Mzuka wanajamvi!
Kungekuwa kuchagua cha kuota hii ndoto ningeikataa mapema kabla asee. Ndio hivyo tena Chalamila ndo atamrithi Ndugai. Atapewa ubunge na kuwa spika.
Na 'ninachootaga' kinakuwa kweli. Yani nimeamka Sasa hivi nakumaindi kichiz. Itabidi tu tuzoee hali hii inayokuja hamna namna.
Damn!
Albert Chalamila amesema hataki katiba mpya wala marekebisho yake. Ameeleza hayo akikanusha habari zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kwamba anaunga mkono mabadiliko ya katiba.
"Wala sihitaji hiyo katiba mpya, wala sihitaji hayo marekebisho,"- amesema Chalamila.
Pia soma > Chalamila...
#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.
Zaidi, soma...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete.
Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako...
Hebu fikiria mtu ambaye alikuwa analindwa na Jeshi la Polisi huku akipigiwa salute na RPC, usafiri wake ukiwa ni V-8, leo anaondoka Mwanza bila hata Mgambo wa KK SECURITY, tena kwenye gari ya kupewa lift na Msamalia Mwema
Katika kipindi kifupi sana cha miaka 6 Taifa hili limefundishwa mambo...
CHALAMILA KAULI ZAKE ZINAZUA MASWALI MENGI.
Na Robert Heriel.
Nani aliyemuambia wananchi wa Mwanza Wanakinyongo na Kifo cha Magufuli?
Chalamila hajamaliza hata wiki mbili tangu awe Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, sasa je aliwezaje kuzipata taarifa za Wakazi wa Mwanza kwa muda mfupi tuu kuwa watu...
Mhe. Rais amepewa nguvu na Katiba kuteua au kutengua uteuzi wa yeyote aliyemteua na wakati anouona unafaa. Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka.
Mhe. Rais kama kulitokea dosari angemwita na kumueleza dosari zake na yale maneno aliyozungumza kwa upande wangu sioni...
Huyu aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ndugu Albert Chalamila na kuhamishiwa Mwanza kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa inawezekana kabisa hakuridhika na uhamisho wake hivyo zile kauli zake baada ya uhamisho ukiangalia kwa jicho la ukamisaa inaonyesha kabisa kama ameropoka makusudi kabisa.
Na katika utenguzi...
Asichukuliwe poa kwani kitendo alichofanya ndugu Chalamila kina kila dalili zote kuwa sio cha bahati mbaya na hayuko peke yake.
Maongezi yake ukiyasikikiza vizuri yana kila dalili kuwa anawachochea watu wa kanda ile dhidi ya kifo cha mpendwa wetu. Bado haamini kuwa Mungu anaweza kufanya vile...
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe alipokuwa anahitimisha mpango wa Operesheni Haki Mkoani Morogoro.
Mbowe ambaye sasa anaitwa Mtemi Isike, baada ya kusimikwa huko Tabora , amesema kwamba Chama chake sasa kinataka viongozi wake wafanye kazi moja tu ambayo ni...
Mimi naamini kabisa ndani ya moyo wako wewe ni mtu mzuri. Una sense of humor ambayo bahati mbaya wengine hawaielewi.
Naamini kilichokukuta safari hii ni watu wamekupiga fitna hasa wale Waliochukua clip ya sauti yako na kuikatakata kisha kuunganisha vipande.
Naamini kabisa kwenye ile clip...
Budget imesomwa jana na Waziri wa Fedha asiye na ubunifu, mwenye akili chovu mchama na si mtanzania. Kama Uchawi upo na unafanya kazi Mganga wa Mwigulu ni wa kujengewa Sanamu katikati ya Jiji.
Nchi za watu wenye akili wangetumia muda mwingi sana kuijadili budget. Kuangalia mazuri na mabaya...
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba umeleta taharuki kubwa sana ndani na nje ya nchi, kufuatia kauli yako ya Jana kumsifu kinafiki Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Kwa kauli hii nathubutu kusema haina tofauti na kauli ya aliyekua RC wa Mwanza Mr. Albert Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa...
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila, amewataka wakazi wa mkoa huo kunywa pombe kwa kuwa inachangia kukuza uchumi wa nchi kupitia kodi za serikali.
Chalamila ameyasema hayo jana jijini Mwanza alipozungumza na uongozi wa Mamlaka ya Mapato (TRA).
Alisema watu wakiacha kunywa pombe maana yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.