Chama cha madaktari Tanzania kipige marufuku wasio madaktari kutumia sare zao

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Siku hizi naona heshima ya madaktari kama inakwenda kushuka na kuchukuliwa poa poa tu.

Hawa watu kiukweli inabidi tuwaheshimu na kuheshimu sana taaluma yao na inabidi pawe na mipaka maana siku hizi imekuwa too much.

Siku hizi unakuta mpaka kuna ma dancer nao utambulisho wao wanavaa makoti ya kidaktari na kuning'niza stethoscope kama madaktari kitu ambacho ni kibaya sana .

Kama wanajeshi na mapolisi wameweza kudhibiti hili kwa kuzuia sare zao kutotumika hata kama kwenye filamu basi na madaktari nao waje na misimamo hii hii, sare zao na utambulisho wao usitumike hovyo hovyo na watu ambao sio madaktari, iwe ni kwenye maigizo au maisha mengine ya kawaida.

Kuna baadhi ya nchi ukienda, nurse/pharmacists haruhusiwi kuning'iniza stethoscope ni kosa kubwa mno ambalo linaweza likapelekea hata kufutiwa leseni.

Sasa jaribu kufikiria hao ni medical personnels na wanawekewa vizingiti kiasi hicho, vipi kuhusu non medical personnels unadhani sheria yao itakuwaje juu yao?

Tuwape heshima yao hawa watu, na bila shaka hili bandiko litawafikia wahusika wakuu.

Sheria na mikazo iwekwe sare na utambulisho wa kidaktari usitumike hovyo hovyo, tena utakuta wengine hata hiyo stethoscope wanavyoivaa ni kichekesho 😂😂😂😂😂😂
 
1772659955794.png
 
CHAI
 
Heshima ya daktari inatokana na competence yake ya kuhudumia wagonjwa!
Lakini kama madaktari wanataka heshima kwenye mavazi huku wanaomba rushwa(CCD) kutoka kwa wagonjwa,mavazi hayawezi kuwapa heshima!
Lakini hata hivyo wana haki ya kudai heshima hiyo! Maana ni muda sasa hata wauza bucha za nyama wanavaa Clinical coat.
Wahusika wakalitazame na hili.
 
Back
Top Bottom