chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    Makonda na Gambo Ndio mfano wa Siasa Halisi za CCM zilivyo nyuma ya Pazia hakuna kusuluhishana Kanisani kama CHADEMA!

    Wanachonifurahisha Paul Makonda na Mrisho Gambo ni kwamba Wao hawafanyi siasa za kinafiki Kila Kitu kinawekwa mbele ya pazia halafu July Wajumbe wataamua kwenye Kura za maoni Tofauti na Mbowe na Tundu Lisu wanaopelekana Kanisani kusuluhishwa kisirisiri Ahsanteni sana
  2. M

    Pre GE2025 Lissu hana sera mpya, hatafanikiwa

    Mfano: Maalim alikuwa na kauli mbiu ya kuwakokomboa wazanzibar kutoka Tanganyika. Alieneza sera miaka karibu miaka 40 au zaidi. Sera ilipokolewa na wapinzani na ndani ya CCM ndio upinzani ukashika kasi. Yaliobaki ufisadi, kukuza uchumi ambapo alisema Zanzibar itakuwa ya neema. Hii iliwavutia...
  3. sonofobia

    Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Kaskazini: Nitawashughulikia wote wasiomkubali Lissu

    Mwenyekiti CHADEMA Kanda Kaskazini Wakili Welwel wakati akifungua kikao kazi kilichohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa Kamanda John Heche kilichofanyika Siku ya jana Equator Hotel Arusha amesema kuna wanachadema bado wanaugulia maumivu kama vile wamefiwa. Anahoji ni maumivu gani ya...
  4. upupu255

    Pre GE2025 Katibu CHADEMA, Njombe: Hakuna Uchaguzi kama hakuna mabadiliko

    Katibu wa chama cha Chadema mkoa wa Njombe Baraka kivambe, amesema hawako tayari kushiriki uchaguzi ikiwa hakuna mabadiliko kwa baadhi ya mambo ambayo wamekuwa wakiyalalamikia kwa muda mrefu. Ameeleza hayo katika kipindi cha Vitamin Asubuhi hapa Elolama Fm. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  5. The Watchman

    Pre GE2025 Esther Bulaya: Bado ninaongea lugha ya CHADEMA, ninakipenda hiki chama

    "Mimi bado ninaongea lugha ileile ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na bado ninaongea lugha ya demokrasia, sasa suala la uanachama au kutokuwa mwanachama ni la maamuzi ya vikao, sasa kwenye jambo hilo, tutaenda kuongea kwenye vikao, kwasababu sisi tulikwenda mahakamani na kudai...
  6. Waufukweni

    Pre GE2025 Mch. Msigwa: CHADEMA wamekomaa, wameiga demokrasia kutoka CCM, Wasitake CCM iwe na demokrasia kama yao (CHADEMA)

    Mwanachama wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa akizungumzia mchakato wa kumteua Rais Samia kuwa mgombea wa Urais 2025 uliofanyika Dodoma. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  7. T

    Pre GE2025 Bulaya asema CHADEMA inapopambania reform za uchaguzi siyo kwa ajili ya CHADEMA tu

    "Kwahiyo CHADEMA inapopambania reform za uchaguzi siyo tu kwa CHADEMA kushinda, reform za uchaguzi zitamuingiza yeyote yule aliyechaguliwa kwa kura za wananchi". Esther Bulaya, Mbunge wa viti malum Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  8. M

    Swali kwa mwanasheria wa chadema

    Akina mdee wanasema wao ni wanachadema halali. Toa kauli yako. Maana watanzania wanaona kama wamefukuzwa. Usiwe kama Lissu mwisho unakuja kulaumu wengine wakati jukumu hilo ni lako
  9. M

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Wabunge 19 wakitaka kurudi waje wakieleze chama waliingiaje Bungeni

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ameweka wazi kuwa kama wabunge 19 waliofukuzwa chama wanataka kurejea waje wakieleze chama waliingiaje bungeni. Lissu ametoa kauli hiyo wakati wa mahojiano na kituo cha habari cha Bongo FM siku ya Ijumaa, Januari 24, 2025, ambapo ameonesha mashaka juu...
  10. T

    Pre GE2025 Ester Bulaya: Hakuna chama chenye ukomo kwa nafasi ya Mwenyekiti

    "Hakuna chama ambacho nafasi ya mwenyekiti ina ukomo, tofauti yetu sisi na CCM, wao wamejiwekea kwa sababu Mwenyekiti wao ndiye mgombea. Wao wameunganisha nafasi ya chama kwenye nafasi ya nchi" Esther Bulaya, Mbunge viti maalum Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  11. T

    Pre GE2025 Bulaya: CCM hawajasema kama wananitaka, Sijaona CHADEMA ikinikataa kuwa mwanachama wao

