chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. F

    Matembezi ya mshikamano CHADEMA mikoa yote.

    Matembezi haya yenye lengo la kukiimarisha chama na kuleta umoja kati ya Wanachama na makundi mbalimbali ndani ya CHADEMA. Lengo pia ni kuunga mkono demokrasia ndani ya chama na kusapoti msimamo wa CHADEMA kuhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Matembezi hayo yafanyike kila mkoa kwa...
  2. kipara kipya

    Huyu Maria Sarungi anatoa maagizo haya kwa wanachama, yeye ana cheo gani uko CHADEMA?

    Maria Sarungi ni nani ndani ya Chadema mpaka awapangie watu
  3. music mimi

    Hivi Lissu atafanya vipi kazi na viongozi wenzake aliowatangaza ni watoa rushwa?

    Okay, Lissu ameshinda furaha ni kubwa kwa supporters wake lakini kwa wapinzani wake ni msiba mzito. Ni msiba sio kwa kuwa tu wamepoteza nguvu kwenye chama na Mbowe kashindwa, ila msiba mzito ni wao kusemwa vibaya wakati wa kampeni. Lissu alisema wazi chaguzi za kanda na mikoa zilijaa rushwa na...
  4. Mkalukungone mwamba

    Reginald Munisi awapa mkono wa kwaheri CHADEMA, baada ya utumishi wake wa miaka 10 katika Sekretarieti ya chama

    Tunaweza kusema kama Timu Mbowe wameanza kujichekecha kimtindo baada ya Lissu kuchukua nafasi hiyo ya uwenyekiti wa CHADEMA =================== Baada ya miaka 10 ya ajabu nikihudumu katika Sekretarieti ya chama cha CHADEMA, moyo wangu umejaa shukrani na furaha. Nimekuwa shahidi wa wenzangu...
  5. J

    Kwa sababu za kiusalama siyo Sahihi Mnyika wa CHADEMA kufanya Press Kesho wakati Nchi ina ugeni mkubwa wa Marais wa Africa. Wageni Wanaweza kuogopa!

    Nashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka Ikumbukwe Chadema ni Chama kikuu Cha upinzani na haijulikani Kesho wamepanga kuongea nini hali inayoweza...
  6. A

    CHADEMA, Wale wote ambao hawataki kuponywa majeraha ya uchaguzi ni vyema wakafunguliwa mlango wa kutokea

    Haya ni maoni yangu binafsi, kuna watu walipanga kumumaliza kisiasa kabisa Lissu ,bahati nzuri kwake kwa nguvu ya umma akaibuka kidedea. Hata huyo Mbowe mnayemsifia ukifuatilia interviews zake zote kabla ya uchaguzi alijawa na kisasi dhidi ya Lissu. Sasa uchaguzi umeisha ila kuna watu kama...
  7. Ritz

    Lema, kila siku unasema Land Cruiser V8 unaweza kujenga madarasa mengi leo unataka raia wachange wamnunulie Mbowe Gari Toyota Land Cruiser V8

    Wanaukumbi. Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi? Watanzania...
  8. Fortilo

    Nataka Tundu Lissu Ashindwe ili Ajirudi, Atubu na Aseme Ukweli

    Hii najua haitawapendeza wengi wanaotaka mabadiliko katika nchi yetu. Lakini siasa za uzandiki, fitina, Majungu na kuchafuana mimi sio muumini wake.. toka kipindi Lowassa anaitwa Fisadi, hizi ni siasa chafu na watu wenye nia njema na taifa letu hawatakiwi kuzifumbia macho. Tanzania kuna...
  9. K

    Ushauri kwa CHADEMA anzisheni Trust Fund

    Hii Chadema ya Lissu ni tofauti sana na Chadema ya Mbowe hasa kwenye njia za kupata pesa. Lissu na team yake wanataka Chadema iwe ya kisasa pamoja na mengi ushauri wangu ni huu Fungueni Chadema Trust Fund ambayo iwe na account yake maalumu ya uwekezaji nashauri pale UTT. Hii trust fund...
  10. R

    Usajili wa Msingwa CCM umesaidia sana ujio wa Lissu CHADEMA, hongereni Ndugu Makala, Nchimbi

