chakula

  1. K

    Ni mahubusu wote wanaruhusiwa kula chakula kutoka makwao au ni Sabaya peke yake?

    Ndugu wa Sabaya pamoja na marafiki zake na watu wa chama wanajiwekea utaratibu wa kumhudumia mtuhumiwa aliyeko mahabusu kinyume kabisa na taratibu na tunaamini Kuna usawa? Aliyeruhusu mpishano wa misosi kutoka mtaani kwenda Kisongo ni nani? Aliyeruhusu Sabaya asifungwe pingu toka gerezani hadi...
  2. Tom lee Ab

    Natafuta kiwanda cha chakula cha kuku Dar es Salaam

    Natafuta kiwanda cha chakula cha kuku DSM, pia nawezaje kuuza damu ya ngo'mbe iliyokaushwa?
  3. Chimulenge

    Nahitaji wadada wawili wa kuhudumia (ku-serve) chakula Bar

    Nahitataji wadada wawili wachapa kazi wa kuserve chakula kwenye bar. Awe mwenye muonekano maridadi. Awe mzoefu na kazi. Awe mchapa kazi. Kazi ipo Dodoma, wakazi wa Dodoma watapewa kipaumbele Mshahara maelewano kwa aliye tayari tuwasiliane 0622723082 Kazi inaanza kesho
  4. Analogia Malenga

    Watu 420,000 hufariki kila mwaka kwa kula chakula kisicho salama

    SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema watu wa wanaokadiriwa milioni 600 huugua kutokana na kula chakula kisichosalama na kati yao takribani watu 420,000 hupoteza maisha kila mwaka Takwimu zinaonyesh kuwa wahanga wengi wa chakula kisichosalama ni watoto walio chini ya umri wa miaka mitano...
  5. Nyendo

    Chakula gani hujala muda mrefu?

    Habari wadau, Chakula gani hujala kwa muda mrefu na umekikumbuka sana. Mimi nimekumbuka makande nayapenda sana ila muda wa kuyapika ndio unakiwa changamoto. Ila wiki hii nitajitahidi nipike makande ya karanga. Wewe umekumbuka chakula gani?
  6. Nyendeke

    Design ya Sebule kuwa Chini halafu Vyumbani na Sehemu ya Chakula kuwa Juu

    Ndugu wanamajilisi, hiyo "design" tajwa hapo Juu ndio Ujenzi wa Kisasa? Au ni kipi hasa kinapelekea Mafundi wengi kushauri Ujenzi wa namna hiyo?
  7. donlucchese

    Karibuni chakula

  8. Stephen Ngalya Chelu

    Ni chakula, tunda au kinywaji gani unaona kipo overrated/underrated?

    Kwa upande wangu, Underrated Makande: Nimekuwa nikiona watu wakiyadharau sana makande eti kwamba ni chakula cha ajabu ila kwa mimi naona makande hayapewi heshima inayostahili. Jamii zote za makande kama; makande njugu, makande maharage zina mabalaa yake. Halafu itokee siku hiyo likachanganuwa...
  9. Mancobra

    Underground Hip-Hop Tanzania ni chakula cha Ubongo

    Habari za wakati huu wakuu, mimi Ni mdau mkubwa wa game ya Hip Hop ya hapa Bong (mainstream na underground hip hop). Leo nataka tujadili kuhusu hip hop ya bongo especially, underground hip hop. Underground hip-hop Ni aina ya rap inayofanywa na wasanii ambao wamejikita kuelezea matatizo...
  10. Sky Eclat

    Mama lishe, kuna soko kubwa la biashara mkiweza kusambaza chakula

    Biashara ya chakula inauzika na ina uhakika kwasababu kila siku watu wanahitaji kula. Wateja wengi wanavutiwa na ladha ya chakula pamoja na mandhari ya eneo. Katika maisha ya kila siku huku mtaani, wapo ambao hawana muda wa kupika nyumbani, wanatumia muda mrefu katika shughuli zao za kila...
  11. Jidu La Mabambasi

