chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania RC Chalamila, kuchanganya dini na siasa haikubaliki, ni kufilisika kisiasa

    Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo. Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
  2. JamiiForums Tanzania Kupitia Bashungwa na Chalamila sasa Usafiri wa mwendokasi unakwenda kufa rasmi kama ilivyo Tanroads

    Tangu Bashungwa amekabidhiwa wizara hii ni wazi na ukweli ulio wazi ameharibu kila kona hasa kule Tanroad! Cha kushangaza zaidi ni uamuzi wake wa kuruhusu barabara ambazo hazikabidhiwa kuanza kutumika hasa za mwendokasi…..hakuishia hapo na Sasa kwa kushirikiana na chalamila wamevuruga kabisa...
  3. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Tulidhibiti Wizi wa Transfoma kwa kuwanywesha Wezi Mafuta ya Transfoma

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Ziara za Chalamila akiongozana na watumishi wa umma, tena usiku wa manane, zina muongozo upi wa sheria? Hasa kwa wenye watoto na ndoa?

    Nimeona Mkuu wa Mkoa amezindua ziara za usiku mzima, tena akiwa na watumishi wa umma wa kike na kiume. Ninachofahamu, muda wa mtumishi wa umma kuwa ofisini mwisho saa tisa na nusu. Sasa sijafahamu kuhusu huu utumishi wa mpaka usiku wa manane. Kwanza, hao watumishi wanatakiwa kuwa kazini saa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Mwizi Wa Tv, kuku wekeni Kwapani. Mkoa unashughulika na Majambazi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaeleza wananchi wa Segerea kuwa suala la vibaka lipo katika ngazi ya mitaa hivyo wahakikishe kupitia ulinzi shirikishi wanamaliza jambo hilo, kwani mkoa unashughulika na majambazi. Soma Pia: Albert Chalamila: Sasa naunda task force kubwa...
  6. JamiiForums Tanzania Chalamila: Dar ni mkoa ambao watu wamebobea kwenye utaalamu wa utapeli lakini lazima tuvumiliane kwasababu kila mmoja hamgusi mwenzake!

    Wakuu, Chalamila anazidi kuonekana hamna kitu kichwani, haya matapeli tukalinde amani ya nchi ili tuzidi kuapata wa kuwatapeli! 🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️ Job true true!
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chalamila: Mabinti na Vijana wanajiteka wenyewe, taarifa zikifika kwa vyama vingine wanadhani kwamba amani imetoweka!

    Wakuu, Wanasema watu wanajiteka huku hamna tishio lolote nchini la watu kujiteka! CCM mnataka kuzidisha watu hasira zaidi ya hivi hali ilivyo sasa!
  8. JamiiForums Tanzania RC Chalamila ajiachia kwa kucheza singeli mbele ya Waziri Mkuu Majaliwa

    PIA SOMA - LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  9. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Baadhi ya Matendo Polisi hawahusiki. Ulinzi wako sharti ujilinde mwenyewe

    Mheshimiwa waziri mkuu kuna tukio limetokea hapa mwezi uliopita kuna bwana mmoja alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mama mmoja katika kugombana kwao yule bwana kamdanganya yule mama kamchukua akaenda kumchinja na baada ya kuona haitoshi akamcharanga vipande na akaenda kutupa viungo sehemu...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Wazazi Temeke Hawawajibiki Vizuri Kulea Watoto wao

    “Jambo kubwa ambalo tumekuja kuligundua ni pamoja na wazazi wa wilaya ya temeke kutowajibika ipasavyo katika malezi ya watoto. Mara nyingi tunafahamu kuzaa lakini hatufahamu kabisa maswala ya kulinda watoto wetu na hili kuna mfano mzuri sana shule za temeke ambazo watoto wa shule za msingi na...
  11. JamiiForums Tanzania Chalamila pamoja na ukuu wako wa mkoa acha kuwadharau wakazi wa Mbagala.

