chakula

  1. Ulishawahi kujikuta mjuaji kwenye maakuli ukaongeza kiungo fulani kwenye chakula ukaishia kuharibu?

    Habari wazee wa masotojo, Moja kwa moja kwenye mada. Hii sikufanya mimi, alifanya dogo nyumbani. Alikuwa anataka kutengeza juice amazing ili aoneshe ujuzi wake. Basi akachukua maembe na pensheni freshi, akatia ka hiliki vizuri na sukari safi, sasa kwenye kuongeza madikodiko si akaweka na...
  2. Ni kweli kwamba ukienda kumtolea posa binti wa kisukuma kwao usukumani unapimwa uwezo wa kula chakula kingi?

    Habari zenu wakuu Nina rafiki yangu kapata binti wa kisukuma wa huko shinyanga. Katika story za hapa na pale nimewahi sikia kwamba unapoenda huko kwao wana utamaduni wa kumpa msosi heavy mwanaume anaemuoa binti yao, Je, hii ni kweli? huo msosi heavy ni nini unapewa kwa sahani ngapi ?
  3. Avunja ndoa ya miaka 20 kwa tabia ya mkewe kupakulia majirani chakula

    Image: MARGARET WANJIRU Mwanamume mmoja nchini Zambia amewaacha watu kwa mshangao kubwa baada ya kumpa mkewe talaka kwa sababu ya kuwa na mazoea ya kuwapakulia majirani chakula. George Phiri mwenye umri wa miaka 49 aliamua kumuacha mkewe Tanta Zulu mwenye umri wa miaka 34 ambaye walidumu...
  4. Shemeji yangu ni mchafu sana. Jana nilimtembelea akanialika chakula nikatapika mbele ya familia

    Huyu mke wa mshikaji wangu anashika rekodi ya uchafu. Nilishindwa kuwatembelea Jumapili ya Pasaka nikasema niende jana Jumatatu ya Pasaka. Wana mtoto mchanga na wanafuga bata, wakati wa naandalizi ya msosi kwa macho yangu niliona akimtawaza mtoto bila kunawa mikono, mara akajikuna sehemu za...
  5. Ratiba yako ya Chakula cha Ijumaa Kuu ikoje?

    Miongoni mwa stressful days hasa likija swala la msosi ni leo. Wakristo wengi hasa wa madhehebu ya Katoliki leo nyama ni marufuku. Iwe kuku, kitimoto, mbuzi, ng'ombe, kondoo etc leo hawali kisu. Mimi breakfast yangu naianza hivi. Makande ya mahindi mabichi, sweet corn 🌽. Kisha mchana...
  6. Prof. Sospeter Muhongo agawa chakula cha Dharura kwa Waathirika wa Mafuriko

    MHE. SOSPTER MUHONGO AGAWA CHAKULA CHA DHARURA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO Leo, Jumanne, 4.4.2023, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Mhe. Prof. Sospeter Muhongo ametembelea Kijiji cha Kusenyi, Kata ya Suguti kwa malengo yafuatayo: 1. Kutoa pole kwa waathirika wa mafuriko ya juzi na jana 2...
  7. Hivi ni mimi ninayekula chakula kwa Speed au nyie Wenzangu mnawezaje kutumia nusu saa kwenye kula tu?

    Mimi banaa, nmekulia kwenye huu ustaharabu wa Kila mtu na Sahani yake. Lakini napo ilikua inanibidi kumwambia mwanandugu tuchanganye Msosi tule fasta fasta , sio kwamba lengo lilikua nikumpiga KO kama ambavyo wengi wasomaji mwaweza kudhania, la Hasha, lengo ilikuaga ni Ili tuwahi kumaliza...
  8. Umewahi kukuta watu wanakula chakula gani ukakishangaa?

