" TAMKO RASMI LA CHAMA CHA LABOUR TANZANIA (TLP) KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 "
Ndugu Watanzania wenzetu, Sisi wanachama,wafuasi na wapenzi wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kwa kauli moja ya kizalendo kwa nchi yetu na kwa kuzingatia Ibara ya 29.0 ya...
TAKUKURU mkoa wa Shinyanga katika ufatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa viongozi, manao tarehe 29/06/2020 majira ya saa tatu usiku mtaa wa Mwasele B nyumbani kwa Joseph Jonas Tasia ilikamata doti mia sita za vitenge zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi na vya kawaida vikiwa...
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50.
Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu.
Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.
Wadau.
Watendaji Wakuu Wa CCM Ziarani Mikoani.
Dkt Bashiru Ally ameanza Ziara ya Siku 3 Mtwara.
Humphrey Polepole ameanza Ziara ya Siku tisa Kisiwani Pemba.
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NI BABA LAO
Kama inavyofahamika na Watanzania wote, tarehe TANO ya mwezi wa PILI ya kila mwaka, Chama cha Mapinduzi (CCM) huadhimisha siku ya kuzaliwa kwake.
Hii inatokana na kwamba Chama cha Mapinduzi kilizaliwa tarehe 05/02/1977 baada ya kuunganisha vyama viwili vya...
By Peter Saramba, Mwananchi
Mwanza. Onyo alilotoa Rais John Magufuli, ambaye ni mwenyekiti wa CCM, kwa viongozi wa chama hicho tawala kuwa wasipoangalia kinaweza kuanguka, linaweza kuwa tahadhari mahsusi wakati huu, baadhi ya wasomi na wanasiasa wana mawazo wamekubaliana na mawazo hayo.
Rais...
Tamko la kimaslahi, mimi ni nwanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivyo ni takayo yawasilisha hapa ni kwa manufaa ya ustawi wa chama changu CCM na Taifa letu kwa ujumla.
Nimefatilia kwa umakini mchakato mzima wa uchaguzi wa viongozi wetu katika ngazi ya Serika za Mitaa. Hakika...
Spika Ndugai ameipongeza Serikali kwa kazi nzuri na Muswada umepita kwa kura za Ndiyo
======
BAADHI YA NUKUU (KUTOKA UPINZANI)
Kambi ya rasmi ya upinzani bungeni imekosoa muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa wa mwaka 2018 ikisema ni uonevu mkubwa dhidi ya vyama hivyo...
Habari wanajamvi!
Sijaamini maneno ya msemaji wa chama cha Mapinduzi labda nitaaminishwa baadae. Kwa maneno yake Katibu mwenezi anasema ni kweli mwanasiasa nguli na Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi comrade Alhajji Abdulrahman Kinana alikuwa anaumwa, na alipelekwa nje ya Nchi kwaajili ya...
Bandugu, natumai kuwa hamjambo na mko vema baada ya kuadhimisha Sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo kwa hakika ilifana sana.
Wakati wa mapumziko ya weekend na Sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilisikika taarifa kuwa Kamati Kuu ya CCM ambayo inaketi leo Zanzibar katika kikao chake cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.