Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
Kung'atuka kwa Nchimbi ni taswira ya mashindano na mapambano ya mageuzi ndani ya CCM, ambapo ni dhahiri wananchi na CHADEMA wanaungwa mkono na kundi la vigogo ndani ya CCM wenye kiu ya mabadiliko ya kweli.
Sisi wananchi madai yetu ni pamoja na:-
Hatupoi
Tuue leo
Kesho wanainuka wengine mpaka kieleweke
Sisi wananchi madai yetu ni pamoja na:-
- Katiba itokanayo na maoni na utashi wa wananchi
- Kufuta sheria zote kandamizi na katili
- Kuunda Tume HURU ya Uchaguzi chini ya sheria maridhawa ya Uchaguzi
- Kuunda upya vyombo vya ulinzi na usalama
- Kuiyisha Uchaguzi Mkuu
- Uwajibikaji wa wahusika wote wa utrkaji, utesaji, ufiraji, mauaji na kesi zote za kisiasa kabla, wakati na baada ya Oktoba 29 2025
- Uwajibikaji wa wahusika wakuu wa mauaji ya kimbari 29 Oktoba 2025
Hatupoi
Tuue leo
Kesho wanainuka wengine mpaka kieleweke