Ndugu zangu naomba msaada
Mimi nina tatizo ambalo Lina ni sumbuwa Saana siku izi sijui Nini chanzo hasa
Yaani nafanya ni kila tumbo ina jaa saana chakula mpaka inafika kipindi naona kama vile cha kula kinapanda mpaka kwenye kifuwa ndo Sakia kama vile tumbo imebanana Na kifuwa ivi.
Yaani Na...
Nilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.
Halafu ananiambia anataka tufunge ndoa. Kweli?
Nimfanye nini huyu mwanamke?
Wakuu nauliza mashine za bei rahisi hasa hizi local za kusaga, kuchanganya na kutengeneza pellets za mifugo kwa hapa Tanzania zinapatikana wapi na kwa bei gani? Nataka hizi ndogo kabisa zinazotumia umeme wa single phase.
Sitaki majibu ya agiza China, ninajua China ipo na local zipo nataka hizi...
Mzuka wanajamvi!
Serikali au wadau mbalimbali wakitoa data kuhusu upungufu ama chakula kuwepo wanatumia mahindi. Baa la njaa ikiikumba nchi mahindi yanatumiwa kama kipimo cha chakula pekee kuonesha kama kuna njaa au la. Tuna ona serikali kupitia wizara ya kilimo inanunua mahindi tu meengii...
Siku ya Chakula Duniani huadhimishwa kila Oktoba 16 ikiwa na dhumuni la kutoa uelewa na kujadili hatua zinazoweza kuchukuliwa kukabiliana na suala la Njaa na milo bora kwa wote
Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO) linasema athari za kiuchumi kutokana na COVID19 zinaweza kuongeza Watu...
Wanabodi
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Chakula Duniani, huu ni uzi wa swali na wito, jee sisi Tanzania, tumeipa siku hii umuhimu stahiki?. Japo siku yenyewe kimataifa ni leo, ila kilele, kwa Tanzania, kimepangwa kesho, kutokana na ratiba kugongana na tukio jingine muhimu zaidi ya Siku ya Chakula...
Wanabodi,
Japo JF ni an open public forum kwa wote, mtu ukiwa na ujumbe wako fulani ambao ni muhimu, unataka kumfikishia mlengwa au walengwa fulani, ukiutuma ujumbe huo kupitia jf, unamfikia mlengwa kwa haraka zaidi na kwa urahisi zaidi, hivyo hili ni bandiko, kwa ajili ya kufikisha ujumbe...
:):):):):):):)
Funny Facts!
Ukiingia kwenye soko la hisa la dar es salaam, idadi ndogo ya hisa za kununua ni hisa 10,
thamani ya hisa moja kwa makampuni kwa report ya jana ni kama ifuatavyo
Sasa Njia za kupata msosi ziko hivi, kwa sheria ya soko la hisa la Dar es salaam, kila mwaka kila...
Polisi, Uhamiaji, Magereza na Zimamoto. Wote ni wizara moja. Sayansi mliyotumia inashangaza.
Hivi mnajua kwamba tunao-graduates wanauza chai kwenye vihoteli vidogo?
Mnajua kwamba kuna graduates wanaendesha bodaboda? Mnajua kuwa form six leavers wanauza matunda stendi na wengine ni vibarua wa...
Kwa muda sasa nilikuwa na simama kupata msosi katika kituo hiki cha Petroli, na kupumzika kwa ingalau nusu saa kabla ya kuendelea na safari yangu ambayo huwa marathon, Dar-Mbeya.
Kituo kina mandhri nzuri ingawaje sasa kimeanza kuchakaa kutokana na kukosa matunzo.
Mbaya zaidi ni huduma ya...
Ugali wa udaga ni moja kati ya vyakula vinavyopewa heshima ya namna yake kwenye jamii ya Wasukuma nchini Tanzania ukitaka kuamini hayo muulize hata SHIMBA YA BUYENZE au ngosha wa mwanza
Udaga ni mchanganyiko wa unga wa mahindi na muhogo ambao huwa na ladha ya aina yake ukiliwa na mboga za asili...
Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili zake katika kutafuta pesa.
Na katika uchunguzi nimegundua yule mama atakuwa amemzidi kijana wa watu...
Wakuu Kama kichwa cha habari kilivyo eleza hapo juu.....
Mke wangu kwao nimitaa kama 20 toka tunapoishi sasa hivi karibuni kwao wamepata matatizo flani hivyo huwenda kuwaona nakushinda kwao hadi jioni saa kumina moja sasa anavorudi huja nachakula walichopika kwao yaani hapiki tena huja nacho...
Nikienda migahawani huwa naona wanaohudhuria kula kila siku migahawani ni wababa na vijana tena wenye ndoa zao, ni mara chache sana kukuta mdada anakula kila siku migahawani.
Mimi ni bachela, sasa sijajua faida ya ndoa ni nini, kama wanaume waliooa nao wanakula migahawani kila mara kama mimi...
Mkuu wa Shirika la Chakula Duniani, WFP, ametahadharisha kwamba watu milioni 16 nchini Yemen wanaelekea kukabiliwa na ukosefu wa chakula.
Mkuu huyo David Beasley ameongeza kuwa, mgao wa chakula kwa mamilioni ya watu katika nchi hiyo inayokabiliwa na vita utasitishwa mwezi ujao wa Oktoba...
Shirika la Kuhudumia Watoto (UNICEF) imesema theluthi moja ya Watoto chini ya miaka 2 katika Nchi zinazoendelea hupata Chakula wanachohitaji kwa ukuaji bora
Ripoti ya UNICEF imesema majanga mbalimbali ikiwemo ghasia, mlipuko wa COVID-19 na mabadiliko ya Tabia Nchi yamekwamisha Maendeleo ya...
Nimekua nikijiuliza sana,hivi walifikiria nini kwamba, anayeuza dawa hata panadol tu lazma awe na kibali maalum na mlolongo kibao wa masharti, lakini anayeuza sumu za panya anaachwa huru kabisa tena katikati ya umma na vispika vya matangazo......"Panyaaa huyoooo tunauza sumu ya panya viroboto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.