Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
No reform no election ni sawa na kumpiga chura teke. Chama cha Dovutwa, CUF, TLP na vingine vitawakilisha uchaguzi wa vyama vingi, fikirieni upya. Kama watasusa CCM watapita bila kupita na kugeuka hasira za mkizi furaha kwa mvuvi. Hakuna varangati linaloweza kuzuia uchaguzi usifanyike.
Ili uelewe vizuri iangalie ACT Wazalendo inayounda Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ina Wanachama wangapi na vitega Uchumi gani?
Ukubwa wa Chama Cha siasa ni Hazina ya Fikra vichwani mwa Viongozi na akilini mwa Wanachama
Nimefurahia yale Mapokezi ya Tundu Lisu pale Mahakama Kuu lakini zaidi...
Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa chadema?
CHADEMA imetoa mapendekezo matatu kwa serikali kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani,Donald Trump kusitisha misaada kwa sekta ya afya.
Mwenyekiti wa Kamati ya Afya na Maendeleo ya Jamii ya Bunge la Wananchi CHADEMA, Ashura Masoud, lazima hatua zifuatazo zichukuliwe kukabili mabadiliko hayo.
1...
Mjumbe Wa Mkutano Mkuu Wa Wazazi CCM Taifa Ndugu Mrisho Kamba amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kinajaribu kueneza na kupandikiza chuki kati ya vijana na wazee kwa maslahi yao binafsi. “CCM ni chama kinachoamini katika mshikamano wa vizazi vyote”- Mrisho Kamba amesema maneno...
CHADEMA mnafeli padogo sana katika harakati zenu za kisiasa mnadhani kwamba mkiikaba serikali ndio mtafanikiwa serikali Inanguvu sana hamuna uwezo wa kushindana nayo
Hivi nyinyi ni wanasiasa gani ambao hamjui kiboko ya serikali ni wananchi tena ni wale wananchi wa Hali ya chini na katika hao...
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA. Kama unataka na wewe, au mwanamke mwenzako anayefaa nae apate fursa za uongozi bungeni au kwenye udiwani miaka ijayo, nakushauri upige kura ya mabadiliko kwenye Uchaguzi wa BAWACHA kesho na Uchaguzi Mkuu wa chama tarehe 21 Januari.
Ni kura ya mabadiliko pekee...
Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema
Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu na makamu wake Mh John Heche wakiwa rasmi ofisini
Ngoja...
Mchakato uchaguzi wa kidemokrasia huishia na makabidhiano ya mamlaka, madaraka na ofisi. Leo Lissu kaingia ofisini na mtangulizi wake Mbowe hakuwepo kumkabidhi mamlaka, madaraka na ofisi. Hii inafanya uchaguzi wao kuwa mapinduzi
https://www.youtube.com/watch?v=sg4irUqemHs
Kuna ujanja fulani unafanywa na CHADEMA Ili waendelee kutrend hata baada ya uchaguzi wao
Kwa mfano mwanzoni tu mwa Mkutano wa Nishati wa Dunia Katibu mkuu wa CHADEMA Mhe. mnyika akaitisha Press, Watu wakaanza kumjadili Mnyika na CHADEMA badala ya Kufuatilia Mjadala wa mkutano
Leo Mkutano...
Kufuatia kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Ndugu Tundu Lissu ya '𝑵𝒐 𝑹𝒆𝒇𝒐𝒓𝒎, 𝑵𝒐 𝑬𝒍𝒆𝒄𝒕𝒊𝒐𝒏' kumekuwa na 'reactions' nyingi kutoka kwa viongozi mbalimbali, matawi na taasisi mbalimbali za CCM wote wakijibu Kauli ya 'No Reform No Election.'
Kutokana na...
Uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA Taifa uliteka watu wengi mithili ya uchaguzi Mkuu wa Nchi.
Uliteka kuanzia vijana, wazee, akina baba, akina mama, Watanzania wote pamoja na watu wa mataifa mbalimbali. Usiku ule watu wengi hawakulala wakisubiri matokeo yatangazwe. Hata mimi nilikesha nikifuatilia...
Wakuu,
Polisi walivamia ofisi za CHADEMA mapema leo asubuhi na kuzuia mkutano huo kufanyika wakisema wataleta usumbufu wakati mkutano wa nishati unaendelea, na kwamba wanatakiwa kughairisha.
Mkutano ambao ungekuwa na waandishi wa habari tu kurusha tukio hilo, tena mbali kabisa na Posta ambako...
Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha.
Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
chadema
habari
jeshi
jeshi la polisi
katiba
katiba ya nchi
kisheria
kuacha
kuvunja
kuvunja katiba
kuzuia
kuzungumza
magaidi
nchi
polisi
uhuni
vyombo vya habari
waandishi
waandishi wa habari
wahalifu
wajibu
wake
wanasiasa
Napenda kusema ya kwamba ushindi wa CHADEMA dhidi ya uharamia wa CCM unakaribia. Ni muda mrefu CCM wamefanya machukizo dhidi ya CHADEMA ila Mungu amekaa kimya. Sasa mwaka huu Mungu atajifunua hadharani na kila mwenye Nia ovu dhidi ya CHADEMA atawekwa wazi na Hila zake zitashindwa.
CCM imemwaga...
Hatukupoa, hatupoi na moto ni uleule
Hakuna nguvu yoyote kubwa inayotumika.. Ni asili imeamua kuchukua mkondo wake.. Imagine hata makada maarufu wa mbogamboga wametekwa bila hiari na CHADEMA.. Kutwa kucha ni CHADEMA midomoni na akilini mwao
CCM ni kama kama mgonjwa aliye chumba cha mahututi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.