chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 CHADEMA Makete: Tumebadili tu Gia, Mbowe hana baya

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Makete mkoani Njombe wamezungumzia uchaguzi wa viongozi wa chama hicho taifa pamoja na namna uchaguzi huo ulivyofanyika Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA...
  2. F

    Kuna umuhimu kwa CHADEMA kufanya matembezi ya mshikamano nchi nzima kuunga mkono uongozi mpya na demokrasia ndani ya chama

    Mabalishano ya uongozi yaliyotokea hivi karibuni CHADEMA yamepokelewa vizuri sana na wapenda demokrasia ndani na nje ya nchi. Kuna umuhimu kwa wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia wote kupongeza juhudi hizi kwa njia iliyotukuka kupitia matembezi ya mshikamano nchi nzima.
  3. R

    Uchaguzi wa CHADEMA umefungua njia kwa wanasiasa kutambua nguvu ya vijana, CCM wamebadili gia sasa wanaenda na vijana siyo wazee

    Kama wewe ni kijana na unaamini katika kulitumikia taifa kama diwani au Mbunge anza kujiandaa kwenda kugombea. Mfumo umebadilika na fikra zimebadilika. Wapiga kura sasa hivi ni vijana na vyama vimebaini umuhimu wa wagombea vijana Kipenga kimepulizwa anzenu kujinoa, msiseme hakuna mtaji. Mtaji...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 VIDEO: Godbless Lema afichua mbinu alizotumia kumuombea Lissu Kura za Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Wakuu Baada ya uchaguzi wa Januari 19-20, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, ameweka wazi mbinu alizotumia kuhakikisha Tundu Lissu anapata kura za kutosha kutoka kwa wajumbe na kuibuka mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa wa chama hicho. Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu...
  5. L

    Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna uwezekano kuna watu au kikundi cha watu au Wafuasi wa lissu wakawa na matumaini na matarajio makubwa sana na lissu kwamba anaweza badilisha au lazimisha kufanyika kwa jambo lolote lile analotaka au wanalolitaka wao kwa nguvu au mabavu au kwa shinikizo. Nipende tu...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Mbowe haraka atimuliwe ndani ya CHADEMA

    Mikakati ya Mbowe kumwengua Lissu kwenye nyadhifa ya vice chairman haikuwa bahati mbaya. Ilikuwa planned vizuri, na mwishowe angefukuzwa uanachama kwa hisani ya chama kile kilichofadhili kampeni na uchaguzi wa majuzi. Kumbakisha Mbowe CHADEMA ni hatari sana. Ni heri aondoke na siri za zamani tu...
  7. Wakipekee

    Naomba kufahamu jinsi ya kujiunga Uanachama Wa CHADEMA Online

    Habari wadau..? Nimekua mshabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa muda mrefu sana.. sasa naona ni Muda sahihi wa kua na kadi ya chama hichi hasa katika kipindi hiki ambapo tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu.. Naamini humu Kuna wanachama wengi wa Chadema, ningependa kujua je...
  8. Erythrocyte

    CHADEMA ni Moja, Wanaotaka kufukuza wenzao wadhibitiwe haraka

    Natoa onyo kwa kikundi kinachoratibu Kufukuza wengine ndani ya CHADEMA, sitaki kuamini kwamba Katibu Mkuu na Mwenyekiti mpya mnaweza kupanga jambo hili duni na la kijinga, kemeeni jambo hili haraka sana, Uchaguzi umekwisha kwa tofauti ya kura 31 tu, kimsingi hakuna aliyeshinda bali Mshindi wa...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa

    Unaweza ukawa ni mvutano mpya kuhusu Katiba kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira, kusema kuwa hoja ya kutaka mabadiliko ya Katiba kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 imechelewa. Wasira ametoa...
  10. Cannabis

    Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume "patriarchy"

    Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT...
  11. Crocodiletooth

    Pre GE2025 Wakati mwingine, mwanasiasa huamia chama kingine ili kupumzisha akili, Msigwa rudi chadema!

