chakula

  1. Nyendo

    Umewahi kuunguza chakula ukipendacho kikashindwa kulika?

    Natumai hamjambo wapishi, Bahati mbaya kwenye mapishi ipo unajikuta umeunguza msosi, mimi ilishawahi nitokea kuunguza nyama mpaka tukaimwaga maana ilikua chungu. Nikachezea fimbo za kitosha kutoka kwa mama maana nilikua nyumbani bado na nikalishwa ugali mkavu. Nikajifunza kutenga muda kwa...
  2. Miss Zomboko

    Wimbi la makundi ya nzige, hali mbaya ya hewa na kiwango cha chini cha mvua vinamaanisha kuwa mamilioni ya watu nchini Somalia hawatakuwa na chakula

    Shirika la kimataifa la misaada ya kibinaadamu limesema katika msimu huu mamilioni ya watu nchini Somalia hawatakuwa na chakula cha kutosha kufuatiwa na wimbi kubwa la nzige, hali mbaya ya hewa na kiwango cha chini cha mvua. Shirika la Save the Children limesema, mimea na mazao ya mboga mboga...
  3. 2019

    Kipi bora, kufurahia chakula haramu au kuendelea kuvumilia njaa?

    Natuamai mko powa. Toka Rais Samia aapishwe kuna watu wanahisi ni tumaini jipya Tanzania, hotuba hata 5 bado lakini watu wanahisi shida zao zimeisha. Ni kweli watu wapepata tumaini jipya? Magufuli alianzaje? Tumbua tumbua yake, fukuza fukuza yake, wafanyakazi hewa, vyeti feki, matamko matamu...
  4. Red Giant

    Mamlaka iwaruhusu watu waende kwenye mashamba na vijiji vya karibu wakajitafutie chakula, hapa tulipo ni nyika tupu

    Kutokana na ugumu wa ajira kwenye nchi hii naomba Mh Rais urahisishe mchakato wa watu kwenda nje ya nchi kutafuta ajira na kazi. Kikwazo kikubwa cha watu kwenda nje ya nchi ni passport na masharti yake. Hili limepelekea watanzania walio nje ya nchi wawe wachache sana. Nchi kama US kuna...
  5. D

    Kundi la damu linaweza kubagua chakula? Mwanangu akila samaki anapata vipele na kujikuna. Nifanyeje?

    Mwanangu ana umri wa miaka miwili kasoro! Ana uchu wa samaki kinoma! Lakini bahati mbaya kila akila samaki anajikuna na kutokwa vipere mwili mzima mithili ya kupitiwa na mdudu washawasha! Je, nitumie mbinu au dawa gani ili mwanangu aendelee kula samaki bila shida hii ya kujikuna (allergy...
Back
Top Bottom