Wafuasi wa chadema na wapinzani wengine nadhani mmeona wenyewe kuwa CCM si Mali ya mtu ni Mali ya watanzania

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Hakuna mtu yyte aliyekishikilia chama cha CCM kama unadhani una nguvu ndani ya CCM unajidanganya BURE.

Inshort siasa za CCM ni za kiwango cha ulimwengu mwingine ni siasa zilizojengwa kwenye mwamba mgumu ambao hakuna mtu yyte wa kuutikisa na haitakuja kutokea.

Hakuna mtu mkubwa kuliko CCM, CCM Ina train wanachama wapya Kila siku ni Chama chenya mlengo wa kujenga (constructive ideology).

Hakuna mtu maarufu CCM, CCM ni chama cha watanzania ndo maana huwezi kuona kiongozi yyte wa CCM anatafuta kiki mitandaoni.

CCM ni maji yenye Kina kirefu mno aisee .

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Wewe ***** si ulisema hiyo barua ya kujiuzulu ni feki. Pumbavu zenu hamna hata akili, mmekalia kulamba matako ya watawala tu
 
Hakuna mtu yyte aliyekishikilia chama cha CCM kama unadhani una nguvu ndani ya CCM unajidanganya BURE.

Inshort siasa za CCM ni za kiwango cha ulimwengu mwingine ni siasa zilizojengwa kwenye mwamba mgumu ambao hakuna mtu yyte wa kuutikisa na haitakuja kutokea.

Hakuna mtu mkubwa kuliko CCM, CCM Ina train wanachama wapya Kila siku ni Chama chenya mlengo wa kujenga (constructive ideology).

Hakuna mtu maarufu CCM, CCM ni chama cha watanzania ndo maana huwezi kuona kiongozi yyte wa CCM anatafuta kiki mitandaoni.

CCM ni maji yenye Kina kirefu mno aisee .

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
CCM ni mali ya Wazanzibari + familia ya Mkwere, Watanganyika kwa ujumla wao hawana kauli na wala hawapaswi kuuliza chochote kinachoamuliwa na Wazanzibari ndani ya CCM.
 
Back
Top Bottom