chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Allen Kilewella

    Mabeberu wanaisadia CCM au CHADEMA?

    Serikali ya Tanzania kwa sasa inaendeshwa na CCM. Kwa ivo kila jambo linalotendwa na serikali hapa nchini ni lazima iwe ni matokeo ya maelekezo ya CCM. Hivi karibuni Serikali ya Marekani chini ya uongozi wa Donald Trump imezuia misaada Kwa nchi mbali mbali duniani kupitia shirika lake la...
  2. J

    Hotuba ya Tundu Lisu Leo imenifumbua macho kwanini Magufuli alitaka kumteua awe Mwanasheria Mkuu, Tundu Yuko Vizuri kichwani!

    Shujaa Magufuli 2020 akiwa Ikungi alikiri mbele ya Wazee wa Lisu kwamba alitamani sana kufanya kazi na kijana Wao lakini alikataa Leo Tundu Lisu alikuwa anapangikia maneno kama wale Wanasiasa nguli Wabobezi wa Sheria Nchini Kenya Kalonzo Musyoka na Prof Kindiki Mlale Unono Chadema 😄
  3. M

    Chadema waanza omba omba

    Ktk account yake ya X, lema amewataka Watanzania kuchangia fedha chadema na kuweka account. My take. Walisema mbowe hakuandaa vianzio vya mapato na kufanya chama omba omba Leo hii mwezi tu chama kitandika bakuli la omba omba. Lissu kaanza kufeli mapema, omba omba imekuwa kubwa
  4. Hismastersvoice

    EAtv saa 1 kwanini mmepotosha maelezo ya mwenyekiti wa CHADEMA

    Kwenye taarifa ya habari ya leo saa 1 jioni ilikuwepo taarifa ya mwenyekiti wa Chadema kuhusu uchaguzi mkuu ujao, mhe. Lissu kwenye maelezo yake amesema Chadema haitasusia uchaguzi, lakini maandishi kuhusu maelezo yanasema Chadema itasusia uchaguzi! Upotoshaji huu ni kwa manufaa ya nani? EATV...
  5. B

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Tunawakaribisha Watanzania wote wajiunge na CHADEMA, Jambo la wengi ni Jambo la Mungu

    Hotuba ya kuchoma kumoyo kutoka kwa Tundu Lissu. Mh Mwenyekiti wa Chadema amewaomba kwa unyenyekevu watanzania wote wajiunge na Chama hiki kinachotetea Haki za Taifa. Amemaliza kwa kusema Jambo la Mungu ni jambo la wengi na penye haki Taifa linainuliwa. Hata hivyo amewaomba vyama vyote vya...
  6. Waufukweni

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA anatema cheche muda huu mjini Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche leo Jumatano Februari 12, 2025, anazungumza na wananchi wa Tarime Fuatilia hapa kinachoendelea kutoka mjini Tarime https://www.youtube.com/live/3vCV_A7LVeI John Heche anasema "Hapa ndio Tarime, leo nimesimama...
  7. Waufukweni

    Pre GE2025 Mamia ya Wananchi wa Kiloleni wamlaki Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akiwa njiani kwenda Lamadi-Simiyu kwa Mapokezi

    Wakuu Mamia ya Wananchi wa kijiji cha Kiloleni-Busega wamejitokeza Kumlaki Mhe. Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, John Heche akiwa njiani kuelekea Lamadi huko Simiyu kwenye Mapokezi baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Pia, Soma: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti...
  8. Cute Wife

    Pre GE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche: Mimi na Lissu tutapiga nchi hii haijawahi kutokea. Hatuogopi chochote

    Wakuu, Muda wowote kutoka sasa Heche atatua hapo Lamadi, Simiyu ambako anatarajiwa kutoa neno, ambako ataenda Bunda na Kisha kumalizia Tarime Mjini kabla ya kupokelewa rasmi kesho Februari 13, 2025. Akizungumza huko Tarime, Heche amewahasa wananchi wa Tarime kuiunga mkono CHADEMA kutokana na...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA, Mara Heche: Wasira aachane na vijana, afanye mambo ya umri wake

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara Chacha Heche amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira kuacha kutumia majukwaa kutoa kauli tata ambazo hutolewa na vijana kwani akiendelea kufanya hivyo itampunguzia heshima kutokana na umri...
  10. kichongeochuma

    CHADEMA: Waondoleeni wananchi hofu dhidi ya matendo ya CCM,vitisho na kusakamwa na CCM

