chama cha mapinduzi

  1. Tlaatlaah

    CCM Ndiyo Agenda Kuu ya Taifa ya Wananchi Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na vijiji Tanzania, Novemba 27, 2024

    Ndicho chama pekee kinachozungumzwa sana na waTanzania kila kona na pembe ya Tanzania. Na ndiyo turufu ya umoja, amani na utulivu wa wanainchi Tanzania. Dhamira yake njema, mipango mikakati madhubuti ya uhakika, na malengo yake ya maendeleo endelevu, ndicho hasa kinachowavutia wananchi na...
  2. milele amina

    Hasara za Matembezi ya vijana yanayopangwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM)

    Matembezi ya vijana yanayopangwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) yana hasara kadhaa zinazoweza kutokea kwa vijana wasomi na wasioajiriwa katika jamii kutokana na matembezi haya. 1. Kutengwa Kijamii Matembezi yanaweza kuonekana kama shughuli za kijamii, lakini kwa vijana...
  3. M

    Pre GE2025 CCM, oneni aibu basi, acheni kuwajaza Wananchi ujinga kwa Kuwahutubia hotuba zenye upotoshaji

    Huenda mmeshajua kuwa sehemu kubwa ya Wananchi wana upeo mdogo wa ufahamu kuweza kufikiri na kutambua kuwa mnawapotosha kwa manufaa yenu kulingana na ukosefu wa elimu au kuw na elimu duni inayowanyima ufahamu, nawataka oneni hata aibu msifikie kiwango mlichofikia cha kuwafanya kama hawana hata...
  4. britanicca

    Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

    Kama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa. Wengi tuliamini na kuamini kwamba kuna Mpasuko ndani ya Upinzani, hii ni Kwakuwa tuliamini upande wa Mbowe na Lissu hazipatani, Lakin nikakaa...
  5. milele amina

    Sababu za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa na wasiwasi kuhusu maandamano ya amani ya September 23, 2024

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kuwa na wasiwasi kuhusu maandamano ya amani kwa sababu kadhaa: 1. Kudhibiti Siasa: CCM inaweza kuona maandamano kama njia ya kuonyesha upinzani na kutishia ushawishi wao katika siasa. 2. Usalama wa Umma: Kuna hofu kwamba maandamano, hata kama ni ya amani...
  6. Gabeji

    CCM ya sasa ni Chama cha Wafanyabiashara

    Ndugu zang ccm imepoteza mvuto tangu CHAMA hiki kilipovamiwa na wanfanya biashara wakubwa miaka ya 1990s, kinyume na malengo ya kuasisiwa kwake, si CHAMA CHA wafanya kazi na wakulima, ni CHAMA CHA wafanyabiashara, waliamua kuingia huko I'li kujificha juu ya uovu wao. Hivyo basi ccm ya leo sio...
  7. Tlaatlaah

    Ni wakati muafaka kwa Zitto Kabwe kujiunga na serikali sikivu ya CCM kwa kazi maalumu ya maendeleo ya Watanzania

    Ni dhahiri katika masuala ya siasa na uchumi Zitto Zuberi Kabwe ni mzoefu na anaweza kua bora kwa kiwango cha juu zaidi huenda ukalinganisha na nanma ambavyo David Kafulila anaperfom vizuri katika viwango bora vya juu zaidi vya kimataifa kwenye wadhifa na jukumu muhimu sana katika uchumi wa nchi...
  8. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 Mchungaji Msigwa kwenda CCM ni moja kati ya 'usajili' mbaya kuwahi kufanywa na vyama vya siasa

    Kwa sasa Tundu Lissu ndiye mwanasiasa pekee ambae kuhama kwake sehemu kunaweza hama na watu , sababu nyuma kuna watu wengi sana ambao ni wafuasi wake na wana imani na yeye. CCM wamemchukua Msigwa kama mtaji ndio maana anapewa airtime kwenye mikutano. Kiuhalisia sasa ni kwamba Mchungaji imani...
  9. R

    Pre GE2025 Anachofanya Mchungaji Msigwa ni kuibomoa CCM huku akiijenga CHADEMA. Kwanini anatumia akili ndogo badala ya kubwa kama alivyokuwa CHADEMA?

    Mtizamo wangu kisiasa na ushauri wangu kwa chama cha Mapinduzi nikumwomba Msigwa asiendelee kuhojiwa kwenye vyombo vya habari. Kadri anavyohojiwa ndivyo anawafanya wana CCM waonekane wana akili ndogo. Mkakati huu alionao kwa wachambuzi wanapaswa kujiuliza kwanini wanachama wa CCM wanampuuza...
  10. Julius Benard

    Muungano ukifa CCM itabaki Zanzibar au Tanganyika?

