chama cha mapinduzi

  1. milele amina

    Ufafanuzi wa Faida na Hasara ambazo ni nyingi za Kuanzishwa kwa Chama cha Mapinduzi Tangu Mwaka 1977 hadi sasa

    Utangulizi Chama cha Mapinduzi (CCM) kilianzishwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama mbalimbali vya kisiasa, ikiwa ni pamoja na Chama cha Umma (ASP) na Chama cha Mapinduzi (SMT) cha Zanzibar. Kuanzishwa kwa chama hiki kumekuwa na athari nyingi katika nyanja tofauti za maisha ya wananchi...
  2. Ojuolegbha

    Pre GE2025 Sisi Chama cha Mapinduzi tunasema hakuna kazi bila utu, kwani tunawahudumia Wananchi na kuhakikisha tunawapatia maendeleo wanayostahili kwa weledi wa

    Sisi Chama cha Mapinduzi tunasema hakuna kazi bila utu, kwani tunawahudumia Wananchi na kuhakikisha tunawapatia maendeleo wanayostahili kwa ueledi wa hali ya juu. CCM 2025 ✅, KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
  3. Ojuolegbha

    RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  4. Doto12

    Serikali ya mkoa wa Dar es salaam Fikeni kinyerezi Ilani ya chama cha Mapinduzi inakanyagwa

    Ni mwezi, miezi na mwaka sasa watendaji wa umma wameamua kuwa sikio la kufa. Mnamo mwezi ya saba mwaka 2024 mh waziri alitembelea kinyerezi kuondoa kero ya maji iliyotesa wananchi. Aliiweka chini ya uangalizi wa wizara, cha ajabu mwaka unatimia kero ikiandama wananchi wa saranga na kinyerezi...
  5. Ojuolegbha

    Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal,

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
  6. milele amina

    Wanachama wa CCM wanaopinga mchakato wa Rais Samia Suluhu Hassan kupewa nafasi ya kugombea bila kupingwa tukutane hapa

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaopinga mchakato wa Rais Samia Suluhu Hassan kupewa nafasi ya kugombea bila upinzani, tunakaribishwa kukutana hapa ili kujiorodhesha majina yetu. Tunatarajia kuwa na wanachama wapatao 12,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Sababu za Kukutana 1...
  7. Janeth Thomson Mwambije

    Utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi, kata ya Kivule (Juni-Disemba 2024)

    Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Kata Ya Kivule, Iliyopo Wilaya Ya Ilala, Mkoa wa Dar Es Salaam, Ili Kuweza Kupitia Taarifa Ya Utekelezaji wa Ilani Ya Chama Cha Mapinduzi Kwenye Kata Ya Kivule Iliyotekelezwa Kwa Muda Wa Juni - Disemba 2024, Kwa Mapato Ya Ndani - Halmashauri Ya Jiji La Dar Es...
  8. Allen Kilewella

    Pre GE2025 CCM wanatengeneza "elite clique"?

    Watu mnaojua kiingereza mnaweza kunisahihisha kama neno nililolitumia siyo sahihi. Kiranga na Nyani Ngabu msaada tutani. Kwa mtazamo wa kijuujuu huwezi kuona kinachotengenezwa na CCM hasa viongozi wake wa juu. CCM inatengeneza aina fulani hivi ya usultani ndani ya chama hicho na Kwa nchi kwa...
  9. A

    Kuna hatari ya CCM kutoka kuwa chama cha wananchi na kuwa chama cha familia na koo

    Wananchi na wanachama wa CCM msipokuwa makini ,kuna hatari ya chama kutoka kuwa chama cha mapinduzi na kuwa chama cha familia na koo tu. Hapa nazungumzia hasa katika ngazi ya juu ya kiutawala ya chama hiki, nafasi ya Urais katika utawala na siasa. Familia fulani na koo fulani zinaelekea...
  10. The Watchman