    Ukikaa na wananchi wengi wanaunga mkono mabadiliko na wanatamani sana madadiliko nchini, wamechoshwa kabisa na mambo ya CCM pamoja na ubinafsi wa CCM , ila tatizo kubwa ambalo kama chama mnatakiwa kulifanya ni kutafuta namna ya kuiondoa hofu iliyopo ndani ya wananchi dhidi ya matendo ya CCM...
  11. M

    CHADEMA HII YA LISSU NI NYEPESI SANA KWA CCM KULIKO HATA YA MBOWE

    Angalikuwa mwenyekiti Mbowe Muda kama huu tungalikuwa tunaona bony yai akiichangamsha maada zakd za utekaji ktk X. Hata mdude angalikuwa yupo active muda huu, lkn hivi sasa mada zake zinamtetea Dr slaa tu hivi sasa wengi wa vijana wa cdm muda wote wanamsifia mwenyekiti wao tu badala ya kuja...
  12. Waufukweni

    Pre GE2025 Wasira: Hatuwezi shindana na nusu CHADEMA, Ikulu wataiona kwenye Runinga

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa mgawanyiko ndani ya CHADEMA unazidi kudhoofisha nafasi ya chama hicho kushindana na CCM katika uchaguzi ujao, akisisitiza kuwa hadi sasa hakuna chama mbadala chenye uwezo wa kuiondoa CCM madarakani...
  13. R

    Wana CHADEMA sikiliza clip hii na ifanyie kazi kuweka taswira sawa

    Note: kama huwezi kuweka maoni yako bila matusi, just skip this thread/post and forge ahead. Niliandika hapa kuhusu character assassination tuliyoshuhudia wakati wa kampeni....... it is still lingering in the minds of rational-thinking members of society! Najua kutakuwa na bitter and fierce...
  14. S

    Ridhiwani Kikwete anasema wastaafu wanapodai nyongeza ya kikokotoo, kukubaliwa ni hisani ya Rais Samia na sio haki yao? Chadema toeni msimamo!

    Nimeshangaa na kutatizwa sana na kauli ya Ridhiwani Kikwete akijibu swali la Dr. Christina Mnzava pale Bungeni, alipoulizwa kuhusu nyongeza za marekebisho ya kikokotoo kwa wastaafu, na hata kurekebishwa kwa kikokotoo kutoka fungu linalotolewa kwa sasa. Hebu angalia mwenyewe hapa chini...
  15. F

    Kwa sasa Mbowe hataki kusumbuliwa kuhusu suala la Slaa na fedha za shughuli ndani ya chama. Hii ni changamoto kubwa CHADEMA

    Sina shida na Lissu nasubiri kwa hamu kuona uongozi wake, najua kuna mahali atafanya vizuri lakini kuna masuala kama vile mafekeche ya kuendesha chama na jinsi ya kuyapata. Hii ni changamoto kubwa kwa uongozi wa CHADEMA kwa sasa. Uongozi wa CHADEMA unahitaji kutafuta vyanzo vya uhakika vya...
  16. Ngongo

    Tetesi: CHADEMA chini ya Uongozi wa Lissu washindwa kuchangisha 180 million kwaajili ya uzinduzi wa mikutano nchi nzima

    Heshima wanajamvi. Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika. Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa...
  17. Waufukweni

    Pre GE2025 ACT, CHADEMA, CHAUMMA, CUF na NCCR- Mageuzi kuungana kuikabili CCM

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao. Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika...
  18. Waufukweni

    Pre GE2025 Wasira: CHADEMA wakitaka kufanya fujo wanachukua vijana kutoka Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ni marufuku kwa vyama upinzani kuwatumia vijana kutoka mkoani Mara kama nguvu kazi ya kufanya vurugu katika maeneo mbalimbali. Soma: Wasira: Watanzania hawana sababu ya kuichagua CHADEMA Amesema CCM inamipango...
  19. M

    CHADEMA haina katibu mwenezi?

    Hivi mheshimiwa Lissu chama anakiendesha vipi? Katibu mwenezi mwenyewe? Mbona mambo yanaaza kuharibika mapema mno? Kama ndani ya chama yupo mwaka 20 kama kiongozi wa juu, inafika mwezi anashindwa kuchagua uongozi uliotimia au haamini watu ndani ya CHADEMA? Mbowe hayupo tena kwa kumbebesha...
Back
Top Bottom