KUONDOKA mapema kwa Rais John Magufuli, kumeiacha Tanzania katika njia panda, wananchi wakijiuliza ni nini kitafuata baada ya hapa.
Nini hatma ya Tanzania baada ya Magufuli? Ndilo swali kubwa kwa sasa kwa watanzania na bila shaka Afrika na dunia yote. Baada ya kazi kubwa ya ujasiri mkubwa...
Habarini wanajamvi wenzangu, poleni na majukumu mbalimbali ya kujenga taifa.
Hakika tuendelee kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo yetu na taifa letu, Mungu hatatuacha atazibariki kazi za mikono yetu. Leo baada ya majukumu nimepita kwenye mitandao ya kijamii na kukuta salamu hizi nikaone ni...
Ni gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 Landcruizer mbalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama Cha Mapinduzi ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku
Katibu Mkuu Dkt Bashiru Ally amehuhudhuria hafla hiyo na kukabidhi gari hilo kwa Uongozi wa CCM Mkoa wa Arudha akiambatana na Mh Humphrey...
Idara ya Tamisemi embu mjitathimi kwanza, kuna majina yali leak mwezi wa September ya Uhamisho kwani watu hawajatolewa au kupewa Uhamisho kwa muda mrefu sana na mbaya zaidi inaonekana wengi mnataka rushwa na kujuana wakati barua za watumishi zimepitishwa kufuata utaratibu.
Inakuaje mnashindwa...
Viongozi hao walikutana Makao Makuu ya CCM Dodoma.
Balozi huyo wa Ufaransa nchini Tanzania amesema Nchi yake itazidisha Ushirikiano na Serikali ya Tanzania kwani inafurahishwa na hali ya kisiasa Tanzania.
Amesema Wamefurahishwa na hotuba aliyoitoa Rais Magufuli wakati wa ufunguzi wa Bunge la...
Semina hiyo Muhimu ilifanyika katika Ukumbi wa White House Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Viongozi wa Jumuiya za Chama za UWT, UVCCM na Jumuiya ya Wazazi
Kamarada Bashiru Ally pia aliwakabidhi Wenyeviti Wa Kamati hizo Hotuba ya Rais Dkt John Magufuli aliyoitoa wakati akifungua Bunge la Jamhuri...
Chama hiki kimekuwepo tangu miaka ya sabini. Enzi hizo huku kwetu msimbazi kulikuwa kumejaa simba na wanyama pori.
Sasa chama kilishindwa nini kuweka Ramani ya jinsi ya kupangwa miji ili kucontrol Maji?
Kilishindwaje wakati hakukua na mpinzani?
Nashangaa zaidi baada ya kuna hats baada ya...
Utangulizi;kuna Mali za Serikali na
Mali za chama,Chanel ten na TBC
In Mali ya serikali.
1.itakuwa inaonyesha hotuba mbalimbali za marais waliotangulia na viongozi wengine.
2.Maisha binafsi ya viongozi baada ya kustaafu.
3.Mambo mbalimbali yaliyofanywa na viongozi ktk kuleta maendeleo.
4.Nyimbo...
MAPEMA Juma hili tumesikia baadhi ya vyama vya siasa nchini vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2020 vikitoa maneno makali dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kile ambacho wao wanasema kuwa Tume imekosa meno dhidi ya wanaokiuka Maaduili ya Uchaguzi.
Mgombea Urais kupitia Chama cha...
Hii inamaanisha nini?
Wanaofanya hivi wanajua Askari wa Usalama barabarani lazima "atamezea" kosa lolote watakalolifanya barabarani kwasababu ni gari la chama
Je, wahalifu hawawezi kutumia mwanya huu wakajinufaisha?
Kwanini CCM waache chama chao kitumike namna hii?
FYI: Ukiachana na gari...
CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020
CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025
UTANGULIZI
1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
Na: Beatrice Condrad
Kauli mbiu ya Chama Cha Mapinduzi 2020 ni: TUMETEKELEZA KWA KISHINDO, TUNASONGA MBELE PAMOJA.
Kwanza kabisa napenda kutoa UTANGULIZI wa Ilani yetu ya Uchaguzi 2020 kama ifuatavyo;
1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Uongozi wa vyama vya TANU na ASP na baadaye CCM...
Taarifa Kwa Umma Kutoka Chama Cha Mapinduzi-CCM Kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM Kilichoketi Leo Chini ya Mwenyekitiwa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania Dkt John Magufuli
Wasalaam,
Nimekuwa mfuatiliaji wa mambo ya siasa kwa muda mrefu sasa .
Lakini siku za hivi karibuni baada ya Mh Magufuli kuingia madarakani wana CCM wengi wameacha kujadili vitu na watu kwa hoja sasa ni kushambulia tu watu ama kwa kuwatishia kuwaua au kuwaangamiza wanavyojua.
Mathalani...
Nikiwa kama mwanachama wa muda mrefu naandika kwa masikitiko makubwa sana, mambo yanayofanywa na uongozi wa CCM mkoa wa Tabora wakiongozwa na katibu wa CCM mkoa.
Naamini jukwaa hili ndio njia pekee ya kufikisha malalmiko ambayo yataweza kufika kwa urahisi kwenye uongozi wa CCM Taifa na hatimaye...
Mwandishi wa Habari Uhuru Media Group (UMG) Hamis Shimye amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aliyekuwa Mbunge jimbo la Mbinga Vijijini 2015/2020 Martin Msuha, amechukua fomu, kugombea ubunge Jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ndugu Bashiru Ally,
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi
Mimi ni mwananchi, raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nimeamua kuchukua wasaa huu kukuandikia haya yafuatayo, kwani kwa haya niyaandikayo naamini ni ya msingi sana katika kukuza umoja na mshikamano wa Taifa letu vitu ambavyo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.