Tuweni makini kuna CCM team Samia watajifanya Chadema damu ili kusudi kumpaka matope Nchimbi asikubalike na wananchi

Tuweni makini kuna CCM team Samia watajifanya Chadema damu ili kusudi kumpaka matope Nchimbi asikubalike na wananchi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Kuna maccm team Samia yanapata tabu sana kipindi hiki.

Wengi wanakuja na gia eti Nchimbi asipokelewe na wananchi na pia kama atataka kujiunga na chadema pia asipokelewe.

Binafsi mtu anayemzungumzia kwa mabaya Nchimbi kipindi hiki namuona punguani.

Nchimbi ameamua ku sacrifice maisha yake , ame sacrifice wadhifa wake na kuamua kukaa pembeni maana kakataa kuwa miongoni mwa watenda maovu.

Amefikiria vya kutosha na amezungumza waziwazi si mara moja na wala si mara mbili kwamba hakubaliani na mkuu wake kulingana na namna anavyoendesha nchi.

Hakubaliani kuona maelfu ya wananchi wanateketea , nchi inateketea , hakutaka kuwa miongoni mwa wadhulumu.

Alikuwa na uwezo wa kukaa kimya na kuendelea kula keki ya nchi kimya kimya bila bugudha yoyote lakini nafsi ikawa inamsuta .

Hakuna possibility yoyote ya Nchimbi kuhama CCM na kwenda chama pinzani kuendelea na siasa ,

Hana uchu wowote wa madaraka maana kama madaraka tayari alishakuwa nayo na ameamua kuyaacha .

Hivyo hawa wachawi vigagula wanaomsagia kunguni ili tu tusimpende wameula wa chuya kwa uvivu wa kuchambua.
 
Tuwazomeeeni , haooooooooooo , mibichwa mibaya kama watu fudenge.
 
Back
Top Bottom