Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Natamani kuona CHADEMA ambayo hata ikikumbana na mitikisiko, watu wanatafuta suluhu ndani kwa ndani bila kuvurugana wala bila kurudisha harakati nyuma sabab watu ambao kwakawaida huondoka chadema husababisha kupotea kwa credibility ya chama na kurudisha nyuma harakati za chama.
Mimi ni kada wa...
Nimejikuta nimemuonea huruma Tundu Lissu.
Huruma ni sifa na silka ambazo binadamu hajifunzi.
Nilistudy body language ya Lissu kabla na baada ya kupata reaction asiyotarajia kutoka kwa Wahariri.
Wahariri wamemwangusha sana Lissu especially Deodatus Balile.
Wahariri wa Tanzania sijui mnahariri...
Haina ubishi. Mfumo wa uchaguzi wa Tanzania upo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inabaki madarakani. Hata Anthony Diallo aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza alishathibitisha. Nape ndio aliweka wazi kabisa.
Sasa kwa nini mabadiliko yasifanyike ili tupate Chama ambacho kitawakomboa...
Salaam Wakuu,
Toka kampeni ya Tone Tone izinduliwe kumekwa na changamoto ya mtandao ambao haieleweki eleweki.
Wakati wameshazindua na wakawa wanaitana mbele kila mmoja kuhamasisha watu wake, commentszilikuwa zinapita chini baadhi wakisema miamala inakataliwa, mara inakaa pending muda mrefu...
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Salaam Tanganyika!
Issues nyingi zinaibuliwa wakati huu na zinaonekana ni za upande mmoja,
Na anayeibua HOJA nyingi ambazo hazipati majibu ni huyu Mwenyekiti mpya wa chama Cha upinzani TUNDU Lissu.
Sasa Kwa kuwa anayetakiwa kuzichambua ni mwananchi, ni muhimu wenyeviti Hawa wawili...
Wakuu nipo Live Jambo Tv namsikiliza Mheshimiwa Tundu A. Lissu Juu ya No reform no election akichambua kiundani matatizo ya kimfumo na kikatiba ya Mfumo wa uchaguzi na jukwaa la wahariri Tanzania.
Kuna huyu ndugu Paschal Mayalla wakati WA maswali na majibu Kwa mh. Lissu ameuliza swali ambalo...
Nani anaaminika na kukubalika zaidi ndani ya chadema na anaweza kua na nafasi nzuri zaidi ya kupewa fursa ya kubeba jukumu hilo muhimu la kupeperusha bendera ya chama hicho, kati ya mwenyekiti wa chadema taifa wa sasa na aliewahi kua katibu mkuu wa chadema taifa?
Au tutegemee siasa za chuki...
Watu wengi wameeleza kushindwa kuichangia CHADEMA kupitia mtandao wa Mpesa/Vodacom.
Baadhi ya waliojaribu kuwasiliana na Vodacom huduma kwawateja, wameambiwa kuwa eti akaunti hiyo ya CHADEMA imejaa pesa, na hivyo haiwezi kupokea hela zaidi. Wakati kwenye makubaliano kati ya CHADEMA na Vodacom...
Juzi ilizinduliwa uchangiaji wa TONE TONE na hivyo tunaiomba CHADEMA irudie taratibu wa uchangiaji huu mara kwa mara ili wanaopenda kuchangia wachangie.
Chama kielekeze wazi taratibu za njia rahisi kutuma mchango huu kwa njia mitandao ya simu kama vile Mpesa, Airteli, Tigo nk na njia zingine...
Tundu Lissu bado anawaamini wajomba wa nje kwa kuwapelekea malalamiko yake. Rais Trump ni chaguo la Mungu pale anapotufundisha kuwa ili kupambana na ukoloni mamboleo basi uwe na MISULI yako binafsi.
Rais Trump amemwambia bayana Zelensky kuwa hatashinda vita vyake na Urusi....na amemsisitizia...
Mapema leo tarehe 28 Februari 2025 viongozi wakuu wa Chama wakiongozwa na mwenyekiti Taifa Tundu Lissu wametembelea Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Rights Centre - LHRC) na kupokelewa na Kaimu Mkurugenzi Wakili Fulgence Masawe.
Hii ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya viongozi...
Wanafanya hivyo kwa mgongo wa kukusanya pesa kwaajili ya kuendesha chama, kitu ambacho kabla ya uchaguzi walipiga kelele sana kwamba ndani ya chama hicho kuna matumizi mabaya ya pesa za chama, hali ya kua hazikuepo. Ni wazi ilikua chuki binafsi na uzushi wa kuwapaint baadhi ya watu ndani ya...
Ili kampeni ya TONE TONE ifanikiwe, ni lazima iambatane na mambo yanayogusa wananchi moja kwa moja na zaid yanayogusa watu wengi.
Kwa maneno mengine, ni lazima CHADEMA waonyeshe na watangaze uhusiano wa TONE TONE na maisha ya wananchi.
Kwa mfano, kampeni ya TONE TONE kuanzia kwenye mabongo ya...
Heche amesema wana mpango wa kujenga miundombinu mbalimbali katika eneo lenye hekari 130 karibia na Kibaha. Miongoni mwa miundombinu hiyo ni kumbi na vyuo.
"Tunataka watu wetu tuwa train pale kuhusu politics, policies za chama chetu, mabadiliko N.k" John Heche
Kupata taarifa na matukio ya...
Heche amesema lengo la kampeni ya Tone Tone ni kujenga jamii itakayokuwa na uwezo wa kuhoji na kusimamia vitu kwa sababu na wao wanakuwa na mchango katika kujenga chama
"Tunataka kujenga jamii ya watu ambayo amabo wanajitolea, wanaifuatilia, wanaisimamia serikali, wanasimamia vyama vya saisa" -...
Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar Es salaam ndugu Ally Bananga akimpokea kada wa Chadema aliyehamia CCM
Ndugu Elia Benadin Mlewa alikuwa akihudumu nafasi ya katibu mtendaji wa Mtandao wa Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu wa Chadema (CHASO) Mkoa wa Dar Es salaam pamoja na nafasi ya Katibu wa...
Wako hoi kiuchumi ,taabani kifedha.
Makao makuu ya Chadema yana ukata na njaa kali....mara wanakimbilia ubalozi wa Norway tusipate misaada (dola milioni 7.)kila fiscal year.Mara uchaguzi mkuu usiwepo ,kumbe yote ni "nakama" ,waya mkali ,ulofa hapo makaoni.
Makamu Mwenyekiti ndg.Lema anawayawaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.