Baada ya report ya CAG kuweka wazi wizi na madudu yanayoendelea huko serikalini, Kiongozi makini na mzalendo alipaswa kukaa pembeni kupisha uchunguzi.
Lakini tujiulize, Kiongozi aliyeteleza kwa kuzungumza hadharani, iwe kwa ukweli au kwa uongo kwamba "kuna siku nchi itapigwa mnada kwa madeni"...
Zitto Kabwe kwanini anakwepa kuchambua uzembe, ubadhirifu na upigaji mkubwa uliofanywa kwenye Wizara ya Nishati, Wizara ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji.
Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi na ya kutisha kwenye wizara hizo lakini jambo la kushangaza Zitto ameshindwa kuchambua...
Mbunge wa zamani wa Nyamagana kupitia CHADEMA EZEKIEL WENJE amenukuliwa akisema kuwa kama Rais wa Awamu ya Tano, Marehemu Dkt John Pombe Magufuli angekuwa hai basi asingekubali hali aliyoiita "ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG.
Nimeshangazwa sana na kauli hii ya Wenje na nimejiuliza...
Mhe. Rais ameweza kujenga Ofisi yake kwenye standard ambazo hakuna msaliti anayepata mwanya; hii imepelekea mambo yafuatayo kwenda kama Ofisi ya Mhe. Rais inavyopaswa kuwa
1. Ofisi yake Kwa sasa imeweza kuwa na Siri kubwa; hakuna Siri kuvuja kama ilivyokuwa awamu za nyuma. Hii imefanya akina...
Mzee wetu Majaliwa kwa kweli ndio C.E.O, kwa maana ya mtendaji mkuu wa serikali. Kwa nini madudu haya yanatokea na yeye akiwepo? Ameshindwa kusimamia shughuli za serikali?
Bunge linatakiwa limuhoji yeye kwa kuwa Yuko Bungeni kwa niaba ya serikali, na ndiye mtendaji mkuu. Kama hana majibu...
Asante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii.
CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama.
Kwanini kila ufisadi unaibuliwa kupitia kwa kundi lililokuwa chini ya Jiwe?
Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje?
Alafu kuna watu...
Mbunge wa zamani wa nyamagana (chadema) EZEKIEL WENJE amesema kama Magufuli angekuwa hai asingekubali ufisadi huu ulio tajwa kwenye report ya CAG.
Wenje aliyekuwa waziri kivuli wa mambo ya nje ameosesha kubwa kwa sasa Chadema wanaona kubwa Magufuli alikuwa bora sana kwenye kupambana na rushwa...
Mijadala inaendelea kila mahali sasa hivi watu wakijadili yale yalioandikwa kwenye Ripoti ya CAG.
Kwa sehemu kubwa yanayojadiliwa ni madudu yaliyoko kwenye taasisi za umma.
Jambo la kufurahisha ni kwamba tayari kuna hatua zimeanza kuchukuliwa kuwawajijibisha waliotafuna pesa za Umma.
Wizara...
Kuna kila haja ya kuunganisha dots. Juzi tu tuliambiwa kuna waziri kaingiza basi 60. Leo CAG anasema kuna gari hazionekani.
Najaribu kuwaza isije kuwa hela za magari anayosema CAG ndio yamechepuka kuagiza basi?
Kwani GPSA ipo chini ya wizara gani?
Kupitia ukagauzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2021/2022 imebainika kuwa Vyura 500 bado wapo Marekani licha ya kumalizika kwa mkataba wa matunzo.
Serikali ilipeleka Vyura hao katika bustani za Bronx na Toledo ili kupisha ujenzi wa mradi wa...
WaTanzania wenzangu, ni mawazo tu yanayoingia akilini, wakati tunapofunuliwa yanayofanyika huko ndani ya serikali yetu yanayohusu ufujaji mkubwa wa pesa za wananchi.
Huu ni utaratibu unaojulikana, kwamba kila mwaka CAG anatoa ripoti yake kuonyesha ni namna gani serikali ilivyosimamia matumizi...
Wanabodi, hii imetokea jioni hii, mpaka sasa ndege zimeshindwa kutua KIA, chanzo kikiwa kutokufanya kazi kwa taa za runway.
Precison iliyotoka Dar jioni hii imekua re routed to Nairobi as we speak, wameambiwa matengenezo might take up to 5 hours.
Wahusika changamkeni kurekebisha tatizo...
Mbunge wa Simanjiro,. Ole Sendeka leo bungeni amemtetea RAIS Samia Suluhu Hassan kuwa hahusiki na ufisadi wa ripoti ya CAG akipiga kauli ya Waziri Mwigulu aliyejaribu kumhusisha rais na wizi huo kwamba etii Rais ndio anaidhinisha fedha kutoka.
Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali .
Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya...
Siku ya Jumatatu usiku kuamkia Jumanne Party Cocus ya CCM ilikutana Dodoma kuwekana sawa kabla ya vikao vya Bunge kuanza kama ilivyo kawaida.
Kikao kiliratibiwa vizuri na Mbunge Rashidi Shangazi kama Katibu wa hiyo Cocus akisaidiwa na Mzee Kinana na Sekretariet ya chama.
Hoja ya CAG ikachukua...
Moshi. Ripoti ya ukaguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika fedha za Uviko-19 imebainisha madudu kadhaa, ikiwemo kwamba bidhaa zenye thamani ya zaidi ya Sh50 bilioni zilizolipiwa fedha hazijapokewa.
Septemba 7, 2021 Tanzania ilipokea mkopo wenye masharti nafuu wa...
Leo April 06, 2023 mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali, Charles Kichere ameongea na waandishi wa habari kuhusu ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.
Miongoni mwa mambo muhimu
CAG amewashukuru waandishi wa habari, wenyeviti na makamu wenyeviti wa kamati za Bunge kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.