Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema chama hicho kimedhamiria kuleta mapinduzi katika maisha ya wananchi huku akitumia vijembe kwa Chadema kuwa katika uchaguzi wa viongozi wa kitaifa waligawana fito.
Soma Pia: Wasira: Watanzania hawana sababu ya kuichagua...
Wasalaam.
Ni kawaida katka nchi yoyote ile duniani kuwa na majasusi wa kufanikisha mikakati na malengo ya nchi husika. Halikadhalika katika vyama vya siasa vyenye malengo ya kushika dola kuna majasusi kuhakikisha malengo yanatimia.
Inasikitisha kwa miaka 20 mh mbowe amekua jasusi wa ccm ndani...
Si Lissu, Heche Wala Mbowe wote walipata baadhi ya fedha zao toka kwa wadau mbalimbali ikiwemo Viongozi wa CCM,
Hivyo Wenje pia alipata ufadhili hivyo hivyo kwa hiyo kama ni kosa wengi wametenda kosa hilo hivyo asamehewe na kazi iendelee
Mambo ya Uchaguzi yaachwe hivyo hivyo na yabaki kuwa ni...
Mwanasiasa na aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ezekia Wenje, ameweka wazi msimamo wake kuhusu siasa za chama hicho baada ya uchaguzi, akisisitiza kuwa bado yuko ndani ya CHADEMA na hana mpango wa kuhama.
Kupitia ujumbe wake X (zamani twitter) Wenje amesema:
"Nimepigana...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, kimekemea vikali kitendo kinachodaiwa kufanywa na Maafisa Elimu cha kuwalazimisha walimu kwenda kushiriki sherehe ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Dodoma tarehe 05 Februari 2025.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma...
Wakuu
Itoshe kusema kuwa CHADEMA inapendwa, jambo linalodhihirishwa na hamasa kubwa ya wanawake hawa wa Nkasi, Kasikazini, katika Kata ya Kirando wakijiandaa kwa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani itakayofanyika Jumamosi, Machi 8, 2025.
Soma, Pia:
Siku ya Wanawake Duniani watumishi...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa na historia ya miaka 48 ya uimara, umoja, na mafanikio makubwa, kimeendelea kuwa mwamba wa siasa za Tanzania huku kikijipambanua kama kiongozi wa maendeleo na mshikamano wa kitaifa. Kwa upande mwingine, vyama vya upinzani, kama CHADEMA, vimeonekana mara kwa mara...
Kodi gari lenye uhakika na Rhond's company limited linalofaa kwa mahitaji yako yote ya kusafiri.
📅 Yanapatikana sasa – weka oda mapema uhakikishe tarehe zako!
✅ Bei nafuu
✅ Magari masafi na yanayotunzwa
Piga simu/WhatsApp +255 655 633 302
Haiwezekani kwa mtu mzima sana kama Wassira kujikita kushambulia na kutukana Chadema, bila shaka aweza kuwa amepoteza Kumbukumbu na kusahau Majukumu ya kikatiba yaliyoainishwa yanayohusiana na Cheo alichopewa.
Kuna haja ya kumuelimisha ikiwa bado ubongo wake unaweza kutunza kumbukumbu, maana...
JamiiCheck tafadhali mtusaidie kupata uhalisia wa hii
=====
𝐌𝐀𝐑𝐈𝐀 𝐒𝐀𝐑𝐔𝐍𝐆𝐈 : 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐔𝐒𝐇𝐈𝐍𝐃𝐖𝐀 𝐕𝐈𝐁𝐀𝐘𝐀 𝐔𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈 𝐌𝐊𝐔𝐔 𝐖𝐀 2025
Mwanaharakati Maria Sarungi ametoa maoni makali kuhusu mustakabali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Kupitia mtandao wa X...
CCM vs CHADEMA.
Picha ipi hasa imeelekea kuongoza nchi kwa amani. Utulivu?
CCM wamekalia hasa kiongozi uongozi, picha inajieleza, pia hekima na busara uongozi wa CCM
CHADEMA ya Lissu imeelekea uharakati harakati zaidi na kukosoa kosoa.
Katika suala la kujenga amani nchi yetu CHADEMA ya Lissu...
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amesema kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya "No Reform, No Election" inaonesha dalili za woga, akisisitiza kuwa CCM ina uzoefu wa kushinda hata pale upinzani unapogomea uchaguzi.
Akizungumza Februari 4, 2025, katika maadhimisho...
Kiukweli CHADEMA hii imenikumbusha ile CHADEMA ya akina Mzee Shanga 1993 Sema Hawa ni Vijana Watupu very strong
Nawatakia Kila la Kheri safari ni Hatua
Mlale Unono 😀
CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu, Waanza kazi rasmi.
Wajipanga na kujikoki kwa uchaguzi ujao.
Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Bon yai na Sugu mambo ya kususa na manung'uniko...
Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya Tanzania, na wana Vibaraka ndani ya Tanzania ambao wanasema CCM mmekaa sana madarakani. Na mimi nawauliza...
Wakuu,
Masoud Kipanya huwa anaongea kwa lugha ya picha na kuachia hadhira kutafsiri kutokana na uelewa wa kila mmoja.
Je, hii picha yenye viboksi vitatu, ikiwa na rangi za CHADEMA lakini pia kiboksi cha kwanza kikiwa kimechorwa sehemu ya nyuma ya Pundamilia inamaanisha nini?
Binafsi nadhani CHADEMA wajiandae kwa uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Kinachotakiwa ni wao kubadilika na kufanya kazi kubwa ya kubadilisha mindset za Watanzania.
Kuendelea kulalamika kwamba tunaibiwa kura wakati hakuna hatua tunazochukua haijakaa vizuri hata kidogo.
Mimi naamini, kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.