chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. F

    Nashauri CHADEMA tufanye matembezi ya mshikamano kuunga mkono chama na uongozi mpya

    CHADEMA tumefanikiwa kuvuka mtihani mgumu wa uchaguzi mkuu na kufanya mabadiliko ya safu za uongozi kwa mafanikio makubwa huku kikibaki kuwa chama chenye umoja na mfano wa kuigwa wa demokrasia nchini. Nashauri uongozi wa CHADEMA katika siku moja yafanyike matembezi ya mshikamano kila mkoa...
  2. D

    Mbowe ajishughulishe na CHADEMA kwa tahadhari kubwa

    TAHADHARI 1; Akae pembeni na a behave kama mwanachama wa kawaida tu. Kama alivyosema, aendelee na biashara zake na familia yake kwa Sasa. TAHADHARI 2; Ikibidi kushirikishwa jambo ndani ya uongozi, shiriki kwa tahadhari kubwa.
  3. Tuo Tuo

    Kwanini CHADEMA wanadhani Lissu ataleta mabadiliko ili hali kawepo kwenye chama miaka zaidi ya 30?

    Lissu kushika kijiti watu wamefurahi sana lakini pia CHADEMA wanaona kama ndo watashika nchi vile? Nini wanadhan Lissu atakibadilisha kama yule mzee asiye na bla bla wala maneno maneno ameshindwa
  4. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Hashim Rungwe atuma salamu za pongezi kwa Tundu Lissu kufuatia ushindi alioupata kwenye uchaguzi wa CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Hishim Rungwe Spunda ametuma salamu za pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu kufuatia ushindi alioupata kwenye uchaguzi wa ndani ya chama hicho uliohitimishwa leo, Jumatano Januari...
  5. O

    Uchaguzi wa CHADEMA umetufundisha jinsi ya kutekeleza demokrasia kwa vitendo, kazi kwenu tume huru

    Tangu CHADEMA kutangaza mchakato wa kumpata Mwenyekiti, wagombea hawakulala, walitoa ya moyoni.Wengi walituhumu, wengine walitoa maneno ya kashifa ili kuvutia kura upande wao, Wenye Hekima na busara walivumilia. Mwisho wa siku uchaguzi umemalizika. Nilichojifunza katika uchaguzi huu ni kwamba...
  6. Dialogist

    Pre GE2025 Kama kweli namba hazidanganyi, basi CHADEMA inaweza kushinda uchaguzi wa mwaka huu asubuhi kabla ya misa ya kwanza. Hizi hapa tafiti

    Wanabodini Mlimakafu?? Mimi ni mpenzi wa siasa za maendeleo zaidi na sio za kiharakati. Wakati huo napenda siasa za kisomi kweli kweli.. Nimekaa nikatafakari baada ya kuisha uchaguzi wa Chadema, nimeona mwaka huu kama hawatapata urais basi watakua na wabunge wengi zaidi bungeni (over 50%) of...
  7. Dialogist

    CHADEMA chukueni hili wazo langu mpige hela

    Wanandugu wa bodini... Nawasalimu kwa salamu yangu binafsi, uposondi...?? Mwaweza itikia... ndinandii.. Nimepata tashtwiti ya kuwashauri Chadema, hasa huu uongozi mpya... Katika njia ya kuanza kuimarisha chama kiuchumi, mnaonaje mkitengeneza hata tisheti elfu 10 (10,000pcs) zenye picha ya...
  8. G Sam

    Tuliokuwa ICU kuhusu siasa za Chadema kwa hiki kipindi cha miaka kadhaa hatimaye tumeponywa, Mbowe tutamheshimu kama tulivyoahidi

    Mungu amefanya kazi, nimezaliwa upya baada ya kuponywa kutoka ICU. Nilijeruhiwa na siasa mufilisi za chama changu CHADEMA ambazo ziliniliza kwa miaka kadhaa. Ama kweli sasa nipo tayari kuwajibika kwenye kipindi kipya na kukitumikia chama kwa kila hali. Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu...
  9. Stroke

    CHADEMA inahitaji mabadiliko ila sio kwa mtu kama Lissu

    Ni kweli kwamba Chadema inahitaji uongozi mpya baada ya miaka 20 ya Mbowe. Ila sio kwa mtu kama Lisu. Tatizo la lisu ni mihemko isiyokuwa na mipaka. Uongozi wa Taasisi unahitaji mtu mwenye tabia za kokoro, kwamba anauwezo wa kubeba kila uchafu , kuchuja na kubakia na product safi. Sasa mtu...
  10. K

    Nchi hii itaendelea endapo uchaguzi wa CCM utaendeshwa kama CHADEMA walivyoendesha uchaguzi wao

