chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Orketeemi

    Albert Chalamila, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliyelishika jiji kwa uharaka

    Inawezekana nikawa nipo sahihi au sipo sahihi . Kwa maoni yangu tangu Chalamila afike DSM jiji limetulia, kila kitu ni shwari. Kinachofurahisha zaidi Chalamila ameishika Dar bila Kiki wala ubabe, ametulia anachapa kazi. Namuona mtu huyu akija kuwa kiongozi mkubwa zaidi siku za usoni. Mnyonge...
  2. BARD AI

    RC Chalamila ataka Mabasi ya ‘Mwendokasi’ yafanye kazi saa 24

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amawataka Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) maarufu kwa jina la Mwendokasi, kuangalia namna ya kuongezeka muda wa kufanya kazi hadi kufikia saa 24 badala ya muda uliopo sasa. Mbali na hilo pia amesema hafurahishwi na malalamiko yaliyokuwapo...
  3. Suley2019

    Chalamila: Namuonya Dkt. Slaa aache kupotosha taifa, Bandari haijauzwa

    "Nimeona kwenye mtandao, ndugu yangu balozi Dkt. Wilbroad Slaa na yeye akieleza mambo yake kwenye mtandao, moja ya watu ambao kwa miaka mingi nimewaheshimu, kwa umri wao, kwa nafasi zao, kwa usomi wao ni pamoja na Dkt Wilbroad Slaa. Sasa na yeye pia nimuonye kwamba kwa umri wake, kwa hadhi...
  4. Mganguzi

    Viongozi wa Dini susieni Mkutano wenu na RC Chalamila kwa kuwa ajenda yake ya Aibu imejulikana

    Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja. Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu...
  5. M

    RC Chalamila, PR yako ya kumsafisha rais juu ya shida ya Maji jijini wana Dar es salaam hatudanganyiki

    Siku hizi RC Chalamila kila akipata fursa ya kuzungumza mbele ya rais, haachi kutoa data zenye ukakasi kuhusu suala la maji jijini Dar es salaam. Amekuwa mara kwa mara akitoa data kuwa rais katoa fedha kujenga miundo mbinu ya maji hapa na pale jijini, hata hivyo hanukuu ni bajeti ipi hizo pesa...
  6. R

    Chalamila: Wiki ijayo nitakuwa na kikao na Viongozi wa Dini ajenda kubwa ni Tokomeza adui ili Rais Samia apenye bila kupingwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo akizingumza katika mapokezi ya ndege mpya ya mizigo aina ya BOEING B767-300F, mapokezi yanayoongozwa na Rais Samia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam.
  7. Teslarati

    Clip ya RC Chalamila imenikumbusha mara ya kwanza nilipohudhuria mazishi ya kiislamu. Yale mafundisho nlopata pale huwa yananirudia akilini

    Kuna Clip ya RC Chalamila anasifia mazishi ya waislamu. Pale RC kiukweli kasema ukweli mtupu. Nakumbuka siku moja nilihudhuria mazishi ya muislamu mmoja mtaani kwetu, huyo marehemu alikua ni mtu mkubwa kdg na anafahamika hvyo kwenye mazishi alikuwepo Shehe mkuu wa msikiti wa pale mtaani, Shehe...
  8. Mr Sir1

    Kuongelea kero ya maegesho, Chalamila umechukua heshima yangu!

    Hawa jamaa wamekithiri mno kunyanyasa watu. Nashukuru kuwa mamlaka imegundua kuwa wanatumia vibaka.
  9. Cetshwayo Kampande

    Chalamila: Huwezi kukwepa kelele Dar es Salaam

    Kasema leo, Dar ni jiji la biashara, wasiopenda kelele waende Dodoma, watu watafute pesa, wale bia, mziki mnene. Maana wanachangia maendeleo ya jiji. ========== Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaomba Wakazi wa Mkoa wa Dar es salaam kufanya starehe ambazo hazitokuwa na...
  10. chiembe

    Albert Chalamila "akipikwa vizuri" anafaa kuwa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM

    Albert Chalamila akiandaliwa vizuri, anaweza kuwa Katibu wa Uenezi mzuri sana wa CCM. Anahitaji mentorship kumuondolea mambo madogo madogo yanayomkwaza kiuongozi. CCM inaweza kumuweka karibu na magwiji ya Siasa yakaendelea "kumpika", na pia akapata mafunzo ndani na nje ya nchi, hasa katika vyuo...
  11. BARD AI

