Ndugu wanajamvi habari zenu,
Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale
Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!!
Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...