chakula

  1. Zainab j

    Hii ndiyo Qatar; Ina mafuta imenyimwa chakula

    Hii ndiyo Qatar; Ina mafuta imenyimwa chakula TUESDAY SEPTEMBER 20 2022 Naam, watu wamezidi kuongezeka nchini Qatar na wingi huo unatokana na michuano mikubwa ya Kombe la Dunia inayokwenda kufanyika nchini humo. By Mustafa Mtupa Doha, Qatar. Naam, watu wamezidi kuongezeka nchini Qatar...
  2. JanguKamaJangu

    Wachezaji Man United waumwa tumbo, yadaiwa wamekula chakula chenye sumu

    Wachezaji 12 na wafanyakazi wa Klabu ya Manchester United, walipata maumivu ya tumbo Ijumaa iliyopita ambayo inadaiwa yalisababishwa na kula chakula chenye sumu wakati wa mchezo wao dhidi ya Sheriff Tiraspol katika UEFA Europa League. United ilisafiri kwenda Nchini Moldovan kucheza mchezo huo...
  3. Roving Journalist

    Tanzania imetia saini fomu ya kujiunga na muungano wa Chakula Shuleni

    Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) amesema utoaji wa chakula na lishe kwa wanafunzi wakiwa shule ni suala muhimu kwa kuwa upo uhusiano mkubwa kati ya afya ya mwanafunzi na maendeleo yake kitaaluma. Mhe. Kipanga amesema hayo jijini Dodoma katika hafla ya...
  4. T

    SoC02 Namna ya kutatua matatizo yanayohusisha upatikanaji wa mazao ya chakula nchini

    SoC 2022 Kilimo kwa ukuaji wa uchumi na ustawi wa jamii. Kwa mda mrefu Sasa watanzania tunaendelea kukumbana na matatizo ya upungufu wa baadhi ya bidhaa Kama vile mafuta ya kupikia, Jambo ambalo hupelekea Bei kuwa kubwa na kuzua taharuki. Aidha baadhi ya jitihada za serikali kupitia wizara ya...
  5. Z

    SoC02 Mwonekano wangu chakula changu

    Kulingana na tafiti za kisayansi zinasema, jinsi wanadamu tunavyoonekana ni kwa sababu ya chakula tunachokula kila siku. Tangu kuwepo kwa dunia mwanadamu amekuwa anategemea chakula ili aweze kuishi. Ulimwengu umeghubikwa na wimbi la shughuli nyingi mchana na usiku ili kutafuta chakula kwa ajili...
  6. Checnoris

    Ili watoto wawe na Afya Njema ni muhimu kuwapa chakula kipi Specific?

    Unakuta watoto hawana afya ya kuridhisha hata ukiwaangalia kwa macho tu. Lakini Kuna Watoto wa familia nyingine ukiwatazama Wana Afya nzuri. Naomba kuuliza ni nini kitamfanya mtoto aonekane kuwa na Afya Njema hata Kwa kumtazama tu?
  7. MK254

    Alshabaab wavamia msafara wa chakula na kuutia kiberiti na kuua watu 20

    Wapiganaji wa dini ya uislamu, alshabaab wamevamia msafara wa chakula cha misaada na kuua watu 20 na kujeruhi wengine. Pia wameongeza mashambulizi kwa wanavijiji. Four trucks carrying food relief and three minibuses were set ablaze. Authorities said al-Shabab has been intensifying attacks in...
  8. Frumence M Kyauke

    Mke anaunguza chakula kila siku

    Mke wangu ananipikia chakula kilichoungua kila siku. Nimejaribu kumfundisha lakini amekuwa mkaidi kufuata maelekezo yangu. Hataki kufundishwa wala kuelekezwa chochote. Kama mnavyofahamu vyakula ni gharama sana. Imekuwa kama nateketeza pesa zangu kwa kumwaga vyakula vilivyoungua kila siku...
  9. S

    Natafuta anayeuza soya ya chakula cha kuku jumla

    Naomba msaada anaejua mtu anayeuza soya ya chakula cha kuku jumla aniambie
  10. N

    SoC02 Kuwashirikisha Vijana katika Kilimo - ni ufunguo wa Baadaye kwenye Usalama wa Chakula?