    Kuelekea maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es salaam

    https://www.youtube.com/live/ZcC1DjuaCGA?si=v690LB1yPXEmkK6v ======= Kuelekea maadhimisho ya miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi CCM, katika kata ya bunju halmashauri ya manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla amefungua...
  11. Ojuolegbha

    Karibu kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma

    Karibu kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika Katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma Tarehe 05 Februari 2025 Mgeni Rasmi ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
  12. Ojuolegbha

    Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano

    Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano wa chama. Hii ni ofisi ya CCM Kata ya Manzese ambayo muonekano wake ni bora na yenye kuvutia. Asante Dotto Magari kwa kututembelea na...
  13. Dialogist

    Ningekuwa CCM ili kuleta maendeleo kwa Watanzania basi ningeanza na hili

     Wanabodi Hamjambo... Ni Wazi Kila Serikali Duniani Nia Na Lengo Lake Ni Kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi Wake. NA ndio Maana Moja Ya Slogan Katika Kupindi Cha JK ni MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA. Katika Muktadha Huo, Kama Ningepata Nafasi Ya Kua Na Ushawishi Katika Chama, Bunge Na Serikali...
  14. B

    Pre GE2025 Kwa rafu nilizoziona za Chama cha Mapinduzi kwenye mkutano mkuu itoshe kusema Lissu ni tishio kwa chama kile hivyo hawezi kushinda uchaguzi

    Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe...
  15. Waufukweni

    Pre GE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Pia, Kimbisa amesema Makamu Mwenyekiti Zanzibar wa CCM, Dk...
  16. Ojuolegbha

    Serikali ya awamu ya sita imetekeleza Ilani Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika Eneo la Umwagiliziaji kwa asilimia 82 mpaka sasa

    Serikali ya awamu ya sita imetekeleza Ilani Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika Eneo la Umwagiliziaji kwa asilimia 82 mpaka sasa. Lengo lilikuwa ni Kuongeza eneo lenye miundombinu mpaka kufikia hekta 1,200,000 ifikapo mwaka 2025 Ambapo hadi mwaka 2024 Eneo la umwagiliaji...
  17. Janeth Thomson Mwambije

    Baadhi ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Wilaya ya Ilala

    Miongoni Mwa Mafanikio Ya Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan Katika Wilaya Ya Ilala - Ujenzi wa Barabara Ya Mwendokasi; Katika Uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kumetekelezwa Ilani Ya Ujenzi wa Barabara Ya Mwendokasi Inayoendelea Kujengwa Ili Kupunguza Kero Ya Usafiri Kwa Wakazi wa...
  18. Ojuolegbha

    Mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndio habari ya nchi kwa sasa, na ndio maana kila pande ya Tanzania inausubirikwa hamu mkutano huu

    Mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndio habari ya nchi kwa sasa, na ndio maana kila pande ya Tanzania inausubirikwa hamu mkutano huu. Kila pande ya Tanzania macho na masikio yao yatakuwa jijini Dodoma, Ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete. #kaziiendelee #tunaendeleanamama #MkutanowaCCM2025
  19. Allen Kilewella

    Hii ni ajabu ya Dunia. Wana CCM wenyewe hawajui ni kwa nini chama chao kinaitwa Chama cha Mapinduzi!

    Leo hapa Iringa kwenye yale mabishano ya mitaani kuhusu siasa nimeshangazwa Sana na wana CCM. Zaidi ya wana CCM 50 niliokutana nao na kuwauliza ni kwa nini chama chao kinaitwa "Chama Cha Mapinduzi" hakuna hata mmoja aliyekuwa na jibu. Kuna wakati taasisi ya Twaweza waliafanya utafiti wa ni...
  20. B

    Pre GE2025 Mtego unaowakabili chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa 2025

    Hello! Natumai mu wazima! Nchi ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni yetu sote watanzania ila kitu kibaya kuna baadhi ya kundi dogo la watu kuona nchi hii ya Tanzania inapaswa kuwa mali yao binafsi. Hilo ni kosa kubwa kwa chama tawala kudhani wao ndio wanapaswa kutawala nchi hii miaka yote...
Back
Top Bottom