    Chalamila mara nyingi umekuwa ukitoa hotuba za dharau dhidi ya wananchi, hili la kuwaona wakazi wa Mbagala ni walevi wa pombe na wapenda ngono na wake za watu halikubaliki, ni dharau iliyopindukia. Chalamila inawezekana umewahi kumpata mke wa mtu huko Mbagala mlipokuwa mkinywa pombe, hii...
  12. JamiiForums Tanzania Kauli ya Albert Chalamila akigusia Maandamano ya CHADEMA kwa mafumbo, adai yanaweza kuahirishwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema ameamini Ekaristi takarifu inaponya na inaleta undungu, kufuatia kitendo cha Padri Dkt. Charles Kitima kuwakutanisha pamoja Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, Tundu Lissu na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John...
  13. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Barabara hazijatengenezwa, Bora Tungesaini mkataba bila kuwa na sherehe

    https://www.youtube.com/watch?v=_u-grci0Q9Q Akizungumza na viongozi mbalimbali wa Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa huo, Albert Chalamila amesema ucheleshwaji wa maboresho ya Barabara unaoendelea hauna taswira nzuri kwa kuwa mikataba ilisainiwa na sherehe ikafanyika. Anasema “Tulisaini mkataba na...
  14. JamiiForums Tanzania Dar: RC Chalamila ameongoza viongozi na mamia ya wananchi wa Mkoa, katika maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa wa Tanzania

    RC CHALAMILA AONGOZA VIONGOZI NA MAMIA YA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA-DSM. -Amtaja Rais Dkt Samia kuwa shujaa aliye hai kutokana na kazi kubwa anayoifanya ndani ya Taifa hili. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ameongoza viongozi na mamia ya...
  15. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Kama huwezi kuishi kota za Magomeni, hamia Vingunguti

    Kila siku naona malalamiko kwenye ofisi yangu kutoka kwa wakaaji wa Magomeni kota mara wanalalamika bili ya Maji ni kubwa wameshindwa kulipa wengine wanalalamika kwamba bili ya taka imekuwa kubwa wakati hizo taka wanazalisha wenyewe hii inaonesha wameshindwa kukaa kwenye hizo kota. Nashauri...
  16. JamiiForums Tanzania RC Chalamila ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China

    RC CHALAMILA ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JESHI LA UKOMBOZI LA WATU WA CHINA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 17, 2024 ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China ukiongozwa na BRIG GEN CE MWANZIVA Mkurugenzi wa Huduma za Afya TPDF...
  17. JamiiForums Tanzania Namna ya uwasilishaji ya Chalamila kuhusu Dart Simu 2000, je viongozi wakumbushwe kuwa wananchi ni maboss wao?

    Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia. Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
  18. JamiiForums Tanzania DC Ilala awatuliza wafanyabiashara Kariakoo, kukutana na Chalamila kesho

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewatuliza wafanyabiashara zaidi ya 800 wanaodai majina yao hayamo kwenye orodha ya watakaorejea katika Soko la Kariakoo, walioandamana hadi ofisi ndogo za CCM Lumumba. Amewaahidi kesho Julai 12, 2024 watakutana na Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kujadili...
  19. JamiiForums Tanzania RC Chalamila umetuumbua wengi, tuliamini Dar es Salaam hutaiweza

    Kiongozi CHALAMILA kipindi anateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akitokea mkoa wa Kagera wengi TULIAMINI kwamba hataiweza Dar. Ila naona hekima yake Iko juu sana Anavyosuluhisha migogoro na changamoto za Dar Yuko vizuri mno. Dar imetulia hakuna panya road, migogoro ya machinga, up...
  20. JamiiForums Tanzania RC Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Amana wa Bilioni 3. Huduma ua Kangaroo kuwa bora zaidi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Ilala ya Amana (yenye hadhi ya Mkoa) utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu. Ni katika muktadha huo Chalamila amewataka wadau wa maendeleo na wananchi kushirikiana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…