    Najiuliza sana kuhusu hii. Je, muungano ukifa, vyama vya siada ambavyo vipo bara na visiwani vitabaki upande gani, au Sheria pia unasemaje kuhusu hilo suala, au inawezekana chama cha siasa kikabaki pande zote mbili kwa maana ya Tanganyika na hicho hicho chama Zanzibar kama CCM? Naombeni maoni...
  11. Joseph Ludovick

    Pre GE2025 CCM Itaendelea kubaki madarakani

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuaminiwa na watanzania kutokana na historia yake, uwezo wake wa kupatanisha itikadi za kisiasa, uimara wa miundombinu yake ya chama, Uongozi, na udhaifu wa vyama vya upinzani. CCM imefanikiwa kujenga misingi imara ya utawala na imesimamia maslahi ya...
  12. Mkunazi Njiwa

    Balozi Karume amemsahau Liu Zhidan wa chama cha CCP cha China aliyefutiwa heshima akiwa kaburini

    China ya KIKOMUNISTI ina historia nzuri sana ulimwenguni. Leo nitazungumzia kisa cha kusitishiwa heshima kwa komredi Liu Zhidan aliyekuwa mtu muhimu ndani ya chama cha CCP. Kisa cha Liu Zhidan Alikufa akiwa na heshima na "TITLE" ya mfia nchi na shahidi wa harakati za umma (martyr) lakini...
  13. Wimbo

    Kwa hali hii CCM hatuwezi kujipiga kifua

    Tunaposifia kuupiga mwingi tujihoji kabla ya November 2024 na 0ctober 2025, miradi mkakati hasa ya miunddombinu ambayo kukamilika kwake kungechechemua uchumi wa Nchi imesimama, wakandalasi hawajalipwa pesa, kwanza hili ni janga kwa sababu tunaongeza riba lakini ni angalizo la uimara wetu na...
  14. Analogia Malenga

    Spika Tulia Ackson: Mtu akimsema vibaya Rais nyooka naye, akinisema vibaya Nyooka naye

    Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM. Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania. Sijui...
  15. Tlaatlaah

    Misururu mirefu na misongamano ya vijana kujiandikisha kujiunga na Chama cha Mapinduzi ni mikubwa mno. Hongereni sana vijana Tanzania

    Ndugu zangu, Wanafunzi wa sekondari na wa elimu ya juu ngazi mbalimbali nchini karibuni sana chama Tawala... Kwanza hongerini sana kwa kuhamasika kiasi hicho na kuamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM. mmefanya uamuzi wa hekima na busara sana kwa faida na mustakabali wa maisha yenu wenyewe...
  16. Chakaza

    Kumbe hata wazee wameikataa CCM. Vijana waliopo huko tuwaweke kundi gani?

    Nimesikiliza huyu mzee kisha nimejiuliza hawa vijana wanaovishwa mashati ya kijani na kuukataa ukweli tuwaweke kundi gani? Upungufu wa maarifa au tamaa mbele? Hawayaoni yanayo endelea au kwao ni potelea mbali?
  17. Ojuolegbha

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita .

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita . #ChamaImaranaSSH #KaziIendelee
  18. K

    CCM ondoeni dhuluma hii jimbo la Mwanga! Joseph Tadayo hajui majukumu ya mbunge wala kazi za kibunge

    Kwa mfumo wa kura za maoni kupigwa na wajumbe tu kumeleta madhara makubwa ya kiuongozi nchi hii Jimbo la MWANGA mkoani Kilimanjaro ni Moja kati ya majimbo yalokosa uelekeo wa kiuongozi katika awamu ulopita. Mbunge wa Mwanga ndugu yangu Joseph Tadayo sio tu kuwa hajui majukumu ya Mbunge Bali...
  19. Tlaatlaah

    Pre GE2025 CCM inawajibika vizuri sana kwa wananchi

    Hakuna mbadala wake Tanzania, kimipango, kiuongozi au kimaono... Hazina ya wanachama na viongozi wake makini, mahiri na madhubuti ni kiashiria muhimu sana sana cha dhamira njema ya CCM katika kuwatumikia wananchi.. Kuwajibika kwa wananchi kwa dhati katika kuleta maendeleo kwa waTanzania...
  20. Jamaa Fulani Mjuaji

    Pre GE2025 Kwa yanayoendelea maana yake "CCM" imegawanyika vipande vipande na wana hali mbaya kushinda hata CHADEMA waliokuwa wanadaiwa wamevurugana kisa Msigwa

    Kwa Mbungi linaloendelea ndani ya CCM sijui kama hakutakua na kumalizana Juu kwa Juu inaonekana huku ambako ni makazi mapya ya Bwana Msigwa kunawaka moto kuliko Kule alikotoka bwana msigwa. Hali ya kugawanyika ni kubwa mno na kwa kuangalia Upepo wao hawa jamaa wa kijani wanaweza hata kuanza...
Back
Top Bottom