedelea ofisini hadi Sasa. Kadai...
  6. B

    Ukaguzi wa CAG usiozingatiwa ni wa nini?

    Demokrasia inahusu wengi kupewa. Hata hivyo ni busara zaidi walio sahihi kupewa: Kaguzi za CAG zinazofanyika miaka nenda rudi bila hatua zozote za maana kuchukuliwa ni za nini? Ya nini kupoteza pesa kwenye kuibiwa na kwenye kaguzi zisizozingatiwa? Kwa mwendo huu wanaoona ofisi ya CAG...
  7. B

    CCM yatoa maagizo waliotajwa ripoti za CAG, Takukuru

    Chama tawala nao wamesema: Hiki angalau kimtindo, kitakuwa kimeumana. Ngoja tuone. ----- Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Serikali kuwachukulia hatua kwa waliohusika kwenye ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka katika taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...
  8. benzemah

    Kikao Kamati Kuu ya CCM Kimeitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Haraka Waliotajwa ripoti ya CAG na TAKUKURU

    Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo: 1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi 2. Serikali...
  9. R

    Ripoti ya CAG haina wizi, ina ukiukaji wa taratibu

    Kila siku CAG anakuja na report kuhusu upotevu wa mabilioni kwenye secta ya umma lakini hakuna hatua zinazochukuliwa. Wakati CAG akija na hoja hizo mara nyingi PCCB hakuna sehemu anakuja na hoja zakuthibitisha huo wizi badala yake kesi nyingi uisha Kwa matumizi mabaya ya Ofisi. Mtizamo wangu NI...
  10. O

    Madudu ripoti ya CAG, tunaua nchi wenyewe

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa Serikali, kusimamia vema rasilimali za nchi kwa kutumia mifumo na kuweka nidhamu, akisema kinyume na kufanya hivyo ni sawa na kuiua nchi yetu wenyewe. Mkuu huyo wa nchi ameeleza hayo wakati akifafanua kuhusu uzembe wa upitishaji wa...
  11. M

    Sijasikia Zitto Kabwe na chama chake wakitangaza uchambuzi wao wa Ripoti ya CAG

    Kipindi cha magufuli Zitto Kabwe na kijana wake Ado Shaibu walijinasibu sana kuichambua report ya CAG na wakaja na madudu ya 1.5 t kuwa zimopotea na hazijulikani ziliko na walijinasibu kweli, kwa bahati nzuri report ya CAG ipo kila mwaka na report ya awamu hii yote inagusa utawala wa Samia...
  12. Sir robby

    Posho na Mishahara ya Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama nao ni wizi ambao CAG ulipaswa kuuzungumzia

    Wadau hamjambo? Nadhani kupokea posho au mishahara ukiwa huna sifa za kazi yako ni wizi. Ndio maana watumishi wa vyeti fake yaliwakumba na kufukuzwa kazi na ripoti ya CAG ilionesha kiasi gani cha fedha za umma zilipotea na kuokolewa baada ya kuwafukuza. Nimeshangazwa na Ripoti ya CAG...
  13. M

    TAKUKURU wachunguzwe na CAG, wabadhirifu wa mamilioni wanyongwe

    Nimejiuliza kwanini hao TAKUKURU ofisi yao haikaguliwi na CAG. Hii nikwasababu ndani ya ofisi hiyo kuna walarushwa na wabadhirifu. Kuna kesi wamezikaliatu wala hawapepesi macho kuzipitia. Huu ufujaji unaotokea TAKUKURU wanamahali wamepwaya. Nchi nzima inanuka ubadhirifu, mikataba hewa...
  14. N

    Baada ya CAG kuendelea kuibua upigaji wa pesa za umma tozo zisitishwe

    Habari wakuu wa JF, Kwa kurejea kichwa cha uzi napendekeza tozo zisitishwe ili kuwaondoloea wananchi ugumu wa maisha. Maana kwa mujibu wa ripoti ya CAG hizo tozo wanazokatwa miaka nenda rudi hazitakuwa na msaada wowote kwao zaidi ya kuendelea kuwaneemesha wazee wa ku inflate invoice...
  15. Rashidi Jololo

    Serikali kutoa mikopo kwa wavuvi na wakuzaji viumbe maji; CAG hujatupatia ubadhilifu wa mradi huu

    Habarini ndugu? Kuna mwenye taarifa za ripoti ya CAG katika eneo hili la huu mradi? Hawa WAHUJUMU UCHUMI tangu bunge hili DHAIFU lilipopitisha bajeti ya mradi huu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 bado HAKUNA CHOCHOTE KILICHOFANYIKA HADI SASA. Wavuvi tumeendelea kupigwa "BLAH BLAH" tu tangu mwezi...
  16. GENTAMYCINE

    Je, ilikuwa ni sahihi Kupokea Madudu ya nchi kutoka kwa CAG jana wakati Usiku tunampokea Mgeni mkubwa Duniani?

    Au Tukio hilo (Ratiba ile) iliwekwa Kimkakati (Kimakusudi) ili Mgeni mkubwa Duniani akija ajue kuwa tunasimamia vyema Fedha zetu ili tumuombe nyingine nyingi au avutiwe tu hata Mwenyewe kutusaidia bila Masharti nasi tuendelee Kujenga Mahekalu yetu Mbweni, Madale, Mbezi Beach, Kawe Beach, Masaki...
  17. M

    Wizi unaofanywa Halmashauri ni matokeo ya madiwani wasiowajibika

    Halmashauri ni mali ya wananchi na wanamiliki Halmashauri kupitia Baraza la Madiwani. Halmshauri inasimamiwa moja kwa moja na Madiwani, inasikitisha sana Halmashauri ndipo pesa zinapigwa sana, huku wasimamizi wapo kila siku na wanaendelea kula posho za vikao. Tatizo la kuibiwa ni matokeo ya...
  18. Championship

    Ninatarajia IGP Camillus Wambura atatuletea taarifa ya kuwakamata watuhumiwa wote baada ya ripoti ya CAG na matamshi ya Rais Samia

    Mheshiniwa Rais leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na Rais ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana. Sasa kwasababu Rais ni amiri jeshi mkuu basi ninategemea kuona taarifa ya jeshi la Polisi kuanza kuwakamata na kuwapeleka...
  19. BARD AI

    CAG Ripoti: Matumizi NHIF yanazidi michango ya Wanachama

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi umebaini kuwa matumizi kutoa huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya yamekuwa makubwa ikilinganishwa na michango yao. Katika mwaka 2021/2022 mfuko umepata hasara ya Sh189.65 bilioni...
  20. S

    Bunge na Watanzania kwa ujumla, tulichukua hatua gani kwa waliohusika na madudu katika Ripoti Ya CAG iliopita? Another political silly season!

    Binafsi sishangai haya yaliobainishwa katika Ripoti ya CAG ya 2021/2022, bali nawashangaa wanaoshangaa yaliyoibuliwa katika ripoti hii. Kama `Bunge lenye wajibu wa kuisimamia serikali halikuchukua hatua kuhakikisha waliousika na ubadhirifu na ufisadi katika ripoti iliyopita wanachakuliwa hatua...
Back
Top Bottom