Hakuna mtu yyte aliyekishikilia chama cha CCM kama unadhani una nguvu ndani ya CCM unajidanganya BURE.
Inshort siasa za CCM ni za kiwango cha ulimwengu mwingine ni siasa zilizojengwa kwenye mwamba mgumu ambao hakuna mtu yyte wa kuutikisa na haitakuja kutokea.
Hakuna mtu mkubwa kuliko CCM, CCM Ina train wanachama wapya Kila siku ni Chama chenya mlengo wa kujenga (constructive ideology).
Hakuna mtu maarufu CCM, CCM ni chama cha watanzania ndo maana huwezi kuona kiongozi yyte wa CCM anatafuta kiki mitandaoni.
CCM ni maji yenye Kina kirefu mno aisee .
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
..kwa Ccm mwenyekiti ni mungu.
..kwa Ccm mwenyekiti hakosei, hakosolewi, na hawashauriwi.