chakula

  1. beth

    Putin: Vikwazo vya Magharibi vimepelekea janga la chakula duniani

    Rais Vladimir Putin amesema Urusi inalazimika kuangalia kwa karibu mauzo yake ya chakula kwa nchi zisizo rafiki kwani vikwazo vya Magharibi vimechochea janga la chakula duniani na kuongezeka kwa bei za Nishati. Vikwazo vya Nchi za Magharibi kutokana na uvamizi wa Putin mnamo Februari 24, 2022...
  2. DR.MBWEMBWE

    Msaada: Gharama za kuingia Ngorongoro National Park (kiingilio, malazi, Chakula)

    Habari wanaJF, mimi ni Mtanzania nataka kufahamu gharama za kutalii Ngorongoro national park (kiingilio, Malazi na Chakula) maana natamani kwenda ila nahofia nisije kuumbuka kwenye bajeti.
  3. YEHODAYA

    Poland: Jiji la Lublin lenye wakazi 350,000 lasifiwa kwa kuwahifadhi na kuwatunza kwa kila kitu vizuri wakimbizi 40,000 toka Ukraine

    Kwa mujibu wa BBC Jiji la Lublin ,Poland lenye wakazi 350,000 lasifiwa kwa kuwahifadhi na kuwatunza kwa kila kitu vizuri wakimbizi 40,000 toka Ukraine Wamewapa wakimbizi makazi mazito,chakula mavazi na wameamua kuwa wabaki tu kwenye jiji lao wataishi vizuri tu Dar es salaam tuko zaidi ya...
  4. Cannabis

    DW: Tishio la baa la njaa Nchini Kenya, Twiga wafa kwa kukosa chakula, zaidi ya robo tatu ya mifugo imekufa kwa kukosa chakula

    Shirika la Habari la Deutsche Welle (DW) Limetoa taarifa ya ukame na tishio la njaa linaloikumba nchi ya Kenya. Katika taarifa hiyo, imeonyesha idadi kubwa ya Twiga waliokufa kwa sababu ya ukame uliosababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Taarifa hiyo imesema pia mifugo mingi haina chakula na...
  5. yuda75

    Msaada wa chakula bora pamoja na chanjo kwa nguruwe ili wakue upesi

    Habarini wadau na wapambanaji wenzangu. Mi nimeanza mradi wa kufuga nguruwe na nimeanza na watoto. Wanguruwe 10. Majike nane na madume 2 ambapo madume hayo nataka. Niyahasi yakue fasta yaje kunipa backup hayo majike yakiza pamoja na pesa ya ukuzaji wa mabanda. Je, niwape chakula gani ili...
  6. CPA

    Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha baada yakuishiwa chakula na silaha

    Commanding post ya Jeshi la ukraine mjini kyieve yenye wanajeshi wengi maafisa yajisalimisha kwa majeshi ya urusi. Wanajeshi hao 61, wamepatiwa huduma muhimu, kama chakula na matibabu toka kwa jeshi la urussi. Inasemekana wamejisalimisha baada ya kuishiwa chakula, risasi na siraha, hii ni moja...
  7. Lady Whistledown

    Kukosekana Utulivu wa Kisiasa na kupaa kwa bei za vyakula duniani

    Bei za bidhaa za kilimo zimekuwa zikifuata mwelekeo wa kupanda kwa sababu ya mwitikio wa serikali duniani dhini ya Covid-19. Bei hizo zilipanda kutokana na vikwazo vya kuuza chakula nje kwa baadhi ya nchi. Lakini mzozo wa sasa kati ya Urusi na Ukraine umepeleka bei kwenye viwango vipya na vya...
  8. Analogia Malenga

    Vita vya Ukraine: $ 1bn zatolewa kuzuia uhaba wa chakula barani Afrika

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inapanga kuchangisha $1bn (£759m) katika muda wa wiki moja kusaidia uzalishaji wa kilimo barani Afrika na kulinda bara la Afrika kutokana na uhaba wa chakula unaotokana na uvamizi unaoendelea wa Urusi nchini Ukraine. Nchi nyingi za Kiafrika zinategemea...
  9. ACT Wazalendo

    Mtutura: Bei ya Mbolea ni Hatari kwa Kilimo na Uhakika wa Chakula; Serikali Isipuuze