    Royal Oven Mlalakuwa wanauza chakula lala

    Hii imenitokea leo, na adha niliyoipata Mungu tu anajua. Ni maumivu ya tumbo la kuhara lililodumu kwa muda mrefu, na nashukuru kupata huduma ya choo mahali naikawa mkombozi ili nisiadhirike. Nikiwa na njaa mchana wa leo na nikaamua kupata bites pale Royal Oven Mlalakuwa. Nikanunua...
  12. beth

    WHO yaelezea wasiwasi wa kuibuka magonjwa Tigray kutokana na kutokuwepo Huduma za Afya

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 5 Tigray Nchini Ethiopia wanahitaji msaada hususan wa Chakula na wengi wanapoteza maisha kutokana na njaa. Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema pamoja na ukosefu wa chakula, huduma za Afya zimeharibiwa na...
  13. M

    Changamoto ya chakula maeneo ya kazi

    Ndugu zangu Wana jamii, Leo naomba maoni yenu juu ya changamoto mnazo pitia katika huduma ya Chakula hasa mnpo kua katika maeneo yenu ya kazi. Ni wapi, unatamani ungepata huduma ya chakula kitamu na chenye ladha nzuri ,nipate kukuhudumia? Je, kuhusu bei ya chakula ungependekeza iwe katika bei...
  14. Nyendo

    Unapika chakula gani leo? Tupia picha ya chakula kikiwa tayari

    Hello wapishi. Leo ni siku ya sikukuu wa wenye imani ya dini ya Kiislamu, ila kwa kiwa sisi ni wamoja huwa tunasherehekea pamoja. Sasa leo unapika nini siku hii? Tushirikishe kisha tupia picha ya msosi wa Idd hapa baadae. Mimi nitapika pilau. Idd Mubarack.
  15. T

    Elimu bila chakula haiwezekani

    Habari ndugu wanajamii forum, Imekuwa ni kawaida kwa wanafunzi wa maskini wenzangu kukaa shuleni masaa kumi na mbili bila kula, yaani akienda shuleni saa kumi na mbili hapati chakula chochote mpaka saa moja usiku arudipo nyumbani. Katika pitapita katika mikoa mbalimbali nikagundua kuwa wote...
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Kilimanjaro: Waendesha bodaboda wamwaga chakula msibani, wadai marehemu alikuwa ananyimwa msosi

    Waendesha bodaboda wa kituo cha Kisangiro kata ya Kilema Kaskazini wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro wamevamia msiba wa Lenard Abel (20) na kumwaga chakula na pombe kwa madai kuwa marehemu alikuwa hapewi chakula alipokuwa hai. Walifika katika msiba huo saa 9 alasiri jana Jumatatu Mei 3, 2021...
  17. Erythrocyte

    Somo : Ukipika Chakula Mchana wa Ramadhan unaruhusiwa kuonja lakini usikimeze , baada ya kuonja tema na funga yako itakuwa halali

    Asalam Aleykhum , huu hapa ujumbe kamili .
  18. Msitari wa pambizo

    Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

    Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi. Back to the topic. Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa hataki. Lakini kidogo kidogo nikaanza kuruka kihunzi kimoja baada ya kingine. Vihunzi vilikuwa vingi sana...
  19. Queen official

    Biashara ya viungo vya chakula

    Habari, Ninabiashara ya viungo vya chakula (spices) Iric, mdalasini, pilipili manga, karafuu , nauza kwa kilo nawezaje kupata soko lakuuza bidhaa hizi? Zaidi soma: Wateja wapo wengi, Ongeza thamani ya kitu unachotaka kukiuza kabla hujakitangaza kukiuza
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    Hiki chakula kwa lugha ya kwenu wanaitaje?

Back
Top Bottom