Mtu mzuri anafuga kuku,mbwa na paka na daima akiangalia kikosi cha mifugo yake anaionea huruma anaipa chakula.
Mtu mbaya utamjuaje? anakula samaki ila ana uchu hatari yaani hata nyau apite pembeni hampi hata mfupa.Na hata kama akifuga hawezi kuwahudimia mifugo hawezi KUWAPA chakula asubuhi...
Serikali ijikite kuangalia na kuchukua hatua kwa kituo cha mkata kwenye suala la Afya .Juzi wakati nasafiri kutokea Tanga tulisimama hapo kupata Chakula nilichukua takeaway wakati nipo kwenye gari nimeanza kula nikahisi nimekula Chakula kilicholala na kimechacha ilibidi nikitupe kwenye...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rossmery Senyamule amewataka wananchi wa Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanatunza chakula na wasitumie nafaka kwa ajili ya kutengenezea pombe kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini.
RC Senyamule ametoa maagizo hayo hapa Jijini Dodoma wakati akihitimisha kikao cha...
Wazazi ambao hawapeleki chakula Cha mchana katika shule za msingi kuchukuliwa hatua kwa mjibu wa Sheria na kushitakiwa kwa kutowajibika vema kwa Watoto wao.
Hayo yamejiri katika kikao cha dharula cha Wataalamu wa lishe wa mitaa sita ya kata ya Boma katika Halmashauri ya Mji Mafinga Wilaya ya...
Habarini,
Yaani unampigia mtu simu kuongea labda maswala ya kazi amapokea simu huku akiwa anakula na kuendelea kuongea huku likitafuna chakula ni tabia ambayo inakera na siyo ustarabu.
Kwani ukipokea simu ukatuma sms ukaomba akupigie simu badae kwakuwa unakula kuna shida gani???
Ebu...
Habari za jumapili kwa mapenzi makubwa kwa taifa langu naomba taarifa hii imfikie mwenye uwezo wa kuzuia chakula kuuzwa Nnje ya nchi
Kutokana na majirani zetu ususani Kenya na Congo kwa kipindi hiki wanauitaji mkubwa wa chakula kupelekea kununua kwa wingi mazao yalipatikana katika msimu...
Mrisho Gambo sasa anatakiwa kula chakula alichowalisha wenzake kwa muda mrefu sana, chakula chenye sumu ya fitna. Katika foleni, hakuna aliyebaki isipokuwa ni yeye, na mgawa chakula anamuangalia usoni kwa macho pima akiwa na upawa uliojaa chakula, gambo akiwa na sahani yake mbele ya mgawa...
Karibuni wakuu,
Watu wamefanyiwa ndumba sana hadi kufanya mambo yao yaharibike, wengine walishtuka ila wengine ndio hivyo mazima walipotea katika giza waliloletewa
Kuna kiungo Cha kupikia ni kama chumvi au ndimu, hiki kiungo ni kemikali hutumika majumbani na kwenye mapishi ya biashara kwenye bar na migahawa.
Kinajulikana kwa jina la Ajinamoto, ndugu wanajukwaa hasa wadau wa lishe, afya na chakula karibu kwa ufafanuzi kama hiki kitu kinaathari kwenye...
Shibe na njaa vyote si shuruti huanza na kiu yako au njaa yako, mahaba kwa mpishi na mahaba kwa aina ya chakula.
Kama njaa Ina chakula basi nayo mapenzi ya njaa yake na kiu yake.
Sirudii mwenye akili aelewe mapenzi sio Gereza shiriki penzi kwa njaa na kiu yako sidhani kama mapenzi ni ujenzi...
Mara kadhaa Serikali imesisitiza kuwa suala la malipo ya michango ya ziada ni suala la makubaliano kati ya Shule na Wazazi au Walezi wa Watoto, hilo linaangukia pia kwenye suala la chakula kwa Wanafunzi, ambapo utaratibu ulivyo umekuwa kero kwa wengi wetu.
Utaratibu ulivyo kwa sasa kila shule...
BAADHI ya wazazi katika Kata ya Kivule, Ilala - Dar es Salaam wametupia lawama Shule ya Msingi Anex, Serengeti na Kivule kwa madai ya kuwatenga, kuwanyanyapaa wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kuchangia shilingi 1,500 ya gharama ya chakula na masomo ya ziada katika shule hizo.
Wakizungumza...
Huwa naandika kila cent nitakayoitumia. Mpaka sasa tangu tar 1, nimetumia Tsh 1,191,200. Kwenye personal issue. Sadaka inahusisha ndugu jamaa na marafiki.
Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako.
Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa...
Habari wana jamii
Kwa jina naitwa Juma Issa Mikidadi, ni kijana mwenye shahuku ya maendeleo . Nimepata wazo la kufanya biashara ya mazao ya chakula yaan mchele, maharage , mahindi na unga. Eneo ni Mtwara ...
SEKONDARI MPYA KIJIJINI MUHOJI: WAZAZI WAAMUA KUTOA CHAKULA CHA MCHANA KWA WATOTO WAO
Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21, lina Sekondari za Kata 26 na 2 za Binafsi. Sekondari mpya 6 zimepagwa kufunguliwa mwaka huu. Matayarisho ya kuanza ujenzi wa sekondari nyingine sita (6) yamekamilika...
Nimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala,
Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7
Wapo wanatuomba zawadi na kushindanisha Yanga na Simba, kututaja majina na mambo mengine ya kijinga
Wametupa bia Nazo...
Kuna wajasiriamali Wengi Sana siku online wanatangaza kupika vyakula mbali mbali na kutangaza unaweza agiza chakula online ...kinakufikia...
Nna watu wengi waliowahi agiza vyakula kutoka restaurants mbalimbali wanakutana na changamoto nyingi Sana...
Kwanza ..kinachotangazwa na kinachofika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.