    1. Uhuru wa kujieleza na kuchagua kambi 2. Uhuru wa kuunga mkono kambi uipendayo 3. Utayari wa kukubali matokeo kwa wagombea 4. Uhuru wa kuchagua na kugombea 5. Wasimamizi wa uchaguzi kusimamia uhesabuji wa kura halali 6. Kuruhusu wanachama, wananchi kumchagua kiongozi wampendaye Haya...
  11. Nzelu za bwino

    Kazi kubwa tatu muhimu zilizo mbele ya uongozi Mpya wa CHADEMA

    Salaam wana jukwaa, Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kushuhudia UCHAGUZI WA kihistoria ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo. Pia nichukue nafasi hii kumpongeza mh Tundu Lissu kuchaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa CHADEMA. Nampongeza mh John Heche kuchaguliwa kuwa makamu...
  12. K

    Dr Slaa atarudi Chadema ni muda tu

    Dr Slaa hivi karibuni amekuwa mwana harakati mkubwa sana yuko njiani kurudi kama mzee wa Chama.
  13. Mkalukungone mwamba

    Umeme umekatika tena wakati Tundu Lissu akiongea wakati wa kufunga Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA

    Katika hali isiyotarajiwa umeme umekatika hapa Ukumbini Mlimani City wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akielekea kufunga Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho. Walinzi wameimarisha hali ya usalama kwa kuzunguka meza kuu mpaka umeme uliporudi. Soma Pia: Tundu Lissu amteua John Mnyika...
  14. Shooter Again

    CHADEMA inaenda kuchukua nchi 2025

    Rasmi sasa nchi inaenda kuchukuliwa na huku chama cha upinzani, tukutane hapa mwezi wa 11. Nina uhakika 100% na wala haina haja ya kubishana sana.
  15. RWANDES

    Pre GE2025 Utabiri: 2025 CHADEMA kushinda Uchaguzi Mkuu

    Habari ni kwamba nguvu iliyopo na ushawishi ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA nikubwa na yakushangaza vijana wengi wanaunga mkono chama hicho pamoja na mawakili wengi tanzania ambao wengi wao niwanaharakati , wapiga kura kumbukeni siyo wazee ni vijana ambao wamemaliza vyuo...
  16. B

    Nusura ya CHADEMA ilikuwa ni LISSU kushinda tu

    NUSURA YA CHADEMA ILIKUWA NI LISSU KUSHINDA TU. Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Isingekuwa rahisi kwa watu wa Lissu kuungana na Mbowe kama Mbowe angeshinda lakini ni rahisi kwa watu wa Mbowe kumuunga mkono Lissu, na huenda wameshamuunga mkono hadi sasa. Lissu, Heche,Lema na watu wao...
  17. Megalodon

    CHADEMA tuheshimu Watangulizi wetu; Tusiwe kama CCM wanavyomnanga Hayati Magufuli

    Uchaguzi Umeisha; ni wakati wa kumpa USHIRIKIANO Lissu. Tuweke tofauti zetu kando na tujenge chama chenye TIJA na Chenye UWEZO wa kushika Dola. Kwa mabadiliko haya, ipo siku Chadema inakwenda kushika DOLA, I swear. You may think i am crazy……. But i am not the only one. Kubwa zaid, Mbowe ni...
  18. Cute Wife

    Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    Wakuu, Leo mbali na kuwa ni Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA pia wanasherekea Miaka 32 ya CHADEMA kupata Usajili wa Kudumu, ambapo ulipatikana Januari 21, 1993. https://www.youtube.com/watch?v=6W33TIKrrOE Mbivu na mbichi kujulikana leo, tumeona mengi na kusikia mengi kila upande ukitetea kwake. Je...
  19. Erythrocyte

    Pre GE2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA kutangazwa mchana huu. Nani kumrithi John Mnyika?

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu mpya wa Chadema atatangazwa mchana huu Bado haijajulikana ni nani hasa, japo kuna Majina kadhaa yanatajwa. Juhudi zangu za kulazimisha kuvujishiwa jina kwa manufaa ya JF zinaendelea, Nzi wangu akiweza tu kunusa basi haraka sana kwa chap...
  20. Cute Wife

    Pre GE2025 Mbowe atoa neno baada ya matokeo, awaagiza wateule kufanya upatanisho

    Wakuu, Mbowe atoa neno baada ya Lissu kutangazwa kuwa Mwenyekiti Mpya Taifa, anza kwa kushukuru Mungu kwa zoezi zima kwenda vizuri bila ya kuwa na changamoto yoyote na kujenga chama chenye heshima, hadhi, maono, chama kilichojaa matumaini ya wote wanaoitamani kesho iliyobora zaidi. Mbowe asema...
Back
Top Bottom