    Kidumuuu chama!!! Nichukue fursa hii kuwapongeza makada wote ndani ya chama Cha kijani waliofanya usajili mahiri wa kuhakikisha wanamsajili ndugu Msigwa na kusaidia kumpa nguvu na umaarufu ndugu Lissu. Ushindi wa TUNDU Lissu una mchango mkubwa Toka Kwa kada huyu mwenye mapenzi ya dhati...
  11. Erythrocyte

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati, Devota Minja

    Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa mitandaoni kote siku ya leo Taarifa zingine zinaeleza kwamba, Viongozi hao Wamepanga Mikakati ya namna ya kuing'oa ccm kwenye Kanda hiyo, na tayari kazi imeanza, ambapo wamekubaliana kuanzia Jimbo la Job Ndugai Hawa hapa wakiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu...
  12. Mshana Jr

    Profesa wa literature aitahadharisha CCM kuhusu nguvu ya CHADEMA

    Prof. Joseph Mbele, mhadhiri wa literature wa Chuo Kikuu, Olaf College, USA; ametazama na kuchambua Uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA na kutoa angalizo zito kwa CCM. Kabla ya kuchapisha maoni yake hapa nilifanya mazungumzo naye kwa simu. Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako...
  13. T

    Lema ataja sababu yakufuta 'Tweet' yake aliyopendekeza kuwa Mbowe anunuliwe gari kama zawadi ya kumuaga

    Mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema baada ya kuandika kupitia ukurasa wake wa X akitaka Mwenyekiti mstaafu na mjumbe wa kamati kuu chadema Freeman Mbowe aagwe kwa kununuliwa gari, baadae alifuta tweet hiyo na kueleza kuwa jambo hilo linapaswa kwanza kujadiliwa katika vikao kwanza. Soma: Lema...
  14. Q

    Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema amesema atamshauri Mwenyekiti mpya wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu kuanda mkakati wa kumuaga rasmi na kutambua mchango wa Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe ambapo pamoja na zawadi nyingine amesema wanaweza kumtafutia Land Cruiser 200...
  15. chiembe

    Pre GE2025 Amos Makalla: Wanaosema No Reform No Election hawana fedha za kufanya Uchaguzi

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayosema hawatoingia kwenye uchaguzi pasipo kuwa na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi...
  16. S

    CHADEMA amsheni watu kwa kauli za kina Chalamila kwa mjamzito kwamba kama hatoi Shs 50,000 arudi nyumbani mume wake amkate kwa kisu na mkasi ajifungue

    Jambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya kifahari ya fedha ya hivi karibuni ya Mkutano Mkuu wa CCM na kadhalika. Lakini pale ambapo...
  17. Zanzibar-ASP

    CHADEMA acheni mijadala ya kurejeshwa kwa Covid 19, Msigwa au Slaa. Hao sio wenzenu, ni wasaliti, hawahitajiki popote, wanasaka fursa tu.

    Nimekuwa nikishangaa mnoo mara kwa mara kusikia mijadala ya kujadili namna ya kuwarejesha au kuwakataa wabunge wa Covid 19, Mchungaji Msigwa na Dr. Slaa. Hizi hoja zilishika kasi kipindi cha uchaguzi wa mwenyekiti ndani Chadema na zinaendelezwa hadi sasa huku upande wa wapambe wa Mbowe ukipiga...
  18. KJ07

    Pre GE2025 Jiunge na Harakati za Mabadiliko: CHADEMA Inakuhitaji Leo!

    🇹🇿 CHADEMA ni chachu ya mabadiliko tunayoyahitaji! Ni muda wa kujiunga na harakati kwa vitendo. Jiunge sasa kupitia kadi za wanachama zenye hadhi tofauti: Tanzanite, Diamond, Platinum, Gold, Silver, na Bronze. Kwa nini ujiunge? 🗳️ ✅ Kuwa sehemu ya uamuzi wa kitaifa ✅ Changia harakati za...
  19. The Watchman

    SI KWELI Maria Sarungi aitabiria CHADEMA kifo

  20. The Watchman

    SI KWELI Mbowe asema baada ya kushauriana na familia yake, atawasilisha rufaa yake makao makuu ya CHADEMA

    Wakuu salama? Nimekutana na hii kwamba Mbowe ameshauriana na familia yake na ameahidi kukata rufaa, je ina ukweli wowote hii?
Back
Top Bottom