    Msimu wa kilimo wa mwaka 2021/2022 tumeshuhudia kupaa kwa bei za mbolea hali hii ilianza mnamo mwezi Juni na Julai mwaka jana ambapo bei zilianza kupanda kwa wastani wa asilimi 20 hadi asilimia 38 na kuadimika katika mzunguko sokoni, ilipofika Disemba hali ilikuwa mbaya zaidi licha ya kuwa...
  10. Miss Zomboko

    Watu 160,000 hatarini kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula Yemen

    Mashirika ya misaada kadhaa ya Umoja wa Mataifa yamesema watu wapatao 160,000 wamo hatarini kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula nchini Yemen. Ripoti ya mashirika hayo juu ya hali hiyo ya kutisha imetolewa kabla ya mkutano wa wafadhili utakaofanyika hapo kesho. Umoja wa Mataifa umetayarisha...
  11. B

    Jamani anzeni kuhifadhi chakula ndani WW3 is coming

    Mambo ya Assassination of Archduke Ferdinand yanaenda kujirudia Tena ..Just mark my words. Nunueni chakula Kwa wingi wekeni ndani. Mtakuja kunikumbuka
  12. Equation x

    Maarifa ni chakula cha akili

    Tafuta kitabu chochote unachokipenda chenye kurasa zisizopungua 20,000; na jiwekee utaratibu au malengo kwa kila siku saa kumi na mbili jioni, lazima usome ukurasa mmoja tu, na usizidishe. Ukifanikiwa kukimaliza kitabu hicho chote kukisoma, kwa muda uliojiwekea bila kukwepesha kwepesha; sema...
  13. babayao255

    Food Aid: Wakati Tanzania ina cha kutosha, Kenya imepokea chakula cha msaada kutoka China

    Ni aibu sana nchi kutembeza bakuli karne hii ya 21 kuomba chakula cha msaada. Tanzania tujivunie uchapakazi wetu kwenye kilimo. ======= Kenya Holds Takeover Ceremony of Chinese Food Aid Program Kenya on Monday held takeover ceremony of the eighth and last batch of 2018 Chinese Food Aid...
  14. M

    Jamani kosa langu lipi hapa

    Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi, Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban. Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia, Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan...
  15. beth

    Ethiopia: Takriban 40% ya Wakazi wa Tigray wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya ya Njaa Kaskazini mwa Nchi hiyo ikielezwa zaidi ya 80% ya Familia hazina uhakika wa chakula, hali inayopelekea Watoto chini ya miaka mitano kuwa na Utapiamlo. Mashirika ya Misaada yamekuwa yakipata changamoto kufikisha mahitaji Mkoa wa Tigray ambapo...
  16. M

    Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  17. Kasomi

    Mbute: chakula kinachotokana na mihogo

    Mbute ni chakula kinachotokana na zao la muhogo ambao humenywa na kuvundikwa kwa maji halafu huchemshwa. Chakula hicho huwa kitamu kupita muhogo uliopikwa. Maandalizi ya mbute Mbute hutokana na zao la muhogo ambapo humenywa na kuanikwa kwa muda halafu huvunda kwa muda. Baadaye huchukuliwa na...
  18. lwambof07

    Ummy Dolly, mlimbwende ambaye chakula chake ni mende

    Baadhi ya wadudu hutajwa kuwa chakula bora chenye protini na kilicho chenye ladha nzuri katika jamii mbalimbali. Takriban spishi 20,000 za wadudu huliwa na mataifa kama ya Asia, Amerika Kusini na hata sehemu zingine za Afrika. Nchini Tanzania, kuna jamii ambazo kula wadudu kama senene, panzi...
  19. Kamanda Asiyechoka

    Ukarimu wa Wana - CHADEMA: Wakati wa break mahakamani kwenye kesi ya Mbowe tunagawa chakula

    Ukarimu wa wana Chadema katika kesi ya kuchonga ya Mhe Mbowe. Wakati wa break hapa mahakamani tunagawana chochote kujikimu; maji, chai, donati muhogo nk. Kesi itaendelea na leo ni yule shahidi aliyedai kuumwa kichwa ghafla. Mchana huu Kibatala atamsababishia maumivu ya tumbo...
  20. KENZY

    Kwanini wengine wawe na vitambi au wanene nawakati tunakulanao aina moja ya chakula?

    Hii hoja naileta kwenu kwa wataalum wa afya ili mpate kutuletea majibu stahiki,kwani asilimia kubwa ya watu tunaokaanao tunafanana lifestyle ya chakula, lakini utakuta mtu anahangaika na kupunguza unene ama kitambi na wakati huohuo kuna mtu anakaanae na kwa asilimia kubwa wanashare kinachutua...
Back
Top Bottom