    Ester Bulaya wakati akiulizwa maswali kwenye kipindi cha Power breakfast ameeleza kuwa hajaona mahali ambapo chama chake (CHADEMA) kikimkataa na pia alipoulizwa kuhusu CCM ameeleza kuwa CCM hawajamwambia bado kama wanamtaka na muda pia bado. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
  12. R

    Tundu Lissu na CHADEMA kama chama, sikiliza ushauri huu wa Ansbert Ngurumo

    1. Lisu kusema kwa ukali na makeke hakutaitisha CCM. CCM ni waovu, hawatishwi na maneno! 2. Mama yuko agressive supreme of power! hatishiwi na maneno makali/kelele za juu kama za Heche na Lisu! 3. Watanzania mnaowategemea kushinikiza NO REFORMS, NO ELECTION, ili kuleta REFORMS, hawako kama...
  13. Cute Wife

    Pre GE2025 Ester Bulaya: Mimi sio CCM ni CHADEMA. Utaratibu wa kutupeleka bungeni ulifuatwa hakuna aliyefoji

    Wakuu, Akiwa anahojiwa katika kipindi cha Power Breakfast Clouds Ester Bulaya amesema: "Mimi ni CHADEMA, (kuhusu kufukuzwa) hayo ni mambo ya ndani ya chama na ndio maana sababu sisi tumesema ni wana CHADEMA tukaenda kutetea uana CHADEMA wetu, na ni njia ya kawaida. "…Kwanza hakuna mtu yeyote...
  14. jingalao

    CHADEMA inawaza madaraka tu hawana Sera za kukwamua uchumi wa Tanzania

    Sijaona maono yoyote ya maana kutoka kwa Mwenyekiti mpya wa chadema ambayo yanaweza kubadili nchi zaidi ya kuwazia madaraka ya kiserikali tu. Sijasikia mipango madhubuti kwenye sekta mbalimbali mfano kilimo,teknolojia,ajira,afya,elimu au maswala ya ulinzi na usalama. Ni ujuha kalulu kufikiri...
  15. The Palm Beach

    No Reforms, No Election: Ansbert Ngurumo rasmi kuisaidia CCM. Mtazame na msikilize anavyoishauri CHADEMA

    https://youtu.be/ANA3rytxn0Q?si=6caBpBCIieREJQl7 ➡Ukimtazama na kumsikiliza vizuri Ansbert Ngurumo ktk video hii unaweza kudhani ni mtu neutral, anayejaribu kushauri pande mbili ili kurekebisha mambo yao. Lakini ukweli ni kuwa, anajaribu kutumia ujuzi na usomi wake wa kihabari kupunguza makali...
  16. M

    CHADEMA ya Lissu imefifia kisiasa

    Wakati wa Mbowe vijana wengi walivuma, hoja zao kuipinga CCM katika mitandao ya kijamii ikiwavutia wengi sana hata wanaCCM wenyewe. Wakisimama juu ya majukwaa vijana wengi wakivutiwa. Hivi sasa CHADEMA wanaosikilikana 1. Heche 2. Lissu 3. Lema 4. Amani Kijana pekee anaesikilikana ni...
  17. Rula ya Mafisadi

    Tetesi: Viongozi wa juu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Tundu Lissu kuhudhuria maombi ya kuliombea Taifa yatakayofanyika Leaders Club

    NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025 Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la Tanzania linaenda kurudishwa kwenye ramani yake ambapo Sasa kutakuwa na Uchaguzi Huru na Haki...
  18. M

    Kwanini viongozi wa chadema hawajudhurii mashindano ya Qur'an?

    Kutwa naona makanisani. Sijawahi kuwaona wakishiriki uwanja wa taifa ktk mashindano au sherehe za waislam. Sio lissu, sio Heche tofauti na ccm, act na chauma
  19. The Watchman

    Pre GE2025 Katibu mkuu BAVICHA: CCM inatufanya tuendelee kuwa masikini hali yakuwa wao wana maisha mazuri

    Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana CHADEMA Dua Lyamzito amesema uwepo wa Chama cha Mapinduzi madarakani unaendelea kuwafanya wantanzania kuwa maskini hali yakuwa wao(CCM) wanakua na maisha mazuri. Akizungumza akiwa Kibanga, Muleba mkoani Kagera Dua amesema “kwetu Karambi nikienda miaka mitano...
  20. L

    Baadhi ya wana CHADEMA waanza kumpigia magoti Boniface Jacob na kumuomba Msamaha. Soma barua hii hapa

    Ndugu zangu Watanzania, Siweki neno wala kuongeza neno bali nawawekea barua ya Mwana CHADEMA kama ilivyo.👎 BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA EX MAYOR WA UBUNGO NA MWENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA PWANI . Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya...
Back
Top Bottom