    Asalaam aleykum, Nianze moja kwa moja, historia hii ya kuama vyama na kwenda kwingine siyo hadithi ngeni, hata Makamu mwenyekiti CCM, bara aliwahi kuwepo chadema kwa mapumziko, na ilipo fika wakati alirejea CCM. In short Msigwa rudi nyumbani, hakuna aibu yoyote, rejea mapema tujenge chama...
  12. mwanamwana

    Pre GE2025 John Mrema: Wanataka kunifukuza uanachama. Wameshinda uchaguzi sasa hawataki wengine tuseme

    Ameandika Mrema kupotia ukurasa wake wa X, "Nimejulishwa na mwenyekiti wa tawi langu, ameagizwa anifute uanachama kabla ya kesho ili kama nitaendelea na nia yangu ya kuzungumza na vyombo vya habari basi niwe sio mwanachama! "Nimeshangaa sana maagizo hayo na mpango huo ambao unaratibiwa na...
  13. T

    Pre GE2025 Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA, adai wakienda ikulu watagawana hadi vikombe

    Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA adai hawajashika dola lakini wanagombana na kushikana mashati je wakipelekwa ikulu si watagawana hadi vikombe? Soma Pia: Pre GE2025 - Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara Uchaguzi Mwenyekiti...
  14. Waufukweni

    Pre GE2025 Mbowe awa motivation speaker baada ya kuangukia pua Uchaguzi CHADEMA, aibuka na ujumbe wa kiroho

    Freeman Mbowe, aliykuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ame-share ujumbe wake wa kiroho na wanachama wa chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani. Kupitia mtandao wa kijamii, wa X (zaman Twiter) Mbowe alieleza kuwa aliendelea kupata mwanga kupitia neno la leo kutoka katika Kalenda ya KKKT. Ataja Ushetani...
  15. Msanii

    Pre GE2025 CHADEMA fufueni matawi yenu nchi nzima ili wapokee mafuriko ya wanachama wapya

    Mimi siyo mwandishi mzuri sana. Ni msanii wa mjini tu, najua kukuimbisha ukaelewa somo na ukafanya maamuzi sahihi. Baada ya Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA kukamilika hapo 22 January 2025. Wamejitokeza watu wengi sana kutaka kujiunga na CHADEMA. MAONI YANGU: CHADEMA kupitia uongozi wa wilaya...
  16. Heparin

    Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

    Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
  17. M

    Pre GE2025 Tundu Lissu amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu. Ateua Manaibu Katibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati Kuu

    Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama ambalo limekutana leo Jumatano, Januari 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ameanza kupanga safu yake ya uongozi kwa Kuteua Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu pamoja na wajumbe wa Kamati...
  18. R

    Hongera Mbowe kwa kumfanya yule bwana akalambe yeye asali; angewauza mchana kweupe

    Msigwa kwa mujibu wa Lema alitofautiana na Mbowe baada ya ukimya wa mwenyekiti ambao ulipelekea waanzishe group la WhatsApp na Msigwa kuanza kumtuhumu kuwa amekuwa kimya kwa sababu amelamba asali. Kutokana na ukweli kwamba Mwenyekiti alitamani kufanya kazi na watu wasio na uchu wa madaraka...
  19. S

    Hongera Mbowe, CHADEMA sasa ni chama cha kitaifa

    Mhe. Mbowe kwa kukusudia ama kwa kulazimishwa na mazingira, umefanikiwa kukifanya CHADEMA kuwa sasa na sura ya kitaifa zaidi. Kumekuwa na mtizamo kuwa chama hiki ni cha kikanda ama cha kikabila ama cha kifamilia. lakini kwa sasa baada ya uchaguzi na viongozi waliopatikana sasa hoja hii imekufa...
  20. Nehemia Kilave

    Kwa sasa CHADEMA inahitaji wanachama Hai wengi kuliko wakati mwingine wowote, Tushiriki kuimarisha chama

    Kwanza nitoe pongezi kwa viongozi wote waliochaguliwa na kuteuliwa katika uchaguzi huu wa CDM 2025 . Pili mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi mkuu , pesa zinahitajika sana na adhani hutuna uhakika kama zile hela zilizokuwa zinatolewa kipindi kilichopita kama zamani hivyo wanachama na watu wenye...
Back
Top Bottom