Habari wazee wa masotojo,
Moja kwa moja kwenye mada. Hii sikufanya mimi, alifanya dogo nyumbani. Alikuwa anataka kutengeza juice amazing ili aoneshe ujuzi wake.
Basi akachukua maembe na pensheni freshi, akatia ka hiliki vizuri na sukari safi, sasa kwenye kuongeza madikodiko si akaweka na...
Habari zenu wakuu
Nina rafiki yangu kapata binti wa kisukuma wa huko shinyanga.
Katika story za hapa na pale nimewahi sikia kwamba unapoenda huko kwao wana utamaduni wa kumpa msosi heavy mwanaume anaemuoa binti yao,
Je, hii ni kweli? huo msosi heavy ni nini unapewa kwa sahani ngapi ?
Image: MARGARET WANJIRU
Mwanamume mmoja nchini Zambia amewaacha watu kwa mshangao kubwa baada ya kumpa mkewe talaka kwa sababu ya kuwa na mazoea ya kuwapakulia majirani chakula.
George Phiri mwenye umri wa miaka 49 aliamua kumuacha mkewe Tanta Zulu mwenye umri wa miaka 34 ambaye walidumu...
Huyu mke wa mshikaji wangu anashika rekodi ya uchafu.
Nilishindwa kuwatembelea Jumapili ya Pasaka nikasema niende jana Jumatatu ya Pasaka. Wana mtoto mchanga na wanafuga bata, wakati wa naandalizi ya msosi kwa macho yangu niliona akimtawaza mtoto bila kunawa mikono, mara akajikuna sehemu za...
Miongoni mwa stressful days hasa likija swala la msosi ni leo.
Wakristo wengi hasa wa madhehebu ya Katoliki leo nyama ni marufuku.
Iwe kuku, kitimoto, mbuzi, ng'ombe, kondoo etc leo hawali kisu.
Mimi breakfast yangu naianza hivi.
Makande ya mahindi mabichi, sweet corn 🌽. Kisha mchana...
MHE. SOSPTER MUHONGO AGAWA CHAKULA CHA DHARURA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO
Leo, Jumanne, 4.4.2023, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Mhe. Prof. Sospeter Muhongo ametembelea Kijiji cha Kusenyi, Kata ya Suguti kwa malengo yafuatayo:
1. Kutoa pole kwa waathirika wa mafuriko ya juzi na jana
2...
Mimi banaa, nmekulia kwenye huu ustaharabu wa Kila mtu na Sahani yake.
Lakini napo ilikua inanibidi kumwambia mwanandugu tuchanganye Msosi tule fasta fasta , sio kwamba lengo lilikua nikumpiga KO kama ambavyo wengi wasomaji mwaweza kudhania, la Hasha, lengo ilikuaga ni Ili tuwahi kumaliza...
Tembea ujionee, kwenye jamii kuna vyakula vya aina tofauti tofauti, kuna vingine vya unaona kabisa ni vya ajabu ila jamii husika inakula na kuvifuhia kabisa.
Nimewahi kwenda kijiji fulani nikakuta wanakula majani fulani ambayo kwetu tunayatumia kama maua ila kwao ni mboga pendwa kabisa.
Pia...
Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi.
Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za...
Kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana, na wao wanaona ni sawa.
Kuna sehemu nilienda wakaanza kuandaa chakula, mara nikaona mpishi anapika mara akafutia sufuria na kanga aliyojifunga, nikasema tobaa hiki chakula siwezi kukila tena.
Usafi ni muhimu sana kwa mpishi kwani ukizingua kwenye usafi...
Ili kufikia lengo la kupunguza matumizi ya pombe hatarishi kwa asilimia 10 ifikapo mwaka 2025, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imezindua kampeni ya Mdogomdogo inayohamasisha unywaji pombe usiozidi kipimo ambao ni hatari kwa afya ya watumiaji.
Uzinduzi wa kampeni hiyo umekwenda sambamba na...
Chakula kilikuwepo, kipo na kitakuwepo tu. Kwa iyo tule kwa staha tu. Iwe jioni, usiku ama alfajiri.
Siyo kuparamia na kufakamia matokeo yake kuvimbiwa na kukinai halafu kukimwaga. Wakati kuna wasiojaliwa kukipata wanalala njaa.
Chakula hakitaisha kitakuwepo tu hakitaisha.
It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.
Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.
Ahsante Mama kwa Jambo hili.🙏
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
afrika
barani afrika
chakula
hongera
ikulu
kilimo
kuhusu
mama samia
mkubwa
mkutano
msimamo
rais samia
samia
sana
siku
taifa
tanzania
tarehe
vizuri
wako
Amani iwe nanyi,
Kwa mara nyingine ,tutafakari masuala na madai mbalimbali ya wapinzani hususani dai la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Katika kutafakari huku kila mtu ahitimishe kwa kujiuliza maswali yafuatayo:
i) Je, dai la katiba mpya ni la Wananchi?
ii) Kama ni la Wananchi ,kwa nini...
Leo nimeukmbuka wimbo wa Super Rainbow ulioimbwa na Eddy Sheggs ¶akafatia na kuweka chumvi kwenye chai,tulikuwa na wageni wakatoka bila kuaga,akafatia na kuweka sukari kwenye mboga tukaona haviliki tukalala na njaa.¶
Back to the topic...uajua waafrika wengi ukifikisha umri wa kustaafu Miaka...
Acha pupa/Uharaka
• Mtoto wakike wala usimwarakishe. Ukifika chumbani(akafika chumbani) kwanza (kumbatianeni na mbusu pia mnongoneze. Kwa sauti ya mahaba ya chumbani, mwambie nakupenda.
• Mpeleke taaratibu kitandani, akishafika (kama una zawadi unaweza mgeiya yoyte ile iwe zawadi ya chakula au...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei”
Lengo la Serikali mchele ushuke...
Mama kwa kifupi hatua unazochukua katika kilimo sina uhakika na zote lakini hili la kufungua masoko ya nje ni mwarobaini wa kilimo.
Kilimo cha Tanzania kilidumaa kwa sababu ya upofu wa viongozi waliopita.
Naomba nirejee katika hadithi iliyoko katika biblia.
Wamisri walikuwa utumwani misri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.