chama cha madaktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akishukuru Chama Cha Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu Kumpatia Tuzo

    Ndugu zangu Watanzania, Huu hapa ni ujumbe wa shukurani kutoka kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania kwenda kwa chama cha madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu. Lakini pia Rais wetu Mpendwa ameelezea kazi kubwa iliyofanywa na serikali yetu...
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Chama cha madaktari Tanzania kipige marufuku wasio madaktari kutumia sare zao

    Siku hizi naona heshima ya madaktari kama inakwenda kushuka na kuchukuliwa poa poa tu. Hawa watu kiukweli inabidi tuwaheshimu na kuheshimu sana taaluma yao na inabidi pawe na mipaka maana siku hizi imekuwa too much. Siku hizi unakuta mpaka kuna ma dancer nao utambulisho wao wanavaa makoti ya...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tanzania chawashukuru madaktari na wahudumu wote wa afya kwa kujitolea kuokoa maisha ya watu

    Chama cha Madaktari wa Tanzania kinatoa shukrani za dhati kwa madaktari na wahudumu wote wa afya kwa kujitolea kwao bila kuchoka katika kuokoa maisha, hata wanapokabiliwa na changamoto kubwa. Ujasiri, huruma na weledi wenu ni wa kipekee, mnafanya zaidi ya kile kinachotarajiwa, mkitupa wote...
  4. 4

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Tanzania angalieni upya Sera za Chama cha Madaktari (MCT)

    Wakuu jf kila mmoja kwa imani yake namsalimia. Leo niko na Wizara ya Afya kama nguzo ya kusimamia taasisi zilizo chini yake mfano chama cha Madactari (MCT). Kwa nini ichi chama kimekua na ukiritimba wa kipumbavu kwa vijana wetu, ambao serikali wengine imewagharamikia, na wengine ndugu/ wazazi...
  5. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tanzania (MAT): NHIF walikiuka makubaliano ya kamati ya kitita cha mafao cha mwaka 2023.

    MREJESHO WA KIKAO CHA DHARURA KATI YA NHIF NA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA- MAT Utangulizi, Tunapenda kuwafahamisha madaktari nchi nzima kuwa mnamo tarehe 10/07/2024 tulipokea barua ya mwaliko kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF yenye kumb.Na.EA35/269/01A/184,lengo kuu likiwa kufanya...
  6. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Chapinga kushirikishwa katika Mchakato Mzima wa Maoni ya "Bima Ya Afya kwa wote" Kama serikali ilivyosema

    Chama cha Madaktari Nchini Tanzania (MAT) kimepinga na kusema kuwa hakikushirikishwa kwenye mchakato wowote wa kuandaa,Kutoa maoni au Kushiriki katika njia yoyote ile ya mchakato huo. kinyume cha serikali inavyojinasibu kuwa Chama hicho kilishirikishwa kama Mdau Rasmi wa Afya.. Aidha Dr...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Niliacha kazi ya Udaktari kwa sababu ya Mshahara mdogo, nilikuwa nalipwa tsh 126,000 Wakati Dereva wa TRA analipwa Tsh. 360,000/-

    Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema aliacha Kazi ya Udaktari kwa sababu Mshahara ulikuwa mdogo. Dr Kigwangalla amesema Baada ya kuusotea Udaktari kwa miaka 18 alijikuta analipwa tsh 126,000 kama Mshahara huku Dereva wa TRA akilipiwa tsh 360,000. Kigwangalla amesema akiwa Rais wa...
Back
Top Bottom