Ndugu zangu Watanzania,
Huu hapa ni ujumbe wa shukurani kutoka kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania kwenda kwa chama cha madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu.
Lakini pia Rais wetu Mpendwa ameelezea kazi kubwa iliyofanywa na serikali yetu...
Siku hizi naona heshima ya madaktari kama inakwenda kushuka na kuchukuliwa poa poa tu.
Hawa watu kiukweli inabidi tuwaheshimu na kuheshimu sana taaluma yao na inabidi pawe na mipaka maana siku hizi imekuwa too much.
Siku hizi unakuta mpaka kuna ma dancer nao utambulisho wao wanavaa makoti ya...
Chama cha Madaktari wa Tanzania kinatoa shukrani za dhati kwa madaktari na wahudumu wote wa afya kwa kujitolea kwao bila kuchoka katika kuokoa maisha, hata wanapokabiliwa na changamoto kubwa.
Ujasiri, huruma na weledi wenu ni wa kipekee, mnafanya zaidi ya kile kinachotarajiwa, mkitupa wote...
Wakuu jf kila mmoja kwa imani yake namsalimia.
Leo niko na Wizara ya Afya kama nguzo ya kusimamia taasisi zilizo chini yake mfano chama cha Madactari (MCT).
Kwa nini ichi chama kimekua na ukiritimba wa kipumbavu kwa vijana wetu, ambao serikali wengine imewagharamikia, na wengine ndugu/ wazazi...
MREJESHO WA KIKAO CHA DHARURA KATI YA NHIF NA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA- MAT
Utangulizi,
Tunapenda kuwafahamisha madaktari nchi nzima kuwa mnamo tarehe 10/07/2024 tulipokea barua ya mwaliko kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF yenye kumb.Na.EA35/269/01A/184,lengo kuu likiwa kufanya...
Chama cha Madaktari Nchini Tanzania (MAT) kimepinga na kusema kuwa hakikushirikishwa kwenye mchakato wowote wa kuandaa,Kutoa maoni au Kushiriki katika njia yoyote ile ya mchakato huo.
kinyume cha serikali inavyojinasibu kuwa Chama hicho kilishirikishwa kama Mdau Rasmi wa Afya..
Aidha Dr...
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema aliacha Kazi ya Udaktari kwa sababu Mshahara ulikuwa mdogo.
Dr Kigwangalla amesema Baada ya kuusotea Udaktari kwa miaka 18 alijikuta analipwa tsh 126,000 kama Mshahara huku Dereva wa TRA akilipiwa tsh 360,000.
Kigwangalla amesema akiwa Rais wa...