Kwa mtazamo wangu nilipenda Sana dunia ipate machungu Kama wananchi wa Ukraine wanavyopata machungu ,Jambo moja ambalo dunia haitambui tatizo lingekwisha kitambo Sana endapo Ukraine ingeamua kujikalia kimya kwenye majumba yao na siyo kutunisha misuli na misuli hawana wanategemea support ya watu...
Rais Putin jana alisema Urusi inapanga kuuza nje chakula na mbolea ili kutoa mchango katika kukabiliana na msukosuko wa chakula duniani, lakini sharti lake ni kuwa nchi za magharibi zitaondoa vikwazo vilivyowekwa kutokana na madhumuni ya kisiasa.
Habari kutoka tovuti ya Ikulu ya Urusi imesema...
Inakadiriwa Watu Milioni 600 (Takriban Mtu 1 kati ya 10) huumwa baada ya kula Chakula kisicho salama, ikielezwa 420,000 hupoteza maisha kila Mwaka
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Watoto chini ya Miaka 5 huathirika na madhara ya Chakula kisicho salama kwa 40% ikikadiriwa kwa mwaka...
Urusi imesema kuanzia sasa meli zitakazopenda kwenda na kuondoka bandari za bahari nyeusi zilizokuwa za Ukraine ni ruhusa kufanya hivyo na zitapatiwa kila aina ya ulinzi ili zibaki salama.
Hayo yamesemwa na wizara ya ulinzi ya Urusi wakati ikiwa imefanikiwa kuzishika bandari hizo muhimu kwa...
MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KULA CHAKULA MKIWA KWENYE JUMUIYA!
Anaandika Robert Heriel.
Kula chakula napo kunauungwana wake, ambao hauna budi kufuatwa, hasa ukiwa unakula watu zaidi ya mmoja, iwe ni kwenye familia, Ugenini,kwenye matukio Kama HARUSINI, misibani n.k. Kula kitasha inaweza...
Wataalamu nchini Sudan wameonya kuwa mwaka huu nchi hiyo inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula au hata kuwa mgogoro wa chakula, na idadi ya watu wanaoathiriwa na njaa inaweza kuongezeka na kufikia milioni 18 ambayo ni asilimia 45 ya jumla ya watu wa nchi hiyo.
Mchumi wa Sudan Bw...
Kwa Shuhuri yoyote iwe Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation na Chochote kile kitakachoitaji uwepo wa chakula kupikwa na mpishi.
Mpishi lazima azingatie Usafi, Ubora na Ladha Nzuri Ya Chakula kwa Mteja wake Na Kubwa Zaidi Kwenda Na muda kweny Kupika Chakula, Hivyo chakula inabidi...
Tuheshimu privacy za watu chabo sio jambo zuri hata kidogo yanayofanyika ndani ya kuta nne yabaki kuwa confidential unless kama yaliyofanyika yana maslahi mapana kwa jamii.
Kwa maslahi mapana ya wanaume wanaoandaliwa chakula na wake zao mimi BabaMorgan nimepata ujasiri wa kusema niliyoyaona...
Umoja wa Mataifa umesema Vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine imezidisha uhaba wa Chakula katika Mataifa masikini kutokana na kupanda kwa bei. Imeelezwa kuwa, baadhi ya Nchi zinaweza kukabiliwa na njaa ya muda mrefu ikiwa mauzo ya nje ya Ukraine hayatarejeshwa katika viwango vya awali...
Katika muendelezo wa kupeana tips za hapa na pale kwa lengo la kuishi comfortable na kuhakikisha heshima ya mwanaume inabaki palepale licha ya mapinduzi makubwa ya teknolojia katika karne ya 21 ni vyema kuzingatia vitu ambavyo ni minor kwenye maisha lakini vina negative impact.
Back in days...
Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana
Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad
Wanawake badilikeni mmezidi ndo maana hampendi wageni tatizo Ni uroho unawasumbua .
Maaajabu wanaume Ni mara chache Sana...
Habari!
Linatafutwa eneo katika mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuweka biashara ya Restaurant. Eneo liwe na population nzuri,watu wa kipato cha kati na juu na linalofikika kwa urahisi.
Sehemu yeyote katika mkoa wa Dar es salaam itafaa ili mradi kuwe na potential ya biashara hiyo.
Kama...
Tanzania 🇹🇿 kama taifa tumekuwa tukijivunia kupanda kwa akiba yetu ya fedha za kigeni na pia tumekuwa tukijivunia kiasi kikubwa cha chakula tulicho nacho kwenye maghala ya kuhifadhi nafaka.
Sijawahi kusikia tukisifia kiasi cha akiba cha mafuta ya nishati ambacho serikali inacho. Tunajua kwamba...
Utamaduni wa uvivu ndiyo umesababisha tatizo kubwa la bei ya Chakula. Hakuna sababu ya Tanzania kuagiza mbolea, ngano, mafuta ya kupikia na sukari.
Uvivu huu sio kwa Tanzania nzima lakini mikoa ya pwani, kati na mashariki inaongoza kwa uvivu. Vijana wanataka kukaa mijini tu bila shughuli wakati...
Huwa napenda sana Watu ( Binadamu ) wenye Maamuzi magumu na ya papo kwa hapo kama huyu Baba na ningemjua ningempa Zawadi ya Mbuzi au Ng'ombe kama ambavyo hata Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston GENTAMYCINE Mayele amekuwa akizawadiwa kwa Kutekeleza vyema Majukumu yake.
Yaani Mimi ndiyo Baba...
Mataifa yote duniani yaliombwa yakemee mauaji ya kimbari aliyoyafanya Urusi kule Ukraine, ila kuna baadhi ya mataifa ya Kiafrika yaliingiza mikia kwenye miguu na kusema hayafungamani na upande wowote, baadaye taarifa zimetoka kumbe haya mataifa maskini yanategemea Urusi kwa ngano hivyo kwa...
Kuna Kwaresima na Ramadhan miezi ambayo waumini wa Kikristo na Kiislam wanafunga kama sehemu ya imani zao kwa lengo la kumpendeza Mungu wao ili awasamehe dhambi au awape kibali cha kuingia peponi. Kwenye upande huu wa dini sintakuongelea zaidi kwakuwa imani ya mtu ni package ambayo haiko wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.