    Ushirikishwaji wa vijana katika kilimo imekuwa mada kuu hivi karibuni na imeibuka katika ajenda ya maendeleo, kwani kuna wasiwasi unaokua ulimwenguni kwamba vijana wamekata tamaa na kilimo. Huku vijana wengi - karibu 85% - wanaishi katika nchi zinazoendelea, ambapo kilimo kinaweza kutoa chanzo...
  11. J

    SoC02 Jinsi UVIKO-19 ulivyoathiri upatikanaji, utunzaji na uzalishaji wa vyakula

    JINSI HALI YA UVIKO 19 ILIVYO LETA ATHARI KATIKA UPATIKANAJI, UTUNZAJI NA UZALISHAJI WA CHAKULA. UTANGULIZI UVIKO 19 ni ugonjwa ulio anza kusambaa mwishoni mwamwaka 2019, ukianzia huko nchini CHINA katika jimbo la WUHAN. Ugonjwa huu unaushisha dalili mbalimbali ikiwepokupumua kwa shida, mafua...
  12. Nobunaga

    Mume kizimbani kwa kutishia kumuua mke kisa kupeleka chakula kwa mchungaji

    Japo kutishia kuua ni kosa, ila alilofanya huyu dada ni ujinga na upumbavu kwa wakati mmoja. Hatukatai mtu kumtolea Bwana sadaka ila aina hizi za sadaka ni dhambi si sadaka tena. --- Joseph Moses dereva wa ‘bodaboda’ mkazi wa Mbeya anayekabiliwa na shtaka la kutishia kumuua mkewe kwa maneno...
  13. J

    TBS SASA KIDIJITALI: Usajili wa bidhaa za Chakula na Vipodozi pamoja na Majengo ya kuuzia na kuhifadhia bidhaa hizo, usajili ni Kielekroniki

    TBS YAWATAKA WAFANYABIASHARA WA BIDHAA ZA VIPODOZI NA CHAKULA PAMOJA NA MAJENGO YA KUHIFADHIA NA KUUZIA BIDHAA HIZO KUJISAJILI KIELEKTRONIKI Shirika la Viwango Tanzania (TBS) leo Tarehe 22 Agosti, 2022 imewataka wafanyabiashara wa Chakula na Vipodozi pamoja na wamiliki wa Majengo yanayotumia...
  14. MakinikiA

    Rais na Waziri wa Kilimo kuhusu chakula nchini mnapotosha Taifa

    Wandugu, Kuna lugha za kujirudiarudia kutoka kwa hawa viongozi wakisisitiza kwamba mkulima lima jiwekee cha kwako na familia yako chakula kingine nenda kauze nje mipaka ya nchi mipaka imefunguliwa. Najiuliza ina maana wananchi wengine kama Dar es Salaam wanaotegemea vyakula hivyo havitawafikia...
  15. L

    Je, ni nani wa kulaumiwa kwa msukosuko wa chakula barani Afrika?

    Mkuu wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa USAID Bibi Samathan Power alisema kwamba "uvamizi" wa Russia nchini Ukraine umesababisha msukosuko wa chakula katika Pembe ya Afrika, na hatua ya China ya kuhodhi chakula imezidisha msukosuko huo. Kutokana na athari za mabadiliko ya hali...
  16. B

    Formula uchanganyaji wa chakula kuku wa mayai miezi 2 hadi 4

    Habari ndugu zangu, Naomba mwenye ufahamu wa formula ya kuchanganya cha kula cha kuku wa mayai wenye miezi 2 hadi 4. Naomba nitumieni.
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa Tanzania; Kama Mwanamke hajawahi fika Ukanda wa Pwani ni hakika Hajui Kupika chakula kitamu

    Kwema Wakuu! Kuna watu watabisha Kwa ubishi wao tuu lakini kimsingi na kitaalumuna unapozungumzia mapishi Kwa nchi yetu basi hapo utakuwa unazungumzia ukanda wa Pwani. Kama unaishi maisha ya kawaida Kurudi ufukara na hujawahi kuishi Maeneo ya Pwani na hapa nazungumzia DAR es salaam, Pwani...
  18. Surya

    Hichi chakula ni kitamu sana aisee

    Yani kanipikia chakula kitamu hivi kinoma ili kunionyeshea tu, anamakusudi sana huyu dada na anajua kabisa niko single. Yaani na kanipakulia kiasi sawa na njaa yangu kabisa nikamaliza nimeshiba vizuri navyopenda 😏😏
  19. B

    Serikali idhibiti chakula kutoka nje ya nchi

    Waziri wa Kilimo aliangalie sana hili huko mipakani tudhibiti uuazaji wa vyakula kiholela. Juzi nilikuwa Serengeti mahindi debe ni Tzs 20000 from bei ya zamani ilikuwa 12000 kwa hiyo tunakoelekea Wakenya watakuja kutuuzia tena vyakula kama mvua zitachelewa. Sisemi watu wasiuze lakini kwa...
  20. plagiarism

    Andika chakula ukipendacho na sisi tukijue

    Mimi binafsi napendelea ugali na nyama choma😂😂 Ni tamu balaa wewe je?
Back
Top Bottom