    Tembea ujionee, kwenye jamii kuna vyakula vya aina tofauti tofauti, kuna vingine vya unaona kabisa ni vya ajabu ila jamii husika inakula na kuvifuhia kabisa. Nimewahi kwenda kijiji fulani nikakuta wanakula majani fulani ambayo kwetu tunayatumia kama maua ila kwao ni mboga pendwa kabisa. Pia...
  9. Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

    Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi. Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za...
  10. Ushawahi kushindwa kula chakula kwa uchafu wa mazingira au mpishi?

    Kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana, na wao wanaona ni sawa. Kuna sehemu nilienda wakaanza kuandaa chakula, mara nikaona mpishi anapika mara akafutia sufuria na kanga aliyojifunga, nikasema tobaa hiki chakula siwezi kukila tena. Usafi ni muhimu sana kwa mpishi kwani ukizingua kwenye usafi...
  11. TBL: Kuleni chakula kabla ya kunywa

    Ili kufikia lengo la kupunguza matumizi ya pombe hatarishi kwa asilimia 10 ifikapo mwaka 2025, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imezindua kampeni ya Mdogomdogo inayohamasisha unywaji pombe usiozidi kipimo ambao ni hatari kwa afya ya watumiaji. Uzinduzi wa kampeni hiyo umekwenda sambamba na...
  12. M

    Chakula kipo tu. Tuleni kwa staha

    Chakula kilikuwepo, kipo na kitakuwepo tu. Kwa iyo tule kwa staha tu. Iwe jioni, usiku ama alfajiri. Siyo kuparamia na kufakamia matokeo yake kuvimbiwa na kukinai halafu kukimwaga. Wakati kuna wasiojaliwa kukipata wanalala njaa. Chakula hakitaisha kitakuwepo tu hakitaisha.
  13. Kwa mara ya kwanza nimesikia Tanzania wametoa msaada wa Chakula kwenda Malawi baada ya kukumbwa na Kimbunga

    It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga. Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi. Ahsante Mama kwa Jambo hili.🙏
  14. Rais Samia akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu, Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  15. Short story ya Chakula cha Usiku

  16. T

    Maboresho ya sheria na mfumo chini ya uongozi wa Rais Samia yanavyoutesa upinzani

    Amani iwe nanyi, Kwa mara nyingine ,tutafakari masuala na madai mbalimbali ya wapinzani hususani dai la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Katika kutafakari huku kila mtu ahitimishe kwa kujiuliza maswali yafuatayo: i) Je, dai la katiba mpya ni la Wananchi? ii) Kama ni la Wananchi ,kwa nini...
  17. Hayati Magufuli alivyomtimua mpishi wa Ikulu usiku baada ya kuzidisha chumvi kwenye chakula

    Leo nimeukmbuka wimbo wa Super Rainbow ulioimbwa na Eddy Sheggs ¶akafatia na kuweka chumvi kwenye chai,tulikuwa na wageni wakatoka bila kuaga,akafatia na kuweka sukari kwenye mboga tukaona haviliki tukalala na njaa.¶ Back to the topic...uajua waafrika wengi ukifikisha umri wa kustaafu Miaka...
  18. Jinsi ya kumwandaa mwanamke kisaikolojia kwenye harakati za kula "chakula cha usiku"

    Acha pupa/Uharaka • Mtoto wakike wala usimwarakishe. Ukifika chumbani(akafika chumbani) kwanza (kumbatianeni na mbusu pia mnongoneze. Kwa sauti ya mahaba ya chumbani, mwambie nakupenda. • Mpeleke taaratibu kitandani, akishafika (kama una zawadi unaweza mgeiya yoyte ile iwe zawadi ya chakula au...
  19. Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  20. E

    Rais Samia zuia vibali vya chakula kwa sasa, utalaumiwa lakini Taifa litakukumbuka kama mkombozi wa kiuchumi

    Mama kwa kifupi hatua unazochukua katika kilimo sina uhakika na zote lakini hili la kufungua masoko ya nje ni mwarobaini wa kilimo. Kilimo cha Tanzania kilidumaa kwa sababu ya upofu wa viongozi waliopita. Naomba nirejee katika hadithi iliyoko katika biblia. Wamisri walikuwa utumwani misri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…