    Hotuba ya kwanza ya Albert Chalamila kama RC wa DAR mbele ya Rais Samia

    Leo Mei 18, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumza mbele ya Rais Samia kwa mara ya kwanza tangu ahamishiwe Jijini Dar kuchukua nafasi ya CPA Makalla aliyeondolewa na kupelekwa Mwanza kutokana na sakata la Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariakoo.
  12. Suzy Elias

    Ndugai: Mzee Malecela alinitaka nijiuzulu u-Spika haraka; nikajiuzulu

    ".... Mapema January mwaka jana, mzee wangu Malecela alifika nyumbani kule Kongwa usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA NA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi...
  13. Ashampoo burning

    Dar iko chini ya amri kutoka ngome ya Wahehe Iringa

    Wadau nipo hapa nimetulia nikasema niwachokoze kidogo Dar sasa hivi ipo chini ya himaya ya wahehe baada ya chalamila kuwa mkuuu wa mkoa wahehe wanajidai sana nimeona kwenye magroup yao WhatsApp. Kwa sasa kwenye ulingo wa siasa kutoka iringa anawika sana ni chalamila hivyo ngome...
  14. Mmawia

    Karibu sana Chalamila Dar es Salaam, sisi wanywaji wa bia tunakuunga mkono

    Sisi wakaazi wa jiji la Dar es Salaam tupo tayari kukupokea na kukupa ushirikiano ndugu Chalamila. Wana Dar es salaam tunaweza kuchangia mapato ya Serikali kwa kiulaini sana kupitia kupiga tungi a.k.a gambe. Unaonyesha utaiweza sana Dar es Salaam kwani wana Dar wengi wao ni wanachama wenzako na...
  15. Suzy Elias

    Chalamila aanza kwa kishindo! Atumia usafiri wa bajaj

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao. Mapema leo jioni bwana Chalamila ameonekana maeneo ya Mwenge akizungumza na wafanyabiashara ndogo ndogo kutaka kufahamu changamoto zao. Akiwa...
  16. GENTAMYCINE

    Albert Chalamila ni 'Makonda Type', ila ana Umakini, Utu, Akili na Mchapakazi hivyo wana DSM tumpeni Ushirkiano mkubwa

    Mapungufu yake ni machache kuliko Ufanisi (Uwezo) wake mkubwa wa Kiutendaji ambao GENTAMYCINE naupenda na naukubali. Mkoa wa Dar es Salaam unawataka Watu Chakaramu (Watundu) ambao pia ni Watoto wa Mjini, Wasomi sana halafu Wasela mno na Wanaojua Kujichanganya na Waru wa kila Rika, Wathubutu na...
  17. Chizi Maarifa

    Kama Yusuf Makamba aliongoza Dar es Salaam, Chalamila hawezi kushindwa

    Mwacheni RC Chamalila aje Dar. Huyu mate namfahamu yupo vizuri na anajiamini sana tu. Jiji la Dar miaka flani liliwahi kuongozwa na Yusuf Makamba. Akaweza tu. Itakuwa Chalamila? Acheni maneno yenu. Chalamila anafaa na nitapendekeza aje haraka aanze kazi. Tuliongozwa na Yusuf Makamba itakuwa...
  18. B

    Kwa uteuzi huu wa RC Chalamila kuja Dar es Salaam, Rais Samia kaupiga mwingi

    Dsm inahitaji watu kariba ya kina Chalamila. Jiji lilipoa sana hili. Nina imani kwa ujio wa Chalamila, sasa taarifa za habari zitaanza kufuatiliwa na watu wengi kuliko ilivyokuwa hapo kabla. Ninachomwomba Chalamila, ni ajitahidi kuwa yeye na kuusema ukweli pasipo kumwogopa yeyote. Usiogope...
  19. Mr Sir1

    Chalamila hana upeo wala uwezo wa Kuongoza Dar, bora hata angepewa Aggrey Mwanri

    Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar. Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi. Uwezo wa fikra ni mdogo mno. Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
  20. benzemah

    Rais Samia Kumhamishia Chalamila Dar es Salaam, Umelipokeaje?

    Usiku wakati tarehe 15 Mei 2023 ikielekea ukingoni Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliachia "PDF" ya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa ambapo wakuu wa mikoa minne waliguswa na mabadiliko aliyoyafanya Rais Samia Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akitoka Dar es...
Back
Top Bottom